baba anjela
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 431
- 310
Jamani,
TANESCO naomba nielewesheni Jana nimenunua umeme wa 200000 lakini nimekatwa vat 29500 Ewura 14000 Rea 4900 Swali ni kwann mimi mteja nikatwe pesa zote hizi wakati umeme nguzo nalipia waya nalipia na mita nanunua sasa swali langu ni kwann nikatwe pesa hizi
Source CarolNdosi Twitter
HII SMS NIMEIKUTA TWITTER ..KAMA INAUKWELI BASI ...TUTAWASHA VIBATALI.