baba anjela
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 431
- 310
Zanzibar utaishia kuwa mpangaji milele sahau kuwa na kibanda chako. Tena upangaji wenyewe masharti kibao hope umenielewa.Tuhamie Zanzibar ambako unit ya umeme inauzwa sh49/= za kitanzania. Na kuunganisha ni bure hulipii hata Senti.
Huu ni uwongo...Angalia isijekuwa upo kwenye grid kubwa na viwandani
NimekuelewaTena upangaji wenyewe masharti kibao hope umenielewa.