Kama ni kweli Ma - DED zaidi ya 100 watapandishwa kizimbani na TAKUKURU kwa Ufisadi basi mfumo wa MagufulI kuteua Makada wa CCM Umefeli

Mimi nadhani kuwa Kada siyo tatizo tatizo ni kukosa maadili na kutokuheshimu Mali za Umma,jambo lingine jamii imekumbwa na mmomonyoko wa maadili kwa vile tuliamua kuwaweka kando viongozi wa kimila ambao kwa nyati zile waliheshimika katika jamii kwa kusimamia miiko mira na dastuli lakini kwa sasa tumepoteza mwelekeo ndiyo matokeo ya kuona haya ya viongozi kutokuheshimu nyazifa wanazo pewa.
Nishauri mpango wa Mama yetu Rais wetu Dr.samia Suluhu Hassani kuwarejesha viongozi wa kimila tuuone kama njia bora ya kutafuta kurejesha maadili katika jamii yetu asante.
Kweli kabisa, unakuta kijana ana utajiri wa ajabu halafu baba yake na mama yake na mkewe wanampongeza tena wanajua ni mwizi na ikitokea kashikwa basi maombi ni balaa na hata sasa usikute aliyepitisha hiyo invoice yupo kwa manabii akiombewa hahahah
 
Mimi nadhani kuwa Kada siyo tatizo tatizo ni kukosa maadili na kutokuheshimu Mali za Umma,jambo lingine jamii imekumbwa na mmomonyoko wa maadili kwa vile tuliamua kuwaweka kando viongozi wa kimila ambao kwa nyati zile waliheshimika katika jamii kwa kusimamia miiko mira na dastuli lakini kwa sasa tumepoteza mwelekeo ndiyo matokeo ya kuona haya ya viongozi kutokuheshimu nyazifa wanazo pewa.
Nishauri mpango wa Mama yetu Rais wetu Dr.samia Suluhu Hassani kuwarejesha viongozi wa kimila tuuone kama njia bora ya kutafuta kurejesha maadili katika jamii yetu asante.
Kuwa kada ni tatizo kwa ukurugenzi kwani ni rahisi kuruhusu fedha zitumike kwa ajili ya chama chake. Unapokuja ukaguzi, justification ya matumizi inakosekana.
 
Mimi nadhani kuwa Kada siyo tatizo tatizo ni kukosa maadili na kutokuheshimu Mali za Umma,jambo lingine jamii imekumbwa na mmomonyoko wa maadili kwa vile tuliamua kuwaweka kando viongozi wa kimila ambao kwa nyati zile waliheshimika katika jamii kwa kusimamia miiko mira na dastuli lakini kwa sasa tumepoteza mwelekeo ndiyo matokeo ya kuona haya ya viongozi kutokuheshimu nyazifa wanazo pewa.
Nishauri mpango wa Mama yetu Rais wetu Dr.samia Suluhu Hassani kuwarejesha viongozi wa kimila tuuone kama njia bora ya kutafuta kurejesha maadili katika jamii yetu asante.
Hao makada wengi siyo maafisa waandamizi ndani ya serikali wameokotwa tu huko majukwaani, kwa hiyo hata kujua taratibu za utumishi na taratibu za matumizi ya pesa za umma ni mtihani, haiwezekana nafasi nyeti ya kiutendaji kama DED kufanywa ya kisiasa. Nafasi za kisiasa zinajulikana zikiwemo wakuu wa wilaya na mkoa, sasa hadi hizi za kiutendaji nazo wapewe wanasiasa, sijui makada......​
 
Ndugu zangu Watanzania sikiliza huu ujumbe wa sauti hakika umebeba ukuu wa Mungu juu ya Taifa letu na kiongozi mkuu wa nchi yetu karibuni wote.
 
Attachments

Bila kujali Itikadi na kuwa mkweli mfumo wa kuteua Makada wa CCM kuwa Wakurugenzi wa Halmashauri DED ulianzishwa na Shujaa MagufulI.

Hata Shirika nyeti la TTCL alipelekwa kada wa CCM aliyefeli kura za Maoni za ubunge.

Nimemsikia Ripoti ya CAG na ile ya Takukuru zikitaja Wizi wa Mabilioni kwenye Halmashauri na kwamba Wakurugenzi zaidi ya 100 wamefunguliwa majalada.

Rais Samia akasema pia Madiwani Ndio Chanzo cha hasara ya tsh 88 bilioni ambazo zingetosha kujenga Zahanati kibao.

Ikumbukwe kuwa Madiwani wote ni wa CCM na Wakurugenzi ni Makada wa CCM na Wakuu wa Wilaya ni Makada wa CCM na mkuu wa mkoa kadhalika.

Katika eneo la Teuzi Shujaa alifeli pakubwa kuwapa uDED Makada wa CCM.

Jumaa kareem!
Kuna wakati tulikuwa tunataka kuanzisha fund fulani ya kuwasaidia watu. Nilipomwendea jamaa mmoja ambaye alikuwa pia ni kiongozi wa CCM, aliniuliza, "kwenye hii board of trustees wapo makada wa CCM", nikamwambia, hapana. Akasema, basi nitachangia. Wangekuwemo nisingechangia, maana sisi tunafahamiana. Hawa wanaojiita makada kila mahali wakienda, kazi yao ni kutafuna tu, ni mchwa.

Hiyo ilinifikirisha sana. Na hakika kama kuna mahali pana pesa, ukawasogeza hao wanaojiita makada, hapabaki kitu.
 
1. Wateuliwe ma Afisa Mipango etc, yaani ule utaratibu wa zamani urudi
2. Risk management framework ipewe kipaumbel
3. Fraud risk management pia iwe priority
4. Waajiliwe internal auditors wakutosha (iwe lazima kuwa certified internal auditors)
5. Wahasibu wawe CPA hasa wakuu wa idara wote
6. Elimu ya mgawango wa madaraka itolewe etc
Tena iwekwe sheria inayotamka wazi kuwa uDED, siyo nafasi ya kisiasa, hivyo nafasi hiyo haitatolewa kwa kada au kiongozi yeyote wa chama cha siasa.
 
Bila kujali Itikadi na kuwa mkweli mfumo wa kuteua Makada wa CCM kuwa Wakurugenzi wa Halmashauri DED ulianzishwa na Shujaa MagufulI.

Hata Shirika nyeti la TTCL alipelekwa kada wa CCM aliyefeli kura za Maoni za ubunge.

Nimemsikia Ripoti ya CAG na ile ya Takukuru zikitaja Wizi wa Mabilioni kwenye Halmashauri na kwamba Wakurugenzi zaidi ya 100 wamefunguliwa majalada.

Rais Samia akasema pia Madiwani Ndio Chanzo cha hasara ya tsh 88 bilioni ambazo zingetosha kujenga Zahanati kibao.

Ikumbukwe kuwa Madiwani wote ni wa CCM na Wakurugenzi ni Makada wa CCM na Wakuu wa Wilaya ni Makada wa CCM na mkuu wa mkoa kadhalika.

Katika eneo la Teuzi Shujaa alifeli pakubwa kuwapa uDED Makada wa CCM.

Jumaa kareem!
Wapinzani wanatuchelesha!!!! 😭 Sasa sijui tulikuwa tunachelewesha wizi wa Fedha za umma au nini hasa.
 
Tatizo ni huu mfumo wa kubebana ndani ya ccm, ndo tatizo.Suluhisho pekee ni ,kwanza katiba mpya na iliyo bora, pili kukitoa chama hiki cha CCM madarakani.
Tofauti na happy tutazidi kuibiwa na maendeleo ya haraka tutayasikia kwa mataifa mengine!
 
Bila kujali Itikadi na kuwa mkweli mfumo wa kuteua Makada wa CCM kuwa Wakurugenzi wa Halmashauri DED ulianzishwa na Shujaa MagufulI.

Hata Shirika nyeti la TTCL alipelekwa kada wa CCM aliyefeli kura za Maoni za ubunge.

Nimemsikia Ripoti ya CAG na ile ya Takukuru zikitaja Wizi wa Mabilioni kwenye Halmashauri na kwamba Wakurugenzi zaidi ya 100 wamefunguliwa majalada.

Rais Samia akasema pia Madiwani Ndio Chanzo cha hasara ya tsh 88 bilioni ambazo zingetosha kujenga Zahanati kibao.

Ikumbukwe kuwa Madiwani wote ni wa CCM na Wakurugenzi ni Makada wa CCM na Wakuu wa Wilaya ni Makada wa CCM na mkuu wa mkoa kadhalika.

Katika eneo la Teuzi Shujaa alifeli pakubwa kuwapa uDED Makada wa CCM.

Jumaa kareem!
ccm sio chama kwa sasa ni genge la wapumba,majiz ya pesa za umma na kura na hapo yalipo hayana uhalali wowote huku kanda ya ziwa lissu alibeba kura za kutosha mpaka dikteta akapora uchaguz.
 
Bila kujali Itikadi na kuwa mkweli mfumo wa kuteua Makada wa CCM kuwa Wakurugenzi wa Halmashauri DED ulianzishwa na Shujaa MagufulI.

Hata Shirika nyeti la TTCL alipelekwa kada wa CCM aliyefeli kura za Maoni za ubunge.

Nimemsikia Ripoti ya CAG na ile ya Takukuru zikitaja Wizi wa Mabilioni kwenye Halmashauri na kwamba Wakurugenzi zaidi ya 100 wamefunguliwa majalada.

Rais Samia akasema pia Madiwani Ndio Chanzo cha hasara ya tsh 88 bilioni ambazo zingetosha kujenga Zahanati kibao.

Ikumbukwe kuwa Madiwani wote ni wa CCM na Wakurugenzi ni Makada wa CCM na Wakuu wa Wilaya ni Makada wa CCM na mkuu wa mkoa kadhalika.

Katika eneo la Teuzi Shujaa alifeli pakubwa kuwapa uDED Makada wa CCM.

Jumaa kareem!
ULIYAFELI SIKU NYINGI CCM NA VIONGOZI WAKE NI SIKIO LA KUFA
 
Mfumo mzm in general umeoza!! Ma DED ni kasehem kadogo tu na visenti walivokula!! But kuna mapapa sasa....
 
Tujikite kuangalia wapi tunapoelekea na sio wapi tulipotokea.

Magufuli alikuwa binadam kama wewe na mimi. Alipochagua hao makada kuongoza hizo sehemu, hakutegemea kama hayo madudu yangetokea. Waswahili wanasema "moyo wa mtu msitu" na pia "siri ya mtungi ijuae kata".

Ila sasa utawala wa Magufuli umeshapita, sasa tupo katika utawala mungine. Tuangalie njia bora ya kuepuka upigwaji mungine, badala ya kupoteza muda kumjadili mtu ambae alishafariki. Haina maana yoyote mkuu.

Lazima tujisahishe kwa kuangalia tulipoanguka. Ilikuwa kosa kuteua makada wa CCM kuwa wakurugenzi. Naona Hilo kosa kalirudia Rais Samiah. Tuteue professional s tu kwenye ukurugenzi na sio wanasiasa ambao wanaenda kulinda maslahi ya chama.
 
Wewe ndio muongo, wakati wa jk Wakurugenzi walikuwa wanatokea ndani ya utumishi. Ila alivyoingia Magufuli kajaza makada kuanzia ukurugenzi, ukatibu tawala wa Wilaya akina Mtela mwampamba etc. Nadhani Magufuli alileta huu ujinga na unaendelezwa na Rais Samiah.
 
Wanaiba Nini? Fuatilia ziara za Waziri Mkuu ujue wezi Ni Nani.
 
Nakazia
Miaka yote kabla ya jiwe ilikuwa DED anateuliwa kutoka miongoni mwa watumishi wa serikali wenye uzoefu wa muda mrefu. Jiwe akaleta ukadda, ukanda na ukabila kwenye uteuzi wa maDED.

Jiwe!!! Bora afe tena huko aliko.
 
CCM ilishafeli tu, wanaiba kura na kuiba pesa za umma. Chama chenye laana.
 
Wewe ndio muongo, wakati wa jk Wakurugenzi walikuwa wanatokea ndani ya utumishi. Ila alivyoingia Magufuli kajaza makada kuanzia ukurugenzi, ukatibu tawala wa Wilaya akina Mtela mwampamba etc. Nadhani Magufuli alileta huu ujinga na unaendelezwa na Rais Samiah.
Hivi umesoma Mada na kulielewa?
 
Back
Top Bottom