ChawaWaMama
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,765
- 3,277
Kweli kabisa, unakuta kijana ana utajiri wa ajabu halafu baba yake na mama yake na mkewe wanampongeza tena wanajua ni mwizi na ikitokea kashikwa basi maombi ni balaa na hata sasa usikute aliyepitisha hiyo invoice yupo kwa manabii akiombewa hahahahMimi nadhani kuwa Kada siyo tatizo tatizo ni kukosa maadili na kutokuheshimu Mali za Umma,jambo lingine jamii imekumbwa na mmomonyoko wa maadili kwa vile tuliamua kuwaweka kando viongozi wa kimila ambao kwa nyati zile waliheshimika katika jamii kwa kusimamia miiko mira na dastuli lakini kwa sasa tumepoteza mwelekeo ndiyo matokeo ya kuona haya ya viongozi kutokuheshimu nyazifa wanazo pewa.
Nishauri mpango wa Mama yetu Rais wetu Dr.samia Suluhu Hassani kuwarejesha viongozi wa kimila tuuone kama njia bora ya kutafuta kurejesha maadili katika jamii yetu asante.