Kama ni kweli ninapinga kwa Papi Ousmane Sakho 'Kutemwa' Simba SC

Kama ni kweli ninapinga kwa Papi Ousmane Sakho 'Kutemwa' Simba SC

Tatizo kassim dewji hana weledi wa kusajili, akiwa katibu mkuu simba alidanganya ramadhan wasso kapata timu ubelgiji kumbe kaishia airport kamuuza yanga. Baada ya kuwatoa zamalek na kuingia makundi alimsajili clement kahabuka toka uarabuni ambaye akiwa uwanjani anaishia kuanguka na hakuna cha maana alichoongeza.
Kweli! kweli! hapa nimekumbuka Kahabuka tumeenda kupiga game na Enyimba kwao.Jamaa kabla ya mechi alikuwa anapambwa kinoma sema sasa tulipoingia uwanjani mambo yalikuwa tofauti licha ya kwamba game ile tulicheza nadhani mvua ilikuwa imenyesha.

Nakumbuka jamaa walitufunga kitu kama goli tatu hivi.
 
Soka la kisasa duniani linahitaji kasi na maarifa. ..Sakho anavyo.....tumpe muda.
Ugonjwa wa simba upo kwa mtu awezaye kutengeneza na kulisha strikers kwa haraka haraka .Bwalya talented but slow....
Simba rekebisheni hapo halafu muone who is Sakho and Banda...
 
Nakuheshimu brother,ila kumuheshimu mwalimu ni kitu kizuri.

Hizo imani za miba sijui nini,hazina ushahidi.
Kwa nini Luis na Chama hawakupigwa miba?
Sifurahishwi na upotoshaji mkubwa unaofanywa na watu wa mitandao kutoa sifa za kijinga kwa wachezaji kama vile Banda,Sakho n.k.
Tumwache mwalimu afanye kazi yake
Sihitaji Kuheshimiwa na Wewe, hujui Mpira na tafadhali acha Kunipotezea muda sawa?

Sakho ni zaidi ya Chama na Miquissone kama akipewa muda na akiwa pia 100% Fit sawa?

Baadhi yenu ( Wanasimba ) ni Wapumbavu ( Mapopoma ) sana yaani mmesahau kuwa Chama na Miquissone walianza Kung'ara baada ya Msimu wa Kwanza ila leo mlivyo Wanafiki huyu Sakho ambaye kila Mtu anajua kuwa alikuwa ameanza vyema tu ila Majeraha ya ile Mechi yetu na Dodom Jiji FC ndiyo yalimpunguza Kasi hatutaki Kumvumilia na kumpa mwaka Mmoja zaidi.

Kuhusu Ushirikina ( Kupigana ) Miba kwa Wachezaji wa Ligi Kuu labda sasa leo nikuambie kuwa zaidi ya 75% ya Wachezaji wa Simba na Yanga ( hasa Wazawa ) na wachache wa Kigeni kama aliyekuwa Beki Wetu Mganda Joseph Owino Gera na Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima ni Marafiki zangu Wakubwa mno GENTAMYCINE Mimi na wameniambia na wananiambia mengi kuhusu Wao Kurogana ( Kupigana Miba ) huko.

Namalizia kwa Kukupa Mfano wangu halisi tu kuwa Mganga Mkubwa wa John Boko na Kipa Aishi Manula namjua na huwa nawaona hawa Wachezaji kila mara wakienda Kwake tokea akiwa anaishi pale Msasani Jirani na kwa Mwalimu Nyerere na alipohamia Kawe jirani na Baa maarufu ya Newcastle.

Nidanganye vyote ila siyo kwa Soka la Tanzania na bahati nzuri pia ni kwamba hata huu Mpira wenyewe nao nimeucheza tena kwa Kiwango kizuri tu katika Ngazi za Shule, Mtaa na Ligi Daraja la Tatu nikiwa na Watu kama akina Wycliffe Keto, Abdul Mweta, Samora ( Mdogo wake Dua Said ), Zubery Katwila, Renatus Njohole, Gwakisa Mwandambo, Marehemu Ali Yusuf Tigana na Monja Liseki sema tu Majukumu ya Elimu na 'Mikwara' ya Wazazi kukataa nisijihusishe na Mpira ndivyo vilinikwamisha na kuachana nao.

Ousmane Sakho asiachwe na Simba SC.
 
Mliuza mabasi na mmesajiri magarasa sasa mnataka kuyaacha.
Wenzenu yanga wamemchukua wonder kid Denis nkane kweli yanga wako juu
Hivi Kiswahili fasaha ni 'Mmesajiri' au ni 'Mmesajili' Mkuu? Natamani uwe Mwalimu wangu wa Lugha hi adhimu kabisa ya Kiswahili.
 
Makolo hawana wachezaji. Ukikutana na wachambuzi wa michongo utasikia, simba wana best scouting department [emoji1]
 
Hawa wakina Nyoni na Banda si mlisema mmelamba dume? [emoji1787][emoji1787]
Tulirogwa Akili na Viongozi wetu kipindi hicho Mkuu ila baada ya Akili zetu Timamu kuturejea tumegundua kuwa tulilishwa tu Matango Pori na Kuyashiba.
 
Wageni wa kuachwa

Morrison
Wawa
Mugalu
Kagere


Wazawa wa kuachwa

Erasto Nyoni
Bocco
Ajibu
Dilunga
Mzamiru
Kibu
Kennedy
Mkude
Gadiel
Kakolanya
 
Mliuza mabasi na mmesajiri magarasa sasa mnataka kuyaacha.
Wenzenu yanga wamemchukua wonder kid Denis nkane kweli yanga wako juu
wonderkid 😂 jana kabwana na watoto wa tanga hata sijaona alichokifanya uwanjani
 
Viongozi wa Simba sijui wana shida gani CHIKWENDE walimtoa kijinga hivihivi this time tena ni kwa SAKHO na DUNCAN.

Sometimes tuna viongozi wa mpira USELESS, Haya ni matumizi mabaya fedha mmesajili wachezaji hamjawatumia,Hamjawapa muda wa kucheza hata miezi 6 tu kuonyesha uwezo wao Mnawavunjiaje mikataba???
 
Kwa timu inayohitaji ushindani sidhani sidhani kama inaweza kumuacha SAKHO kirahisi rahisi hivi.

SAKHO kuperform Simba it's all about time tu
 
Niujinga kujitia umuch know mwingiiii ili kuimpress watu ambao hamjawai atakuwaona. Mara usalama wataifa mara mtoto wamjini kutukana watu Jus anything for clout

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Acha kunipotezea muda Pumbavu Wewe sawa? Leta hapa Ushahidi wa post yangu yoyote au Uzi wangu wowote ambao GENTAMYCINE nilijinasibu kuwa ni TISS AGENT ( USALAMA WA TAIFA ) ili wanikamate upesi sana kwa 'impersonation case' sawa?

Na kukuonyesha kuwa najiamini kwa Taarifa yako kuna Seniors Wawili ( Wakurugenzi wa Idara fulani Mbili ) huko na Agents / Field Officers Watano wananijua 'personally' GENTAMYCINE ( kama walivyo pia Wastaafu Waandamizi wengine huko ) mpaka na hii ID yangu hapa JamiiForums tena hadi ninapoishi hivyo wakitaka Kunikamata ni rahisi na kwa Sekunde chache mno.

Kuhusu Mimi kujifanya najua mengi wala hujakosea hivi kwa Mtu anayesoma sana, anafuatilia Taarifa mbalimbali ( za Habari hadi Nyinginezo ) na ni Mtu wa kupenda Kujichanganya Vijiweni na Kwingineko kuwa 'Knowledgeable' na 'Well Informed' ni tatizo au ubaya Kwako?

Mlaumu Mungu kukupa Upumbavu huo.
 
Back
Top Bottom