Tetesi: Kama ni kweli viongozi wa CHADEMA mpaka sasa wanaamini No Reforms no Election, basi chama hakina viongozi

Tetesi: Kama ni kweli viongozi wa CHADEMA mpaka sasa wanaamini No Reforms no Election, basi chama hakina viongozi

Kimbesa11

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
4,648
Reaction score
2,706
Husika na mada tajwa hapo juu:

Nashangazwa kuona slogan ya no reform no election ikiendelezwa na viongozi wakuu wa chadema ili hali wanaona kuna maelfu kwa maelfu ya watu wanachukua form za kugombea uongozi ndani ya Nchi yetu.

Hii ni ishara kuwa chadema hakuna viongozi kabisa na sidhani Kama Wana hata action plan ya chama Chao, hii ni aibu kwa Chama kuongozwa na watu wenye fikra finyu kama hawa jamaa wa chadema.

Kuamini slogan ya no reform no election ni ishara ya chama kuwa na viongozi mbumbumbu.

Good morning wakuuu
 
Sasa wewe ni CDM kwani....chukueni form wahimize wanaccm, ila usisahau uchaguzi ni baada ya Reforms kufanyika na hapo ndipo utakapoona miamba ya Siasa kwenye uwanja wa huru na haki
Miamba gani ww labda Kama ni miamba ya donation
 
Husika na mada tajwa hapo juu:
Nashangazwa kuona slogan ya no reform no election ikiendelezwa na viongozi wakuu wa chadema ili Hali wanaona Kuna maelfu kwa maelfu ya watu wanachukua form za kugombea uongozi ndani ya Nchi yetu.

Hii ni ishara kuwa chadema hakuna viongozi kabisa na sidhani Kama Wana hata action plan ya chama Chao, hii ni aibu kwa Chama kuongozwa na watu wenye fikra finyu Kama Hawa jamaa wa chadema.

Kuamini slogan ya no reform no election ni ishara ya chama kuwa na viongozi mbumbumbu.

Good morning wakuuu
No Reforms no election
 
Mleta hoja umeandika nini?
Unajua hueleweki!
Unajua maana ya hiyo slagan hayo?
Si ungeuliza kabla ya kuandika?
Ungekaa kimya ingekusaidia kuficha ujinga wako!
Hahaaaa unapakini nn
Kwa mtu mzima kuamini no reform no election ni utoto huo
 
Kwanza hii no Reform no Election ni nini ? Sababu binafsi najua hata hizo so called reforms zikifanyika zitakuwa bado ni maigizo tu ndio maana kitambo sana nilishasema...


Na baada ya watu kudai reforms na wengine kufanya so called reforms kwa kodi zetu nyingi tu bila anything to show for it niliuliza...
 
Husika na mada tajwa hapo juu:

Nashangazwa kuona slogan ya no reform no election ikiendelezwa na viongozi wakuu wa chadema ili hali wanaona kuna maelfu kwa maelfu ya watu wanachukua form za kugombea uongozi ndani ya Nchi yetu.

Hii ni ishara kuwa chadema hakuna viongozi kabisa na sidhani Kama Wana hata action plan ya chama Chao, hii ni aibu kwa Chama kuongozwa na watu wenye fikra finyu kama hawa jamaa wa chadema.

Kuamini slogan ya no reform no election ni ishara ya chama kuwa na viongozi mbumbumbu.

Good morning wakuuu
Hiyo sio tetesi, na mada yako ni ushauri binafsi. Ondoa title ya tetesi
 
Kwanza hii no Reform no Election ni nini ? Sababu binafsi najua hata hizo so called reforms zikifanyika zitakuwa bado ni maigizo tu ndio maana kitambo sana nilishasema...


Na baada ya watu kudai reforms na wengine kufanya so called reforms kwa kodi zetu nyingi tu bila anything to show for it niliuliza...
Sidhani kama viongozi wa chadema wanajua wanataka ni nn,
Mnachagua viongozi kwa mihemko ndo matokeo yake haya...sawa na yule wa TLS Yani hamna kitu pale
 
Back
Top Bottom