Mkuu haya mapambano ni swala la process....... sio issue ya kulala na kuamka na ikawa solvedKwanza hii no Reform no Election ni nini ? Sababu binafsi najua hata hizo so called reforms zikifanyika zitakuwa bado ni maigizo tu ndio maana kitambo sana nilishasema...
![]()
Heri Udikteta Kuliko Maigizo ya Demokrasia
Tukumbushane tu..., Sisemi kwamba hili linatokea Sasa lakini Kutumika kwa Rasilimali Fedha na Muda kwenye Maigizo ya Demokrasia au Kutumia Pesa kwa Propaganda, ni bora Muda na Pesa hizo zikatumika kuleta maendeleo kwa Wananchi wanaojua Demokrasia haipo (Maigizo yana Gharama isiyo na Tija...www.jamiiforums.com
Na baada ya watu kudai reforms na wengine kufanya so called reforms kwa kodi zetu nyingi tu bila anything to show for it niliuliza...
![]()
Tunahitaji Reforms; Je Reforms zipi na Tunachotaka Kitapitishwa ?
Wizi..., Wizi..., Wizi na Rushwa... hilo limekuwa janga tangu enzi na enzi hata walipokuwa hawaibi kulikuwa hakuna sababu ya kuiba; kwahio cha kujiuliza moja..., Je tunachotaka kitapita tukikaa kwenye majadiliano ? Meza ya Majadiliano Kuna pande zaidi ya tatu zinataka mabadiliko tofauti...www.jamiiforums.com
Kondom ni ghali sana hapa ingefanyika blow job tu 🤔Wa-TZ tujifunze sana kutumia kon***u, hizi shida nyingine tumejitafutia wenyewe
Usijitoe ufahamu hakuna usilojua kuhusu chama chako kinavyofanya....Miamba gani ww labda Kama ni miamba ya donation
Safi umenyookaMkuu haya mapambano ni swala la process....... sio issue ya kulala na kuamka na ikawa solved
Matokeo ya mapambano ya aina yanategemea vitu vingi sana ambavyo ndio vitakuja kuamua hicho kinachopiganiwa kitatimilika lini....... haijaishi itachukua miaka mingapi but someone has to do it no matter what
Unaweza kuwaona CDM wamefeli iwapo utachukulia tu kwamba uchaguzi utafanyika bila reforms.......
Hichi wanacho kipambania CDM kwa kiasi kikubwa kitafanikiwa mapema au kuchelewa sana depends na mentality za wanaopiganiwa zitakavyo kuwa
Kwamba kuamini uchaguzi wa haki usio na wizi ni utoto dogo hivi unajua unachokiongea ?Hahaaaa unapakini nn
Kwa mtu mzima kuamini no reform no election ni utoto huo
Kwamba hauwajui machawa mkuu?Kwamba kuamini uchaguzi wa haki usio na wizi ni utoto dogo hivi unajua unachokionges ?
Kwanza kabisa kuleta mambo ya wanachopigania CHADEMA ni kutoka nje ya reli kuanzia get go..., (Ifike wakati tuanze kuwapa watu ownership kwamba wanachopigania watanzania; hizi divide and rule no wonder CCM anaendelea kupeta)...; pia haya mambo huwa sio destination kwamba tumefika bali ni muendelezo yaani inategemea na utamaduni sio kwamba sheria ikishawekwa sehemu basi tumemaliza... Nikimnukuu Abraham Franklin akijibu swali aliloulizwa....;Mkuu haya mapambano ni swala la process....... sio issue ya kulala na kuamka na ikawa solved
Matokeo ya mapambano ya aina yanategemea vitu vingi sana ambavyo ndio vitakuja kuamua hicho kinachopiganiwa kitatimilika lini....... haijaishi itachukua miaka mingapi but someone has to do it no matter what
Unaweza kuwaona CDM wamefeli iwapo utachukulia tu kwamba uchaguzi utafanyika bila reforms.......
Hichi wanacho kipambania CDM kwa kiasi kikubwa kitafanikiwa mapema au kuchelewa sana depends na mentality za wanaopiganiwa zitakavyo kuwa
--Benjamin Franklin's response to Elizabeth Willing Powel's question: "Well, Doctor, what have we got, a republic or a monarchy?"“A republic, if you can keep it.”
Bila shaka huyu kaja humu anadhani humu ni FB au kijiweni msameheni na huyu mbumbumbuKwamba hauwajui machawa mkuu?
HujitambuiHusika na mada tajwa hapo juu:
Nashangazwa kuona slogan ya no reform no election ikiendelezwa na viongozi wakuu wa chadema ili hali wanaona kuna maelfu kwa maelfu ya watu wanachukua form za kugombea uongozi ndani ya Nchi yetu.
Hii ni ishara kuwa chadema hakuna viongozi kabisa na sidhani Kama Wana hata action plan ya chama Chao, hii ni aibu kwa Chama kuongozwa na watu wenye fikra finyu kama hawa jamaa wa chadema.
Kuamini slogan ya no reform no election ni ishara ya chama kuwa na viongozi mbumbumbu.
Good morning wakuuu
Kwamba kuamini uchaguzi huru na wa haki ni kujidanganya ? hivi unaongea ukiwa umeconnect ubongo wako au ?Mnajidanganya
Kwamba hiyo ni TETESI. Dunia inamambo hiiiiiii....Husika na mada tajwa hapo juu:
Nashangazwa kuona slogan ya no reform no election ikiendelezwa na viongozi wakuu wa chadema ili hali wanaona kuna maelfu kwa maelfu ya watu wanachukua form za kugombea uongozi ndani ya Nchi yetu.
Hii ni ishara kuwa chadema hakuna viongozi kabisa na sidhani Kama Wana hata action plan ya chama Chao, hii ni aibu kwa Chama kuongozwa na watu wenye fikra finyu kama hawa jamaa wa chadema.
Kuamini slogan ya no reform no election ni ishara ya chama kuwa na viongozi mbumbumbu.
Good morning wakuuu
Dogo bado kidogo tu uwe shoga endelea hivi hivi kuwa mbumbumbu usifikiri humu ni FB au sisi ni saizi yakoWewe ndo hujitambui
Mkuu huoni kwamba hiyo ni fursa hata wewe unaweza ukawa mbunge kwa sababu chadema wao hawashiriki uchaguzi,we subiri Oktoba ifike ukapige kura umpigie bi khadija kopa ili apite kwa kishindoHusika na mada tajwa hapo juu: