Inakuwaje tetesi?Ni ushauri wakitaasisi huo
😂😂😂😂😂Hiyo sio tetesi, na mada yako ni ushauri binafsi. Ondoa title ya tetesi
Hamna tetesi hapo? Kajifunze kwneye kamusi tetesi ni niniNi tetesi kuwa chadema Ina viongozi mambumbumbu
Akili ndogo kama wewe huwezi kuelewa, mabosi wenu hawalali usingizi wewe umeshiba magimbi unalala fofofo utaelewa saa ngapi.Husika na mada tajwa hapo juu:
Nashangazwa kuona slogan ya no reform no election ikiendelezwa na viongozi wakuu wa chadema ili hali wanaona kuna maelfu kwa maelfu ya watu wanachukua form za kugombea uongozi ndani ya Nchi yetu.
Hii ni ishara kuwa chadema hakuna viongozi kabisa na sidhani Kama Wana hata action plan ya chama Chao, hii ni aibu kwa Chama kuongozwa na watu wenye fikra finyu kama hawa jamaa wa chadema.
Kuamini slogan ya no reform no election ni ishara ya chama kuwa na viongozi mbumbumbu.
Good morning wakuuu
Huitaji ada, kamusi ziko everywhereSina ada
Ndugu yangu kuna uchaguzi wa kupora na kuua wapinzani wako?kwnn usiweke mezani sawa tuone mshnd wa kweli kuliko hawa wakutangazwa na polisi kwa mtutu wa bunduki?ni familia ngapi imepoteza wapendwa wao sbb ya uchaguz?Km unajiamini kwnn usifanxe REFORM ili pawe na haki kwa woteMnaendesha slogan za kipuuzi Kama watoto wadogo... mnajidanganya shida chadema Ina viongozi wenye uelewa mdogo
Kuamini kwenye hyo reform ni ishara ya kuwa na viongozi wasio na sifa ya uongozi, mnachaguaga viongozi kwa mihemko badae wanaanza kuendesha slogan zisizo na uhai kabisa.Ndugu yangu kuna uchaguzi wa kupora na kuua wapinzani wako?kwnn usiweke mezani sawa tuone mshnd wa kweli kuliko hawa wakutangazwa na polisi kwa mtutu wa bunduki?ni familia ngapi imepoteza wapendwa wao sbb ya uchaguz?Km unajiamini kwnn usifanxe REFORM ili pawe na haki kwa wote
Inaelejea wewe hata kutumia vyema akili yako kufikiri tu, huwezi. Kuchukua form ya kugombea uongozi sio uchaguzi. Na hayo mnayofanya ni sehemu ya maigizo tu ya CCM...Husika na mada tajwa hapo juu:
Nashangazwa kuona slogan ya no reform no election ikiendelezwa na viongozi wakuu wa chadema ili hali wanaona kuna maelfu kwa maelfu ya watu wanachukua form za kugombea uongozi ndani ya Nchi yetu.
Hii ni ishara kuwa chadema hakuna viongozi kabisa na sidhani Kama Wana hata action plan ya chama Chao, hii ni aibu kwa Chama kuongozwa na watu wenye fikra finyu kama hawa jamaa wa chadema.
Kuamini slogan ya no reform no election ni ishara ya chama kuwa na viongozi mbumbumbu.
Good morning wakuuu
Is from a non critical thinker leaderWewe hata kufikiri tu, kuchukua form ya kugombea uongozi sio uchaguzi...
Unaweza kununua tiketi ya kusafiria lakini bado ukashindwa kusafiri siku ya safari kwa sababu yavugonjwa, kufa, nk..
Kwa hiyo, jifurahisheni tu kwa maigizo yenu hayo lakini ujumbe wetu uko very clear kuwa;
➖If there will be No Pre - Election constitutional & Electoral Reforms 2025, then there shall be No✖Election untill this condition is decisively fulfilled➖
Mimi pia nashangazwa wewe!!Husika na mada tajwa hapo juu:
Nashangazwa kuona slogan ya no reform no election ikiendelezwa na viongozi wakuu wa chadema ili hali wanaona kuna maelfu kwa maelfu ya watu wanachukua form za kugombea uongozi ndani ya Nchi yetu.
Hii ni ishara kuwa chadema hakuna viongozi kabisa na sidhani Kama Wana hata action plan ya chama Chao, hii ni aibu kwa Chama kuongozwa na watu wenye fikra finyu kama hawa jamaa wa chadema.
Kuamini slogan ya no reform no election ni ishara ya chama kuwa na viongozi mbumbumbu.
Good morning wakuuu
Nope CHADEMA / hao Viongozi wanaweza wakawa wanajua wanachokitaka na wanachofanya after all wote hao ni wana Siasa... Swali ni Hata sisi huku Wapiga Kura tunajua tunachokitaka au tumekuwa kama speaker za kutoa waves / mawimbi kutoka kwa wanachosema wanasiasa ?Sidhani kama viongozi wa chadema wanajua wanataka ni nn,
Mnachagua viongozi kwa mihemko ndo matokeo yake haya...sawa na yule wa TLS Yani hamna kitu pale
Mbumbumbu ni wewe ambaye unachagua matapeli na unatapeliwa wala hushtuki. Mbumbumbu ni wewe ambaye hujui kama unaibiwaHusika na mada tajwa hapo juu:
Nashangazwa kuona slogan ya no reform no election ikiendelezwa na viongozi wakuu wa chadema ili hali wanaona kuna maelfu kwa maelfu ya watu wanachukua form za kugombea uongozi ndani ya Nchi yetu.
Hii ni ishara kuwa chadema hakuna viongozi kabisa na sidhani Kama Wana hata action plan ya chama Chao, hii ni aibu kwa Chama kuongozwa na watu wenye fikra finyu kama hawa jamaa wa chadema.
Kuamini slogan ya no reform no election ni ishara ya chama kuwa na viongozi mbumbumbu.
Good morning wakuuu
Justify it...♦Is from a non critical thinker leader
wewe ni MALAYA WA KISIASA huwezi kuelewaHusika na mada tajwa hapo juu: