No Reforms no electionHusika na mada tajwa hapo juu:
Nashangazwa kuona slogan ya no reform no election ikiendelezwa na viongozi wakuu wa chadema ili Hali wanaona Kuna maelfu kwa maelfu ya watu wanachukua form za kugombea uongozi ndani ya Nchi yetu.
Hii ni ishara kuwa chadema hakuna viongozi kabisa na sidhani Kama Wana hata action plan ya chama Chao, hii ni aibu kwa Chama kuongozwa na watu wenye fikra finyu Kama Hawa jamaa wa chadema.
Kuamini slogan ya no reform no election ni ishara ya chama kuwa na viongozi mbumbumbu.
Good morning wakuuu
Hahaaaa unapakini nnMleta hoja umeandika nini?
Unajua hueleweki!
Unajua maana ya hiyo slagan hayo?
Si ungeuliza kabla ya kuandika?
Ungekaa kimya ingekusaidia kuficha ujinga wako!
Hiyo sio tetesi, na mada yako ni ushauri binafsi. Ondoa title ya tetesiHusika na mada tajwa hapo juu:
Nashangazwa kuona slogan ya no reform no election ikiendelezwa na viongozi wakuu wa chadema ili hali wanaona kuna maelfu kwa maelfu ya watu wanachukua form za kugombea uongozi ndani ya Nchi yetu.
Hii ni ishara kuwa chadema hakuna viongozi kabisa na sidhani Kama Wana hata action plan ya chama Chao, hii ni aibu kwa Chama kuongozwa na watu wenye fikra finyu kama hawa jamaa wa chadema.
Kuamini slogan ya no reform no election ni ishara ya chama kuwa na viongozi mbumbumbu.
Good morning wakuuu
Sidhani kama viongozi wa chadema wanajua wanataka ni nn,Kwanza hii no Reform no Election ni nini ? Sababu binafsi najua hata hizo so called reforms zikifanyika zitakuwa bado ni maigizo tu ndio maana kitambo sana nilishasema...
Heri Udikteta Kuliko Maigizo ya Demokrasia
Tukumbushane tu..., Sisemi kwamba hili linatokea Sasa lakini Kutumika kwa Rasilimali Fedha na Muda kwenye Maigizo ya Demokrasia au Kutumia Pesa kwa Propaganda, ni bora Muda na Pesa hizo zikatumika kuleta maendeleo kwa Wananchi wanaojua Demokrasia haipo (Maigizo yana Gharama isiyo na Tija...www.jamiiforums.com
Na baada ya watu kudai reforms na wengine kufanya so called reforms kwa kodi zetu nyingi tu bila anything to show for it niliuliza...
Tunahitaji Reforms; Je Reforms zipi na Tunachotaka Kitapitishwa ?
Wizi..., Wizi..., Wizi na Rushwa... hilo limekuwa janga tangu enzi na enzi hata walipokuwa hawaibi kulikuwa hakuna sababu ya kuiba; kwahio cha kujiuliza moja..., Je tunachotaka kitapita tukikaa kwenye majadiliano ? Meza ya Majadiliano Kuna pande zaidi ya tatu zinataka mabadiliko tofauti...www.jamiiforums.com