Tetesi: Kama ni kweli viongozi wa CHADEMA mpaka sasa wanaamini No Reforms no Election, basi chama hakina viongozi

Mkuu haya mapambano ni swala la process....... sio issue ya kulala na kuamka na ikawa solved

Matokeo ya mapambano ya aina yanategemea vitu vingi sana ambavyo ndio vitakuja kuamua hicho kinachopiganiwa kitatimilika lini....... haijaishi itachukua miaka mingapi but someone has to do it no matter what

Unaweza kuwaona CDM wamefeli iwapo utachukulia tu kwamba uchaguzi utafanyika bila reforms.......

Hichi wanacho kipambania CDM kwa kiasi kikubwa kitafanikiwa mapema au kuchelewa sana depends na mentality za wanaopiganiwa zitakavyo kuwa
 
Safi umenyooka
 
Kwanza kabisa kuleta mambo ya wanachopigania CHADEMA ni kutoka nje ya reli kuanzia get go..., (Ifike wakati tuanze kuwapa watu ownership kwamba wanachopigania watanzania; hizi divide and rule no wonder CCM anaendelea kupeta)...; pia haya mambo huwa sio destination kwamba tumefika bali ni muendelezo yaani inategemea na utamaduni sio kwamba sheria ikishawekwa sehemu basi tumemaliza... Nikimnukuu Abraham Franklin akijibu swali aliloulizwa....;
“A republic, if you can keep it.”
--Benjamin Franklin's response to Elizabeth Willing Powel's question: "Well, Doctor, what have we got, a republic or a monarchy?"

Kwahio ndio maana nikasema kwenye uzi wangu wa reforms zipi tunahitaji ni kwamba hata zikiwepo reforms za namna gani kwenye makaratasi tatizo letu kubwa ni wizi na tunahitaji hata kwa sasa kuhakikisha huo wizi haufanyiki au unapungua...

Na kwenye UZI niliouliza ni Reforms zipi tunahitaji (na hata kama tukipewa hizo Reforms je zitamaliza kinachotokea bila Transparency ) hapo chini nimetoa extract kwenye huu Uzi Tunahitaji Reforms; Je Reforms zipi na Tunachotaka Kitapitishwa ?

PENDEKEZO (Transparency UWAZI...) kila KURA iwe accountable kutokea kila KITUO kusiwe na Upenyo wa KUIBA wala KUTEGEMEA HISANI YA TUME au TAASISI
Tatizo ni WIZI na watu ni Corrupt penye UDHIA, RUPIA itapenyezwa na aliye HURU atakuwa HURU mpaka tu pale atapopewa kitu kidogo, kuwa intimidated au vyovyote vile, kwa ushauri ingawa karne hii ya automation tungeweza kabisa kufahamu ni KURA gani imepigwa na nani na wapi (ELECTRONICALLY) bado kungekuwa na uwezekano wa kucheza na MFUMO...; sasa basi kwanini lifuatalo lisifanyika kwa kutumia Teknolojia ambayo ipo tangia enzi na enzi; au hata hio electronically iwe backed up na Uhalisia unaotokea kila KITUO kwa UHAKIKI kufanyika kila KITUO
 
Hujitambui
 
Kwamba hiyo ni TETESI. Dunia inamambo hiiiiiii....
 
"The strongest man is the one who stands alone" kuchukuwa kwao fomu hakubadilishi madai ya tume huru ya uchaguzi,lengo ni tume huru hata kama uchaguzi utafanyika ila the strongest message has been communicated through the slogan NO REFORMS NO ELECTION
 
Mkuu huoni kwamba hiyo ni fursa hata wewe unaweza ukawa mbunge kwa sababu chadema wao hawashiriki uchaguzi,we subiri Oktoba ifike ukapige kura umpigie bi khadija kopa ili apite kwa kishindo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…