Tetesi: Kama ni kweli viongozi wa CHADEMA mpaka sasa wanaamini No Reforms no Election, basi chama hakina viongozi

Wapo wamejaa tele japo wengine mnawapunguzia Lupango na wengine kuwafunga kamba za mikono na miguu huku nje.Elewa NRNE
 
No Reform, No Election
 
NERNE-2025

No electroral reforms, 2025, No elections, 2025

Silence surrenders public responsibilities

Kunyamaza siyo amani bali ni kusalimu amri kwa majukumu ya kijamii ama kitaifa
 
Speaking of NRNE...... Mkuu CDM ni chama cha kisiasa hivyo basi kitapambania usawa wa Kisiasa...... hii ndio area yake.
Unakwendaje kwenye uchaguzi kwenye mchakato tu zaidi ya 90% ya wagombea wanakatwa eti hawajui kujaza form!?!?!?!


CDM wanapigani UCHAGUZI HURU NA HAKI kwanza(mengine yatafuatia)it called process ....... sasa wewe na akili zako timamu kama unaona Nchi hii kuna uchaguzi huru na wa haki na CDM wanachofanya ni UJINGA basi hatutaweza kuelewana mkuu kwasababu wewe pia ni sehemu ya tatizo wanalolipigania CDM


Huwa najiulizaga sana huwa mnataka CDM ifanye maajabu gani zaidi ya jitihada zote hizi wanazozifanya zinazopelekea kuhatarisha naku cost maisha yao chini serikali ambayo inawaona kama WAHALIFU?

Au kwamba CDM ifuate hayo MAPENDEKEZO yako mambo yatakuwa sawa?(BTW hautasaidia sababu 90% watakatwa kugombea)
Ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia ucheze..... sasa ingia na wewe ulingoni na uwape hayo mapendekezo yako serikali hii ya CCM ndio utawaelewa kwanini CDM wanataka REFORM kabla ya UCHAGUZI.......
 
Hao wanaitwa nyumbu
 
Sasa wewe ni CDM kwani....chukueni form wahimize wanaccm wenzako.

Ila usisahau uchaguzi ni baada ya Reforms kufanyika na hapo ndipo utakapoona miamba ya Siasa kwenye uwanja wa huru na haki
Lioneni hili zombie halina ht haya,
 
Rubbish
 
Hiyo haki mtaikuta kaburini
 
Speaking of NRNE...... Mkuu CDM ni chama cha kisiasa hivyo basi kitapambania usawa wa Kisiasa...... hii ndio area yake.
Unakwendaje kwenye uchaguzi kwenye mchakato tu zaidi ya 90% ya wagombea wanakatwa eti hawajui kujaza form!?!?!?!
Kila mtu hata mlipa Kodi atapigania ukweli sababu bila hivyo ni kupoteza muda wake na kodi zake hilo lipo wazi kabisa ila kupigania na kusema hiki kifanyike haimaanishi kitafanyika pia kama unaweza maji kwenye kikapu hata ukisema uzibe na lami haimaanishi maji hayatamwagika (huenda the only way ni kuhakikisha maji yanawekwa kwenye ndoo na sio kikapu..., Thus my questions still stands sababu ni juzi tu hapa pesa nyingi sana imetumika kufanya so called reforms na kuja na Slogans za 4R sijui na vitu gani.., fast forward to now what have we got to show for it
Hata kusoma unajua ? achana na leo mimi nilishasema mwaka 2023 Oktoba na sio leo kuona kumekucha ndio watu wanakumbuka mashuka kwamba kinachoendelea ni Maigizo...
Huwa najiulizaga sana huwa mnataka CDM ifanye maajabu gani zaidi ya jitihada zote hizi wanazozifanya zinazopelekea kuhatarisha naku cost maisha yao chini serikali ambayo inawaona kama WAHALIFU?
Nani anataka nini afanye nini ? CHADEMA ni Chama cha Siasa kama Chama kingine kwahio wao na wanachama wao wenye fikra kama zao wapo huru kufanya lolote lile wanalotaka kufanaya na kukubaliana na wanachama wao wala sio busara kwa mtu mwingine kuwapangia (so long as wanachofanya hakiingilii haki na maisha ya wengine); Na kila mwananchi ambaye ni mlipa Kodi (Zinazotumika kama Ruzuku) kwa hivi vyama ana kila Haki ya kuhoji, kuuliza na kuongea mawazo yake kwa lolote linalohusu hivi vyama; Na CHADEMA kama Taasisi itakuwa na busara kusikiliza kila wanachoambiwa (sio lazima kukifanyia kazi) ukizingatia hawa wote watanzania ni potential wanachama au waungaji mkono wao...
Au kwamba CDM ifuate hayo MAPENDEKEZO yako mambo yatakuwa sawa?
Mapendekezo yangu yapi ? Na ni lini nimewashauri CHADEMA au kuweka neno CHADEMA ? Mimi nimeuliza kwamba ndio wote tunataka Reforms ila Reforms zipi na ni vipi zitafanya kazi..., Na mwisho kabisa nikasema tujitahidi kuzuia wizi (Na ni kweli tukizuia wizi mambo yatakuwa sawa kwa watu kura zao kuhesabiwa) Ingawa bado kwa maisha yatakuwa kama yalivyo kutokana na kwamba Vyama hivi vyote vimekuwa Platforms za watu kutafuta Kura kwenda Kula... (na hakuna big ideological difference between them)
Ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia ucheze..... sasa ingia na wewe ulingoni na uwape hayo mapendekezo yako serikali hii ya CCM ndio utawaelewa kwanini CDM wanataka REFORM kabla ya UCHAGUZI.......
Unaongelea niingie nicheze unadhani Kodi za kila Mtanzania zinazotumika katika Demokrasia ni nini kama sio kwamba kila Mtanzania anacheza
 
Uko sahihi kubadilisha kanuni za uchaguzi bila marekebisho ya katiba ni kutwangwa maji kwenye kinu, vile vile ni sawa na kuwa na sera mpya lakini unatumia sheria za zamani hizo sera haziwezi kufanya kazi

Similarly to, expecting results from what you know
Kutegemea matokeo chanya kwenye uchafuzi
 
Jinga wewe
 
Unaota sana ww hujui huku ground hasira za wananchi zinavofukuta..huu mwaka tutagawana majengo
 
Mkuu mwisho tutatoka nje ya mada(nilikundhania najadili na mleta mada)

Mimi nimempiga mleta hoja anayedai kama CDM bado wanaamini NRNE itafanya kazi basi ni WAJINGA
Nikamjibu kwamba harakati za kisiasa ni MCHAKATO..... siasa zitaendelea kufanywa hadi ukamilifu wa dahali, kitakachokua kinabadilika ni mahitaji ya wakati husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…