Kama ni Kweli Yanga tulifanya hivi sisi ni mazuzu, mazumbukuku ulimwengu upo huku. Inasikitisha sana kwa watu wenye akili

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Hili tatizo nadhani tunalo muda mrefu. La uswahili, kijicho, wivu na uzumbukuku wa baadhi ya watu. Kama anayosema huyu Prof ni kweli sisi Yanga ni watu wa ajabu sana.

Lazima watu watakuwa wanatucheka, wanatushangaa sana. Msikilize mwenyewe ingawa kaongea kwa lugha ya Kikristo.

Your browser is not able to display this video.
 
" Yanga na Simba ni wapinzani ila siyo kwamba hawapatani "
NB: SIYO MANENO YANGU.
 
We umezaliwa lini?
Humjui Gulamali?

Hata hivyo kwa yanga wanategemea sana mambo ya fitna ndiyo maana siwapendi.
Nikikumbuka wanasimba walipokuwa wanaibeza Yanga kuwa hawajui kufanya fitina kimataifa nabaki nashangaa na hii kauli yako ya sasa.

Hata hivyo Yanga hii ya sasa ni bora sana . Mpira ni mchezo wa wazi na kila mtu anaona
 
NA bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…