mpenda arage
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 1,677
- 3,806
Sukuma wiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mambo zingine naonaga nikisema neno nitajikuta napata tafasiri yenye kumjeruhi mtu.
Ebu ngoja nikuwe msomaji tu aiseeeee
Nani huyo...Sukuma wiki
Ila mnavu ulishakula?Kazi kwelikweli
Jamaa anasema ww kama ingekuwa ni mboga anajufananisha ma mchicha. Haja specify mchicha bange, pori au mwiba?Kazi kwelikweli
Ebu muulize ni mchicha upiJamaa anasema ww kama ingekuwa ni mboga anajufananisha ma mchicha. Haja specify mchicha bange, pori au mwiba?
Ji specify
Na ninaupenda sana wa naziIla mnavu ulishakula?
Mnavu mchungu mchungu[emoji53][emoji53][emoji53]Na ninaupenda sana wa nazi
Ebu sema neno ebu....[emoji101] Maana sio kwa vicheko hivi wallah....[emoji45] [emoji45] [emoji45][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Atapita hapa atakujibuEbu muulize ni mchicha upi
Huyu nae yumo kwenye listAsante shemeji yangu ndio mana nakupenda
Mnywaji utamjua tuNa ninaupenda sana wa nazi
Ukishushia na jibapa swadaktaaaMnavu mchungu mchungu[emoji53][emoji53][emoji53]
Kwanini shemejiHuyu ni bamia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ananisaidia Kula udongoJana nimewaona hapa mtaan Jilan yangu miguu imemvimba alafu anatapika tapika
Kuchunguza kiundan kuna mama mmoja iv mtu mzima akasema uyo dada mjamzito na ndio wanampeleka hospital
Nikasema tobaaaaah