Kama ni Samia, Lissu ndiye Rais ajaye wa Tanzania

Griss

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2025
Posts
336
Reaction score
1,960
Kama CCM haitashafishwa na wataruhusu mla rushwa namba moja kugombea.

Lissu ndiye Rais ajaye

Wajumbe wa CCM jifunzeni kwa wajumbe wa chadema walichomfanyia Mbowe fanyeni hivyo hivyo.

Lasivyo Chadema ya Lissu inaenda Ikulu mwaka huu maana reform lazima zifanyike hata mfanye kitu gani.

Kupanga ni kuchagua chagueni Samia aachwe Kama mgombea na chama kife au aondolewe Kama ambavyo system zote za nchi zimewashauri.?

Nani atawalinda wakati wezi wa kura mwaka huu wamejiweka pembeni?

Let's watch the movie.
 
Kama CCM haitashafishwa na watachujua rushwa

Lissu ndiye Rais ajaye

Wajumbe wa CCM jifunzeni kwa wajumbe wa chadema walichomfanyia Mbowe fanyeni hivyo hivyo.

Lasivyo Chadema ya Lissu inaenda Ikulu mwaka huu maana reform lazima zifanyike hata mfanye kitu gani.

Kupanga ni kuchagua chagueni Samia aachwe Kama mgombea na chama kife au aondolewe Kama ambavyo system zote za nchi zimewashauri.?

Nani atawalinda wakati wezi wa kura mwaka huu wamejiweka pembeni?

Let's watch the movie.
Reforms zinafanywa na nani?
 
Shirkilieni Hapo hapo Pa Kufanya refomrs na Kulinda Sanduku la Kura.

Baada ya Hapo, Kila kitu kitakua kinaenda smooth as tutakua na vyama 2 vikubwa nchini.
 
Kama CCM haitashafishwa na wataruhusu mla rushwa namba moja kugombea.

Lissu ndiye Rais ajaye

Wajumbe wa CCM jifunzeni kwa wajumbe wa chadema walichomfanyia Mbowe fanyeni hivyo hivyo.

Lasivyo Chadema ya Lissu inaenda Ikulu mwaka huu maana reform lazima zifanyike hata mfanye kitu gani.

Kupanga ni kuchagua chagueni Samia aachwe Kama mgombea na chama kife au aondolewe Kama ambavyo system zote za nchi zimewashauri.?

Nani atawalinda wakati wezi wa kura mwaka huu wamejiweka pembeni?

Let's watch the movie.
Mtapewa kila kitu lkn Ikulu mtafanya kuja kunywa chai na kuondoka tu.
 
Shirkilieni Hapo hapo Pa Kufanya refomrs na Kulinda Sanduku la Kura.

Baada ya Hapo, Kila kitu kitakua kinaenda smooth as tutakua na vyama 2 vikubwa nchini.
Yesi kunazaliwa vyama viwilli vyenye Nguvu lazima maendeleo yaje hakuna kulemba
 
Mmeambiwa tangu enzi ya CCM ya Nyerere hakuwa aliyewahi kuwa juu ya Fikra sahihi za Mwenyekiti wa CCM. MWENYEKITI WA CCM ana nguvu sana.
 
Kwasasa nchi inasubri mapendekezo ya wagombea wa ubunge wa CCM.
Endeleeni kujidanganya
 
Kama CCM haitashafishwa na wataruhusu mla rushwa namba moja kugombea.

Lissu ndiye Rais ajaye

Wajumbe wa CCM jifunzeni kwa wajumbe wa chadema walichomfanyia Mbowe fanyeni hivyo hivyo.

Lasivyo Chadema ya Lissu inaenda Ikulu mwaka huu maana reform lazima zifanyike hata mfanye kitu gani.

Kupanga ni kuchagua chagueni Samia aachwe Kama mgombea na chama kife au aondolewe Kama ambavyo system zote za nchi zimewashauri.?

Nani atawalinda wakati wezi wa kura mwaka huu wamejiweka pembeni?

Let's watch the movie.
Wezi wa kura walizojiwekea Pembeni ni akina nani?
 
Mliokatwa majina mlishaanza fujo, tulieni teuzi bado ni nyingi acheni kelele.
 
Kama CCM haitashafishwa na wataruhusu mla rushwa namba moja kugombea.

Lissu ndiye Rais ajaye

Wajumbe wa CCM jifunzeni kwa wajumbe wa chadema walichomfanyia Mbowe fanyeni hivyo hivyo.

Lasivyo Chadema ya Lissu inaenda Ikulu mwaka huu maana reform lazima zifanyike hata mfanye kitu gani.

Kupanga ni kuchagua chagueni Samia aachwe Kama mgombea na chama kife au aondolewe Kama ambavyo system zote za nchi zimewashauri.?

Nani atawalinda wakati wezi wa kura mwaka huu wamejiweka pembeni?

Let's watch the movie.
Labda anawazungumzia wakina Kinana, Makamba, Nape.

Sio vigumu CCM kutafuta wezi wengine wa kura. Ni kitu rahisi sana kwa CCM. Hata hivyo hakuna chama chama mbadala sasa, kimefungiwa. Mbadala utatoka humohumo ndani ya CCM.
 
Back
Top Bottom