Reforms zinafanywa na nani?Kama CCM haitashafishwa na watachujua rushwa
Lissu ndiye Rais ajaye
Wajumbe wa CCM jifunzeni kwa wajumbe wa chadema walichomfanyia Mbowe fanyeni hivyo hivyo.
Lasivyo Chadema ya Lissu inaenda Ikulu mwaka huu maana reform lazima zifanyike hata mfanye kitu gani.
Kupanga ni kuchagua chagueni Samia aachwe Kama mgombea na chama kife au aondolewe Kama ambavyo system zote za nchi zimewashauri.?
Nani atawalinda wakati wezi wa kura mwaka huu wamejiweka pembeni?
Let's watch the movie.
Mtapewa kila kitu lkn Ikulu mtafanya kuja kunywa chai na kuondoka tu.Kama CCM haitashafishwa na wataruhusu mla rushwa namba moja kugombea.
Lissu ndiye Rais ajaye
Wajumbe wa CCM jifunzeni kwa wajumbe wa chadema walichomfanyia Mbowe fanyeni hivyo hivyo.
Lasivyo Chadema ya Lissu inaenda Ikulu mwaka huu maana reform lazima zifanyike hata mfanye kitu gani.
Kupanga ni kuchagua chagueni Samia aachwe Kama mgombea na chama kife au aondolewe Kama ambavyo system zote za nchi zimewashauri.?
Nani atawalinda wakati wezi wa kura mwaka huu wamejiweka pembeni?
Let's watch the movie.
Yesi kunazaliwa vyama viwilli vyenye Nguvu lazima maendeleo yaje hakuna kulembaShirkilieni Hapo hapo Pa Kufanya refomrs na Kulinda Sanduku la Kura.
Baada ya Hapo, Kila kitu kitakua kinaenda smooth as tutakua na vyama 2 vikubwa nchini.
Huyu yupo kwenye system hivyo tuliaMtapewa kila kitu lkn Ikulu mtafanya kuja kunywa chai na kuondoka tu.
Wezi wa kura walizojiwekea Pembeni ni akina nani?Kama CCM haitashafishwa na wataruhusu mla rushwa namba moja kugombea.
Lissu ndiye Rais ajaye
Wajumbe wa CCM jifunzeni kwa wajumbe wa chadema walichomfanyia Mbowe fanyeni hivyo hivyo.
Lasivyo Chadema ya Lissu inaenda Ikulu mwaka huu maana reform lazima zifanyike hata mfanye kitu gani.
Kupanga ni kuchagua chagueni Samia aachwe Kama mgombea na chama kife au aondolewe Kama ambavyo system zote za nchi zimewashauri.?
Nani atawalinda wakati wezi wa kura mwaka huu wamejiweka pembeni?
Let's watch the movie.
Huyu atakuwa jina limekatwa.Duh mbona thread Ina ukali sana!
Labda anawazungumzia wakina Kinana, Makamba, Nape.Kama CCM haitashafishwa na wataruhusu mla rushwa namba moja kugombea.