yaaani we acha tu.....mi hata siko huko kwenye kuchuna.....kijiji nilicho nkikaa vibaya nachunwa mie hahahahaaha!sasa hivi kila kijana amekaa na machale, na kumpa tu zawadi mpenzi anaogopa kuonekana buzi hata kama anayo nafasi ya kumspoil mwanamke wake na mapochopocho, kazi mnayo shosti
hahahaahahhaahahha!!!umeanza eeh?lol
Kama ukihitaji mzigo anakulete sidhani kama kuna haja ya kuwasiliana nae mara kwa mara.
always wanaume wanawafikiria wanawake negative.haya umenunua simu unataka kwenye kontakt uwe wewe tu?inawezekana kwa ulimwengu huu?tatizo lenu ni kwamba akiongea na simu ukasikia sauti ya kiume,hawara sijui kibustan...sio hivyo guys.toeni mawazo hayo na sio kila utakae mnunulia simu anapenda mahawara au sim hiyo anawasiliana na hawara jaman....kwa stili hiyo mtaendelea kuishi kwa kukariri.
umenikumbusha machungu
nilimnunulia mtu blackberry
sina hamu.......
mwanamke akisema sina simu,mwambie tu ukinunua tutawasiliana lol
we mzee sasa atakwambia mtakutanaje upate huo mzigo?
Kama ukihitaji mzigo anakulete sidhani kama kuna haja ya kuwasiliana nae mara kwa mara.
kama shida ni mawasiliano tu mtafutie fasta kitu cha promosheni hakizidi elfu 20Inaelezwa kwamba wanawake wa mjini ambao hawana simu, wanapoanzisha uhusiano na mwanaume ambaye ana simu, kauli ya, ‘kama ningekuwa na simu ingekuwa vizuri sana,' hujitokeza.
unataka tuite "vi attachment??"
na ukinunua simu itakuja ya 'kama ningekua na bb,tungeweza kuchat fb bila gharama'
ila mkinunuliwa nyie mnaona sawa tu!mkinunulia mwanamke mmechunwa?
Ntake radhi tafadhali... Mimi sio mchunaji....
ha ha ha ha aaaaa............ hayo ya BB yameniacha hoi
hahahaha! Ukishanunuliwa bb utaanza nikipata kivitz tutakuwa tunaonana kila siku. Lol!
Kifupi mahitaji hayaishi.
kuna mtu kani PM umemchuna hadi amebaki na pensi nyanya tu.
umenikumbusha machungu
nilimnunulia mtu blackberry
sina hamu.......
mwanamke akisema sina simu,mwambie tu ukinunua tutawasiliana lol