Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Wadau kama nitakuwa nimewagusa sehemu mbaya mnisamehe tu ... Tunapofanya sensa mwaka huu naomba tusiishie tu kuhesabu watu.
Tuendelee mbele kidogo. Tuhesabu watu wenye utimamu wa akili. Unaweza ukawa unahesabu mayai ya kuku na kudhani atatotoa vifaranga kumi. Kumbe mayai mengine mengi tu mabovu.
Kwenye sensa kuhesabiwe watu wenye utimamu wa akili. Maana sisi wengine tuna akili za kuvukia barabara na kuvalia nguo tu. Lakini uwezo wa kududumua mambo hatuna ndo maana mtu yeyote anaweza ibuka na kutufanya tuwe wafuasi wake.
Lakini pia napendekeza zoezi hili la sensa mwaka huu liendeshwe na wanafunzi. ndiyo... Liendeshwe na wanafunzi.haya yatakuwa ni mageuzi makubwa. Anyway hapa nimechomekea tu hata sijui kwa nini nimependekeza hivi.
Pia nashauri liwe likifanyika kila mwezi. Maana watoto wanazaliw na wengine wanakufa kila siku. So tuhesabiwe kila mwezi na iwe ajira ya kudumu isipokuwa pale mhesabuji naye atakapokufa. Huu ushauri ni wa kitaalamu.
Nimepata wazo wabunge wapewe hili zoezi na walipwe mil 3 kwa siku hawa watahesabu vizuri watu wa majimboni mwao na kuleta maendeleo. Anyway ....mi sijui naandika tu hat point yangu sielewi ni nini. Ila nadhani ni muhimu kujua watanzania wangapi wana utimamu wa akili au akili timamu...inawezekana tunaonekana wengi kumbe ni mayai mabovu.mayai viza... Na haya mayai viza katikati yao wanachagua mayai viza kuyaongoza.