Kama nyani alibadilika akawa binadamu ni kwanini nyani na sokwe wa sasa hawabadiliki tena kuwa binadamu?

Charles Darwin alikua racist person ever hope yeye and other racists rot in hell,,, that shit was made up even iq stuff yote kufanya mtu mweusi awe chini tu,,,,
 
Wewe unaweza kuelewa kirahisi kwa kujua mambo kama hayo ya mRNA , mutation, DNA changes etc.

Kuna watu hawajui lolote kuhusu hayo mambo hawajui hata mutation ni nini.

Hapo ndo kimbembe kwanza uanze kufundisha mutation kwa Kiswahili.
Katika hazina za Jf wewe ni mmoja wao.
Hongera mkuu
 
Huyo nyani alikuwa mweusi, mweupe au njano ?
 
Mimi ni kijakazi mtwana tu, sema nina Kiranga tu.

Wapo wenyewe hawatokei sana humu kwa kuogopa kelele.

Uzuri wangu mimi siogopi kelele.
Huu uzi nimesoma maoni yote herufi baada ya herufi.
Kuhusu Evolution sikuwa naielewa sana hii nadharia.
Walau sasa nimepata mwanga zaidi kutokana na maswali na majibu ambayo yametolewa humu.
Mwisho naweza kusema Nadharia ya Evolution inaingia akilini kuliko nadharia ya kuumbwa na Mungu kutoka mavumbini.
 
Usilinganishe evolution na utengenezaji wa pombe, leo unachanganya kangara na kimea, kesho togwa, kesho kutwa pombe.
 
Darwin hakusema nyani walibadilika

BTW kama nyoka aliongea na Hawa mbona saizi hatuoni nyoka wakiongea??
Kuongea Kwa nyoka haikuwa evolution wala kutokuongea Kwa nyoka nowadays sio kuseaze au kupouse Kwa hio ridiculous evolution.
 
We akili zako zilikuwa haziko tyr kushika hivi vitu
 
Mbona binadamu hawageuki nyani japo wapo wenye unyani kama machawa?
Utaambiwa subiri miaka bilioni 2 uone…

Hizi habari za mamilioni na mabilioni ya miaka iliyopita ni beyond prehistoric.

Hakuna ajuaye kilichotokea miaka yote hiyo huko nyuma.

Ni conjecture tu.
 
Utaambiwa subiri miaka bilioni 2 uone…

Hizi habari za mamilioni na mabilioni ya miaka iliyopita ni beyond prehistoric.

Hakuna ajuaye kilichotokea miaka yote hiyo huko nyuma.

Ni conjecture tu.
Mkuu,

Evolution from random mutation facilitated by the environment na natural selection inatokea hata kwa muda mfupi kwenye microorganism.

Huku kwenye watu na nyani, viumbe wakubwa, ndiyo unahitaji mamilioni ya miaka, kwenye bacteria unaona evolution at work ndani ya miaka michache tu.

Nimeelezea hapo juu uhusiano wa mutation, evolution na anti-microbial resistance.

Sababu inayofanya dawa za zamani za Malaria, Gono, etc zisifanye kazi siku hizi, tuhitaji dawa mpya, ni evolution inayotokea kwa microorganisms.

Ukitaka kuona evolution inafanya kazi katika muda mfupi, angalia bacteria wanavyotengeneza drug resistance. Usiangalie nyani na watu
 
Kuongea Kwa nyoka haikuwa evolution wala kutokuongea Kwa nyoka nowadays sio kuseaze au kupouse Kwa hio ridiculous evolution.
Hata kama sio evolution, the fact ni kwamba tunajadili yale yaliyosimuliwa kufanyika nyakati za nyuma tunataka kuyaona yakiendelea kufanyika na sasa kupitia character wale wale ambao hadi saizi wapo.

Na sio tu nyoka hadi Punda naye stori zake tunazo kuwa aliongea.

Tuambieni kwanini punda wa saizi hawaongei?
 
Subiri utaona baada ya miaka milioni 800 🤣.
 
Hakuna sayansi inayofundisha kuwa nyani alibadilika kuwa binadamu.
Nyani as in Apes. Not as in monkeys.
So early human beings walikuwa apes.
We are modernized apes na sayansi inasema hivyo na inasupport theory hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…