Kama Paul Makonda angekuwa RC Dar matukio ya ajabu yasingetokea, maana alidhibiti uhalifu. Wauza shisha walipotea kama barafu iliyoyeyuka

Habari za kusadikika?
 
Mpeleke kijijini kwenu awe Mwenyekiti
 
Angekuwa RC hadi April tu kwani tayari naye angekuwa amemfuata baba yake ku RIP kupitia divine intervention.
 
Kuna uzi wenu kule unakusubiri useme chochote. Ni kuhusu hasara za ndege
 
Ni kweli walipotea wahuni wote, wengine wanaokotwa baharini kwenye sandarusi wakiwa tayari.
 
Huna akili wewe,huyo mtu wako alichokuwa anajua ni kutisha watu na wengine kuwasingizia tuhuma za madawa ya kulevya na kuwapora mali zao,kama unampenda sana nenda mkaoane.
 
Sawa, Unaweza pia kusema babaaa angekuwepo, kusingekuwa na tozo za miamala na kadhalika na kadhalika! Lakini uyatima na ujane ni pale pale!
 
Makonda aendelee na majukumu yake mengine, Dar tayari tunaye RC.

Chini ya utawala wa Makonda Dar ilikuwa kituo cha kuteka, kutesa na kupoteza watu..
Sijui unamuongelea Makonda yupi
Na yule mzungu aliyeuwawa kule masaki alikuwa anajishughulisha na mambo ya kitalii..
 
Yeye mwenyewe alikuwa ni kinara wa genge la wauaji labda ndio maana, lakini usisahau alichokifanya kwenye kituo cha redio cha Clauds sijui napo utasema alikuwa anahimiza amani..!!

Wewe uliyekuwa ukimlamba viatu ndio unaweza kufahamu vizuri.
 
Homa zingine ni mbaya sana.Watu wanaenda mbele halafu kikaragosi mwingine anaishi past-tenses kama akili zimeibwa.Tiba igawiwe haraka.
 
Maisha yanakwenda kasi sana......yaani Bashite alikuwa na maguvu kuliko serikali...lakini sasa amekuwa mdogo kama tumbili....kweli madaraka wacha kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…