Kama polisi ndio wanaishi Maisha haya ya kuombaomba hivi, acha nitafute hela Kazi nyingine hazina heshima

Umeandika
Ujinga tupu.sasa unalalamika kuombwa pesa alafu umetoa pesa f
 
Kwanini utembee na gari haina plate number, imetoka hairekebishiki? .
Tatizo linaanzia kwako, ni bora wanachukua hata hizo ten ten we unafikiri kama kila mtu angekuwa anapelekwa polisi kisha mahakamani huko vituoni wangejaa watu wengi sana.
Hakuna cha ajabu wala kipya ni maisha ya ku balance mzani kotekote.
Unasema jasho lako kwani kakupora? Si umempa mwenyewe.
Acha unafiki.
 
πŸ˜‚Sasa unafki wangu Nini hapo??
Ni bora kuchangia Hela serikalini kuliko kuchangia Jitu moja. Vipi kaka upo Huko mbona Unaongea Kwa hisia kali
 
Maisha ya namna hii mabaya sana!
Ndiyo maana polisi wakiwa nje ya uniform utawaonea huruma yani wapo hovyo unashindwa kumtofautisha na muokota makopo yani waanza kupata laana kabla ya kustaafu, kati ya kazi zenye laana nahisi polisi namba moja. Mbona askari wenzao wa Jwtz nje ya uniform wapo vizur tu.
 
πŸ˜‚Sasa unafki wangu Nini hapo??
Ni bora kuchangia Hela serikalini kuliko kuchangia Jitu moja. Vipi kaka upo Huko mbona Unaongea Kwa hisia kali
Ndio maana nasema mnafiki, unasema ni bora kuchangia serikalini kuliko kuchangia jitu moja. Halafu umechangia jitu mojaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mtoa rushwa na mpokea rushwa wote wana makosa. Tambua kuwa wewe pia una makosa kwa kutoa hiyo elfu 10. Wangekupeleka tu kituoni ili ukatoe zaidi ya hiyo.
 
Afande umekuwa mkali kama pilipili.
 
Hakika wewe umenielewa
 
Hela ya kubrashia viatu wanaruhusiwa kuchukua maana kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
 
Mkuu, We anza hiyo biashara ya madawa uwe unatoa laki mbili uone itachukua muda gani kabla ya kukutana na nyapara.
Kuna jamaa namjua yeye anauza bagi anatoa mkuranga njiani anaacha 150k kila siku na anapiga Hela kila siku na kila siku anafata mzigo

Achana na huyo kuna mwingine anafata mirungi Kenya njiani full rushwa unasema Nini wewe
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…