Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuSawa boss ili imetoka Muda huo huo na jamaa hawaaa😂
Ujinga tupu.sasa unalalamika kuombwa pesa alafu umetoa pesa fLeo kuna polisi Fulani wamenikamata kwasababu Chombo changu cha usafiri hakina plate number (kilikatika kikawa hakiwezi kufungika)
Sasa jamaa wamenikamata mmoja akapanda twende kituoni mmoja akaanza kunambia unashingapi ili tusifike polisi nikasema sina Hela we twende polisi.
Akasema kama una 30k nipe nikuachie nikasema sina brother twende polisi uzuri aliponikamata nilianza kumrecord kila anachoongea.
Nikafika nje ya polisi nikamwambia bro tusipotezeane Muda chukua 10k nikafanye Kazi akasema poa poa nipe nikampa Sasa hapa Nina full voice ya kuomba Hela natamani nikareport TAKUKURU Ila namuonea huruma kijana mwenzangu.
Sasa kama Hela ndio wanazipata Kwa namna hii Kwa kupitia jasho la wengine Raha yake IPO wapi??
Ndio maana wengi wao wakistaafu wanahangaika na mgonjwa kwasababu ya dhurma walizofanya wakati wa kazi zao.
Polisi kama ndio mnaidshi Kwa namna hii badilikeni msitafute Hela Kwa watafutaji wengine
😂Sasa unafki wangu Nini hapo??Kwanini utembee na gari haina plate number, imetoka hairekebishiki? .
Tatizo linaanzia kwako, ni bora wanachukua hata hizo ten ten we unafikiri kama kila mtu angekuwa anapelekwa polisi kisha mahakamani huko vituoni wangejaa watu wengi sana.
Hakuna cha ajabu wala kipya ni maisha ya ku balance mzani kotekote.
Unasema jasho lako kwani kakupora? Si umempa mwenyewe.
Acha unafiki.
Umeandika
Ujinga tupu.sasa unalalamika kuombwa pesa alafu umetoa
Wanaume wakiwa wanafanyq mazungumzo kuhusu uchumi jitahidi utulieUmeandika
Ujinga tupu.sasa unalalamika kuombwa pesa alafu umetoa pesa f
Ndiyo maana polisi wakiwa nje ya uniform utawaonea huruma yani wapo hovyo unashindwa kumtofautisha na muokota makopo yani waanza kupata laana kabla ya kustaafu, kati ya kazi zenye laana nahisi polisi namba moja. Mbona askari wenzao wa Jwtz nje ya uniform wapo vizur tu.Maisha ya namna hii mabaya sana!
Ndio maana nasema mnafiki, unasema ni bora kuchangia serikalini kuliko kuchangia jitu moja. Halafu umechangia jitu moja😂😂😂Sasa unafki wangu Nini hapo??
Ni bora kuchangia Hela serikalini kuliko kuchangia Jitu moja. Vipi kaka upo Huko mbona Unaongea Kwa hisia kali
Mtoa rushwa na mpokea rushwa wote wana makosa. Tambua kuwa wewe pia una makosa kwa kutoa hiyo elfu 10. Wangekupeleka tu kituoni ili ukatoe zaidi ya hiyo.Leo kuna polisi Fulani wamenikamata kwasababu Chombo changu cha usafiri hakina plate number (kilikatika kikawa hakiwezi kufungika)
Sasa jamaa wamenikamata mmoja akapanda twende kituoni mmoja akaanza kunambia unashingapi ili tusifike polisi nikasema sina Hela we twende polisi.
Akasema kama una 30k nipe nikuachie nikasema sina brother twende polisi uzuri aliponikamata nilianza kumrecord kila anachoongea.
Nikafika nje ya polisi nikamwambia bro tusipotezeane Muda chukua 10k nikafanye Kazi akasema poa poa nipe nikampa Sasa hapa Nina full voice ya kuomba Hela natamani nikareport TAKUKURU Ila namuonea huruma kijana mwenzangu.
Sasa kama Hela ndio wanazipata Kwa namna hii Kwa kupitia jasho la wengine Raha yake IPO wapi??
Ndio maana wengi wao wakistaafu wanahangaika na mgonjwa kwasababu ya dhurma walizofanya wakati wa kazi zao.
Polisi kama ndio mnaidshi Kwa namna hii badilikeni msitafute Hela Kwa watafutaji wengine
Afande umekuwa mkali kama pilipili.Kwanini utembee na gari haina plate number, imetoka hairekebishiki? .
Tatizo linaanzia kwako, ni bora wanachukua hata hizo ten ten we unafikiri kama kila mtu angekuwa anapelekwa polisi kisha mahakamani huko vituoni wangejaa watu wengi sana.
Hakuna cha ajabu wala kipya ni maisha ya ku balance mzani kotekote.
Unasema jasho lako kwani kakupora? Si umempa mwenyewe.
Acha unafiki.
Mimi na wewe nani mnafki?Ndio maana nasema mnafiki, unasema ni bora kuchangia serikalini kuliko kuchangia jitu moja. Halafu umechangia jitu moja😂😂View attachment 3146016

Nyie maafande wajanja sana.Hahahahaha afande tena? 😂😂😂
upolisi wamejazana wakuria ,wazanaki na wajita ni sawa uwalimu wamejazana wasukuma ni jamii ya watu hua wanaridhika na pesa ndogo hawawezi kushinikiza mishahara iongezwe wala nini wenyew wanasema hawana tamaa
unadhani sisi wasukuma ni masikini hivo wewe kabila kwanza
Hakika wewe umenielewaNdiyo maana polisi wakiwa nje ya uniform utawaonea huruma yani wapo hovyo unashindwa kumtofautisha na muokota makopo yani waanza kupata laana kabla ya kustaafu, kati ya kazi zenye laana nahisi polisi namba moja. Mbona askari wenzao wa Jwtz nje ya uniform wapo vizur tu.
Mkuu, We anza hiyo biashara ya madawa uwe unatoa laki mbili uone itachukua muda gani kabla ya kukutana na nyapara.Njaa ni kali sana.
Nawaza ukiwa na mabangi yako au madawa ya kulevya unawapa tu laki mbili unapitisha mzigo!
Tuko salama kiasi gani?
Hela ya kubrashia viatu wanaruhusiwa kuchukua maana kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.Leo kuna polisi Fulani wamenikamata kwasababu Chombo changu cha usafiri hakina plate number (kilikatika kikawa hakiwezi kufungika)
Sasa jamaa wamenikamata mmoja akapanda twende kituoni mmoja akaanza kunambia unashingapi ili tusifike polisi nikasema sina Hela we twende polisi.
Akasema kama una 30k nipe nikuachie nikasema sina brother twende polisi uzuri aliponikamata nilianza kumrecord kila anachoongea.
Nikafika nje ya polisi nikamwambia bro tusipotezeane Muda chukua 10k nikafanye Kazi akasema poa poa nipe nikampa Sasa hapa Nina full voice ya kuomba Hela natamani nikareport TAKUKURU Ila namuonea huruma kijana mwenzangu.
Sasa kama Hela ndio wanazipata Kwa namna hii Kwa kupitia jasho la wengine Raha yake IPO wapi??
Ndio maana wengi wao wakistaafu wanahangaika na mgonjwa kwasababu ya dhurma walizofanya wakati wa kazi zao.
Polisi kama ndio mnaidshi Kwa namna hii badilikeni msitafute Hela Kwa watafutaji wengine
Kuna jamaa namjua yeye anauza bagi anatoa mkuranga njiani anaacha 150k kila siku na anapiga Hela kila siku na kila siku anafata mzigoMkuu, We anza hiyo biashara ya madawa uwe unatoa laki mbili uone itachukua muda gani kabla ya kukutana na nyapara.