DIVISHENI FOO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,440
- 3,142
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nimekupa ushauri maana una details nyingi kuhusiana na biashara ya madawa ya kulevya na rushwa inayopokelewa ili yapite, kwahiyo ni tahadhari tu siku ukikutana na asietaka hela yako 150k na mzigo umefika kilo moja hiyo ni kesi ya uhujumu uchumi
Yaani hichi kipaji chako unachokionyesha hapa cha kupachika watu majina kitaonekana vizuri ukianza biashara ya hiyo mirungi halafu ukadakwa.Hamna lolote, mamirungi yanapita kila siku tunaona... maafande wanapewa buku buku tu wanatuliza mshono.
Hivi mishahara yenu ni shingapi?
Yesu alisema mtosheke na mishahara yenyu.Yaani hichi kipaji chako unachokionyesha hapa cha kupachika watu majina kitaonekana vizuri ukianza biashara ya hiyo mirungi halafu ukadakwa.
Na ashukuru, wangejua kuwa anawarikodi akapelekwa mle ndani na hiyo taarifa kuwa anarikodi mpaka anatoka mbona angewalaani wachina kwa kutengeneza smartphone.😅😅😅😅😅 kweli walishindwa kujua tu huyo raia ni mtu gani.
Umempa mwenyewe😂Sasa unafki wangu Nini hapo??
Ni bora kuchangia Hela serikalini kuliko kuchangia Jitu moja. Vipi kaka upo Huko mbona Unaongea Kwa hisia kali
Inasikitisha aisee...Yahn we mzee umetoa ki efu kumi umekuja kuandika uzi kwani mifumo ya bongo huijui acha ukuda.
Hapa tu ndio nimejua hujitambuikilikatika kikawa hakiwezi kufungika
SahihiHao polisi walipaswa kukupeleka kituoni bila kukuomba chochote ukapapambane na sheria za nchi yako.
hata ukim report unadhan kuna kitu kitafanyika?Leo kuna polisi Fulani wamenikamata kwasababu Chombo changu cha usafiri hakina plate number (kilikatika kikawa hakiwezi kufungika)
Sasa jamaa wamenikamata mmoja akapanda twende kituoni mmoja akaanza kunambia unashingapi ili tusifike polisi nikasema sina Hela we twende polisi.
Akasema kama una 30k nipe nikuachie nikasema sina brother twende polisi uzuri aliponikamata nilianza kumrecord kila anachoongea.
Nikafika nje ya polisi nikamwambia bro tusipotezeane Muda chukua 10k nikafanye Kazi akasema poa poa nipe nikampa Sasa hapa Nina full voice ya kuomba Hela natamani nikareport TAKUKURU Ila namuonea huruma kijana mwenzangu.
Sasa kama Hela ndio wanazipata Kwa namna hii Kwa kupitia jasho la wengine Raha yake IPO wapi??
Ndio maana wengi wao wakistaafu wanahangaika na mgonjwa kwasababu ya dhurma walizofanya wakati wa kazi zao.
Polisi kama ndio mnaidshi Kwa namna hii badilikeni msitafute Hela Kwa watafutaji wengine
Wewe endelea na makisio, ila wahusika halisi unaowafanyia makisio wanakusoma tu shushushu lao la kujitolea kuwa una taarifa zote za askari wanaopokea na wanavyoipokea rushwa na unawajua wauza mirungi sijui madawa wanaowapa rushwa.Yesu alisema mtosheke na mishahara yenyu.
Soma Luka 13.
Sawa ahsante bro nimekuelewa mnoooDaa! mara zote niko against police ila hili la kwako mbona kama walikusave hawa jamaa na Bahati ilikuwa upande wako kitendo cha wewe kukubali mwende kituoni kwanza uliwatisha mlivyokaribia we ndo ukatishika ungekutana na anaejua kujiongeza ilitakiwa agome kuchukua ten angekufikisha ungetoa ten ongeza sifuri moja we ni mzembe mvimbie Askari ukishajiona huna kosa ila anataka kulazimisha rushwa siku nyingine usirudie kosa hili na kama vipi paki hiyo Babyworker yako mpaka uweke namba au labda ulikuwa na lengo la kutuambia kijanja kwamba nawe una kibabyworker.
Ni aibu sana kupokea hela ndogo ndogo kwa makosa makubwa, siku tukipata askari ambao hawana njaa itasaidia hata nyie wasafirisha madawa ya kulevya mkakae jela🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe bwana, acha maporojo ya kitoto.
Polisi wenye njaa wanaaibisha nchi na wanahatarisha usalama kuliko hata majambazi.
Njaa kali sana, Afande gani unapewa buku unaachia mirungi? Ni aibu sana!
Polisi wa Nchi gani?Leo kuna polisi Fulani wamenikamata kwasababu Chombo changu cha usafiri hakina plate number (kilikatika kikawa hakiwezi kufungika)
Sasa jamaa wamenikamata mmoja akapanda twende kituoni mmoja akaanza kunambia unashingapi ili tusifike polisi nikasema sina Hela we twende polisi.
Akasema kama una 30k nipe nikuachie nikasema sina brother twende polisi uzuri aliponikamata nilianza kumrecord kila anachoongea.
Nikafika nje ya polisi nikamwambia bro tusipotezeane Muda chukua 10k nikafanye Kazi akasema poa poa nipe nikampa Sasa hapa Nina full voice ya kuomba Hela natamani nikareport TAKUKURU Ila namuonea huruma kijana mwenzangu.
Sasa kama Hela ndio wanazipata Kwa namna hii Kwa kupitia jasho la wengine Raha yake IPO wapi??
Ndio maana wengi wao wakistaafu wanahangaika na mgonjwa kwasababu ya dhurma walizofanya wakati wa kazi zao.
Polisi kama ndio mnaidshi Kwa namna hii badilikeni msitafute Hela Kwa watafutaji wengine
GuineaPolisi wa Nchi gani?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe endelea na makisio, ila wahusika halisi unaowafanyia makisio wanakusoma tu shushushu lao la kujitolea kuwa una taarifa zote za askari wanaopokea na wanavyoipokea rushwa na unawajua wauza mirungi wanaowapa rushwa.
Kwa mujibu wa Sect 8 ya RTA ya mwaka 1973 Kosa la kutembea na chombo cha moto bila namba ya usajili adhabu yake inaweza kuwa faini elfu 50 na kifungo kisichozidi miaka mitano.Daa! mara zote niko against police ila hili la kwako mbona kama walikusave hawa jamaa na Bahati ilikuwa upande wako kitendo cha wewe kukubali mwende kituoni kwanza uliwatisha mlivyokaribia we ndo ukatishika ungekutana na anaejua kujiongeza ilitakiwa agome kuchukua ten angekufikisha ungetoa ten ongeza sifuri moja we ni mzembe mvimbie Askari ukishajiona huna kosa ila anataka kulazimisha rushwa siku nyingine usirudie kosa hili na kama vipi paki hiyo Babyworker yako mpaka uweke namba au labda ulikuwa na lengo la kutuambia kijanja kwamba nawe una kibabyworker.
Mkuu Sheria hii emu kasome vizuriKwa mujibu wa Sect 8 ya RTA ya mwaka 1973 Kosa la kutembea na chombo cha moto bila namba ya usajili adhabu yake inaweza kuwa faini elfu 50 na kifungo kisichozidi miaka mitano.
Sijui kwanini polisi wanaendekeza njaa hadi wanachukua elfu 10, mbona ni hela ndogo sana? Yani unamuachia mtu aliefanya kosa linaloweza kumpeleka jela miaka mitano kwa 10k? Hawa jamaa kweli wana njaaa.