Kama polisi ndio wanaishi Maisha haya ya kuombaomba hivi, acha nitafute hela Kazi nyingine hazina heshima

Nimekupa ushauri maana una details nyingi kuhusiana na biashara ya madawa ya kulevya na rushwa inayopokelewa ili yapite, kwahiyo ni tahadhari tu siku ukikutana na asietaka hela yako 150k na mzigo umefika kilo moja hiyo ni kesi ya uhujumu uchumi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Wewe bwana, acha maporojo ya kitoto.

Polisi wenye njaa wanaaibisha nchi na wanahatarisha usalama kuliko hata majambazi.

Njaa kali sana, Afande gani unapewa buku unaachia mirungi? Ni aibu sana!
 
Hamna lolote, mamirungi yanapita kila siku tunaona... maafande wanapewa buku buku tu wanatuliza mshono.

Hivi mishahara yenu ni shingapi?
Yaani hichi kipaji chako unachokionyesha hapa cha kupachika watu majina kitaonekana vizuri ukianza biashara ya hiyo mirungi halafu ukadakwa.
 
Yesu alisema mtosheke na mishahara yenyu.

Soma Luka 13.
 
Daa! mara zote niko against police ila hili la kwako mbona kama walikusave hawa jamaa na Bahati ilikuwa upande wako kitendo cha wewe kukubali mwende kituoni kwanza uliwatisha mlivyokaribia we ndo ukatishika ungekutana na anaejua kujiongeza ilitakiwa agome kuchukua ten angekufikisha ungetoa ten ongeza sifuri moja we ni mzembe mvimbie Askari ukishajiona huna kosa ila anataka kulazimisha rushwa siku nyingine usirudie kosa hili na kama vipi paki hiyo Babyworker yako mpaka uweke namba au labda ulikuwa na lengo la kutuambia kijanja kwamba nawe una kibabyworker.
 
Polisi hakuna rushwa kuna hela ya kiwi rushwa iko CCM na ukitaka kuthibitisha hilo subiri siku za uchaguzi zifike uwe uchaguzi wa ndani ya chama au uchaguzi mwingine hapo ndipo rushwa inakuwa njenje kipindi hicho ndicho takukuru nao wanabadilisha jina nakuwa taka kuu badala ya takukuru na haiwi rushwa tena inaitwa takrima.
 
Leo kuna polisi Fulani wamenikamata kwasababu Chombo changu cha usafiri hakina plate number (kilikatika kikawa hakiwezi kufungika)

Sasa jamaa wamenikamata mmoja akapanda twende kituoni mmoja akaanza kunambia unashingapi ili tusifike polisi nikasema sina Hela we twende polisi.

Akasema kama una 30k nipe nikuachie nikasema sina brother twende polisi uzuri aliponikamata nilianza kumrecord kila anachoongea.

Nikafika nje ya polisi nikamwambia bro tusipotezeane Muda chukua 10k nikafanye Kazi akasema poa poa nipe nikampa Sasa hapa Nina full voice ya kuomba Hela natamani nikareport TAKUKURU Ila namuonea huruma kijana mwenzangu.

Sasa kama Hela ndio wanazipata Kwa namna hii Kwa kupitia jasho la wengine Raha yake IPO wapi??

Ndio maana wengi wao wakistaafu wanahangaika na mgonjwa kwasababu ya dhurma walizofanya wakati wa kazi zao.

Polisi kama ndio mnaidshi Kwa namna hii badilikeni msitafute Hela Kwa watafutaji wengine
hata ukim report unadhan kuna kitu kitafanyika?

nchi hii rushwa cheni ya mfumo mzima
 
Yesu alisema mtosheke na mishahara yenyu.

Soma Luka 13.
Wewe endelea na makisio, ila wahusika halisi unaowafanyia makisio wanakusoma tu shushushu lao la kujitolea kuwa una taarifa zote za askari wanaopokea na wanavyoipokea rushwa na unawajua wauza mirungi sijui madawa wanaowapa rushwa.

Uzuri kuna mashirika ya kutetea haki za binadamu sema sasa Trump kashinda na sera zake huwa haendekezi kupeleka fedha huko ni wewe vs Jamhuri vs Nyapara.
 
Daa! mara zote niko against police ila hili la kwako mbona kama walikusave hawa jamaa na Bahati ilikuwa upande wako kitendo cha wewe kukubali mwende kituoni kwanza uliwatisha mlivyokaribia we ndo ukatishika ungekutana na anaejua kujiongeza ilitakiwa agome kuchukua ten angekufikisha ungetoa ten ongeza sifuri moja we ni mzembe mvimbie Askari ukishajiona huna kosa ila anataka kulazimisha rushwa siku nyingine usirudie kosa hili na kama vipi paki hiyo Babyworker yako mpaka uweke namba au labda ulikuwa na lengo la kutuambia kijanja kwamba nawe una kibabyworker.
Sawa ahsante bro nimekuelewa mnooo
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Wewe bwana, acha maporojo ya kitoto.

Polisi wenye njaa wanaaibisha nchi na wanahatarisha usalama kuliko hata majambazi.

Njaa kali sana, Afande gani unapewa buku unaachia mirungi? Ni aibu sana!
Ni aibu sana kupokea hela ndogo ndogo kwa makosa makubwa, siku tukipata askari ambao hawana njaa itasaidia hata nyie wasafirisha madawa ya kulevya mkakae jela
 
Leo kuna polisi Fulani wamenikamata kwasababu Chombo changu cha usafiri hakina plate number (kilikatika kikawa hakiwezi kufungika)

Sasa jamaa wamenikamata mmoja akapanda twende kituoni mmoja akaanza kunambia unashingapi ili tusifike polisi nikasema sina Hela we twende polisi.

Akasema kama una 30k nipe nikuachie nikasema sina brother twende polisi uzuri aliponikamata nilianza kumrecord kila anachoongea.

Nikafika nje ya polisi nikamwambia bro tusipotezeane Muda chukua 10k nikafanye Kazi akasema poa poa nipe nikampa Sasa hapa Nina full voice ya kuomba Hela natamani nikareport TAKUKURU Ila namuonea huruma kijana mwenzangu.

Sasa kama Hela ndio wanazipata Kwa namna hii Kwa kupitia jasho la wengine Raha yake IPO wapi??

Ndio maana wengi wao wakistaafu wanahangaika na mgonjwa kwasababu ya dhurma walizofanya wakati wa kazi zao.

Polisi kama ndio mnaidshi Kwa namna hii badilikeni msitafute Hela Kwa watafutaji wengine
Polisi wa Nchi gani?
 
Hivi mtoa rushwa na mpokea rushwa nani mwenye haki?.
 
Wewe endelea na makisio, ila wahusika halisi unaowafanyia makisio wanakusoma tu shushushu lao la kujitolea kuwa una taarifa zote za askari wanaopokea na wanavyoipokea rushwa na unawajua wauza mirungi wanaowapa rushwa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Najua haupendi ninavyofichua uozo wenyu.

Kwanza nyie hata shule hamkwenda, ndio maana mnababaika na vibuku jero vya wauza mirungi.

Sasa hivi tunataka jeshi la wasomi na sio mapoyoyo mnaoshirikiana na wahalifu kwa ujira wa vijisenti.
 
Daa! mara zote niko against police ila hili la kwako mbona kama walikusave hawa jamaa na Bahati ilikuwa upande wako kitendo cha wewe kukubali mwende kituoni kwanza uliwatisha mlivyokaribia we ndo ukatishika ungekutana na anaejua kujiongeza ilitakiwa agome kuchukua ten angekufikisha ungetoa ten ongeza sifuri moja we ni mzembe mvimbie Askari ukishajiona huna kosa ila anataka kulazimisha rushwa siku nyingine usirudie kosa hili na kama vipi paki hiyo Babyworker yako mpaka uweke namba au labda ulikuwa na lengo la kutuambia kijanja kwamba nawe una kibabyworker.
Kwa mujibu wa Sect 8 ya RTA ya mwaka 1973 Kosa la kutembea na chombo cha moto bila namba ya usajili adhabu yake inaweza kuwa faini elfu 50 na kifungo kisichozidi miaka mitano.

Sijui kwanini polisi wanaendekeza njaa hadi wanachukua elfu 10, mbona ni hela ndogo sana? Yani unamuachia mtu aliefanya kosa linaloweza kumpeleka jela miaka mitano kwa 10k? Hawa jamaa kweli wana njaaa.
 
Mkuu Sheria hii emu kasome vizuri
 
Back
Top Bottom