DIVISHENI FOO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,440
- 3,142
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nimekupa ushauri maana una details nyingi kuhusiana na biashara ya madawa ya kulevya na rushwa inayopokelewa ili yapite, kwahiyo ni tahadhari tu siku ukikutana na asietaka hela yako 150k na mzigo umefika kilo moja hiyo ni kesi ya uhujumu uchumi
Wewe bwana, acha maporojo ya kitoto.
Polisi wenye njaa wanaaibisha nchi na wanahatarisha usalama kuliko hata majambazi.
Njaa kali sana, Afande gani unapewa buku unaachia mirungi? Ni aibu sana!