DIVISHENI FOO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,440
- 3,142
Kweli naweza kukamatwa baada ya kujaribu mara tano au sita lakini madhara tayari yameshatokea.Mkuu, We anza hiyo biashara ya madawa uwe unatoa laki mbili uone itachukua muda gani kabla ya kukutana na nyapara.