Kama polisi ndio wanaishi Maisha haya ya kuombaomba hivi, acha nitafute hela Kazi nyingine hazina heshima

Mkuu, We anza hiyo biashara ya madawa uwe unatoa laki mbili uone itachukua muda gani kabla ya kukutana na nyapara.
Kweli naweza kukamatwa baada ya kujaribu mara tano au sita lakini madhara tayari yameshatokea.
 
Mimi na wewe nani mnafki?
Wewe ndio mnafiki unaponda kitu ambacho umeshakifanya mbaya zaidi unatembea na gari haina kibandiko namba. Ukiambiwa ulikuwa unaenda kufanya jaribio la ujambazi utakataa?
 
Kuna jamaa namjua yeye anauza bagi anatoa mkuranga njiani anaacha 150k kila siku na anapiga Hela kila siku na kila siku anafata mzigo

Achana na huyo kuna mwingine anafata mirungi Kenya njiani full rushwa unasema Nini wewe
Ona sasa.

Tena kama mirungi ndo usiseme.

Polisi wameshatengeneza biashara na wauza mirungi. Ni kama PARTNERSHIP.

Unapitisha mirungi lakini unaweka mpunga mezani KAZI INAENDELEA.

Au ukiwa mbishi wanakukamata halafu wanakwambia utoe maokoto wanakuachia.

Ni mwendo wa kukamatwa na kuachiwa ilimradi tu umeweka hela mezani.
 
Mkuu ushauri wa bure: usipende kushindana na polisi, ni watu wanaweza kukufanya chochote na kesi ikakugeukia.

We kama una kakitu wape, be humble. Usirudie kuwarekodi. Litakukuta jambo zito ukiendeleza ubishi mara nyingi. Mi wakinidaka niwe na kosa nisiwe nalo nawaambia afande nipe maelekezo....
 
Mkuu ahsante Sana Kwa ushauri wako nitaufanyia Kazi ahsante Sana Kwa positive comments
 
😂Sasa unafki wangu Nini hapo??
Ni bora kuchangia Hela serikalini kuliko kuchangia Jitu moja. Vipi kaka upo Huko mbona Unaongea Kwa hisia kali
Mkuu, kuna jambo huelewi ila ungeelewa ungemshukuru huyo askari kwa Kakuepusha na kufunguliwa jalada polisi. Askari wetu wamepewa nguvu kubwa mno, kama wewe ni wa kawaida huna pesa wala channel jitahidi kukaa nao mbali mno.

Unaweza shangaa swali linaulizwa hii sio ile gari iliyotupotea jana ikiwa na wahamiaji wa kisomali? Mpaka unachomoka hapo ushasumbuka mno tu.
 
Sawa nashukuru brother
 
Kuna jamaa namjua yeye anauza bagi anatoa mkuranga njiani anaacha 150k kila siku na anapiga Hela kila siku na kila siku anafata mzigo

Achana na huyo kuna mwingine anafata mirungi Kenya njiani full rushwa unasema Nini wewe
Wewe unaiona hiyo laki na nusu ila nyuma ya hiyo pengine kuna ulinzi kutoka humo humo ndani. Kama huamini anza hiyo biashara upige pesa na wewe.
 
Leo kuna polisi Fulani wamenikamata kwasababu Chombo changu cha usafiri hakina plate number (kilikatika kikawa hakiwezi kufungika)

Sasa jamaa wamenikamata mmoja akapanda twende kituoni mmoja akaanza kunambia unashingapi ili tusifike polisi nikasema sina Hela we twende polisi.

Akasema kama una 30k nipe nikuachie nikasema sina brother twende polisi uzuri aliponikamata nilianza kumrecord kila anachoongea.

Nikafika nje ya polisi nikamwambia bro tusipotezeane Muda chukua 10k nikafanye Kazi akasema poa poa nipe nikampa Sasa hapa Nina full voice ya kuomba Hela natamani nikareport TAKUKURU Ila namuonea huruma kijana mwenzangu.

Sasa kama Hela ndio wanazipata Kwa namna hii Kwa kupitia jasho la wengine Raha yake IPO wapi??

Ndio maana wengi wao wakistaafu wanahangaika na mgonjwa kwasababu ya dhurma walizofanya wakati wa kazi zao.

Polisi kama ndio mnaidshi Kwa namna hii badilikeni msitafute Hela Kwa watafutaji wengine
Mhurumie ni njaa tu

Screenshot_2024-09-25-20-18-05-1.png
 
Unakiri umefanya kosa la jinai la kutoa rushwa na unamuonea huruma mpokeaje,ukienda TAKUKURU nawewe ndani.
 
Back
Top Bottom