Kama polisi ndio wanaishi Maisha haya ya kuombaomba hivi, acha nitafute hela Kazi nyingine hazina heshima

Kama polisi ndio wanaishi Maisha haya ya kuombaomba hivi, acha nitafute hela Kazi nyingine hazina heshima

Hyo elfu kumi c Bora sasa kabla yakukamatwaa ungepitia Kwa fundi akurekebishie hyo plate number mkuu..

Uzembee umeanzia kwako
 
😂Sasa unafki wangu Nini hapo??
Ni bora kuchangia Hela serikalini kuliko kuchangia Jitu moja. Vipi kaka upo Huko mbona Unaongea Kwa hisia kali
Mkuu ungeenda ulipo taka wakupeleke usingetoboa ,yaani wewe na usafiri wako wote ndani😂😂😂
 
Leo kuna polisi Fulani wamenikamata kwasababu Chombo changu cha usafiri hakina plate number (kilikatika kikawa hakiwezi kufungika)

Sasa jamaa wamenikamata mmoja akapanda twende kituoni mmoja akaanza kunambia unashingapi ili tusifike polisi nikasema sina Hela we twende polisi.

Akasema kama una 30k nipe nikuachie nikasema sina brother twende polisi uzuri aliponikamata nilianza kumrecord kila anachoongea.

Nikafika nje ya polisi nikamwambia bro tusipotezeane Muda chukua 10k nikafanye Kazi akasema poa poa nipe nikampa Sasa hapa Nina full voice ya kuomba Hela natamani nikareport TAKUKURU Ila namuonea huruma kijana mwenzangu.

Sasa kama Hela ndio wanazipata Kwa namna hii Kwa kupitia jasho la wengine Raha yake IPO wapi??

Ndio maana wengi wao wakistaafu wanahangaika na mgonjwa kwasababu ya dhurma walizofanya wakati wa kazi zao.

Polisi kama ndio mnaidshi Kwa namna hii badilikeni msitafute Hela Kwa watafutaji wengine
kwa manabii feki na mashehe feki mnatoa kuanzia laki 5 ,yaani ki elf kumi Cha kumsapoti mshikaji hela ya kubrashi unaanza hadi kumrekodi ,huo ni umaskini wa kutupwa.Polisi ni kama Dr ama wauguzi wengine hiyo ni tip maisha yaendelee pande zote
 
Kibongo bongo ni bora mmalizane kwa mtindo huo, vinginevyo muda ambao ungeupoteza hapo Police ungeujutia sana!

NB: Tanzania hatuna POLICE SERVICE, tuna POLICE FORCE, and they mean it!
 
Kwa Tanzania Kila sehemu Kuna rushwa labda wanajeshi na usalama Kwa mbali hatuwasikii sana kwenye mambo ya rushwa.lakini sekta zote unazozijua rushwa imetamalaki.

Kwakuwa tu huna access nao.. Watanzania ni wale wale...
 
Ona sasa.

Tena kama mirungi ndo usiseme.

Polisi wameshatengeneza biashara na wauza mirungi. Ni kama PARTNERSHIP.

Unapitisha mirungi lakini unaweka mpunga mezani KAZI INAENDELEA.

Au ukiwa mbishi wanakukamata halafu wanakwambia utoe maokoto wanakuachia.

Ni mwendo wa kukamatwa na kuachiwa ilimradi tu umeweka hela mezani.
Madawa ya kulevya yakifika uzito wa kilo moja tu unatakiwa ufunguliwe kesi ya uhujumu uchumi ambayo haina dhamana, kwahiyo kama unasafirisha unatakiwa uache iko siku utakamatwa na asietaka hiyo rushwa ya 150k ndo utakapoliona joto la gereza
 
kwa manabii feki na mashehe feki mnatoa kuanzia laki 5 ,yaani ki elf kumi Cha kumsapoti mshikaji hela ya kubrashi unaanza hadi kumrekodi ,huo ni umaskini wa kutupwa.Polisi ni kama Dr ama wauguzi wengine hiyo ni tip maisha yaendelee pande zote

Angeomba msaada, mbona wengine wanaomba na angeweza kumpa zaidi. Polisi wengi tu waungwana anakusimamisha anasema, aisee naomba nipatie hela fulani nikanywe supu, au maji. Shida ni kukamata kosa halafu kutaka ulipwe. Sasa fikiria alitaka 30,000/= baadae akachukua 10,000/=. Si angeomba tu mwanzo hiyo 10,000/=
 
Madawa ya kulevya yakifika uzito wa kilo moja tu unatakiwa ufunguliwe kesi ya uhujumu uchumi ambayo haina dhamana, kwahiyo kama unasafirisha unatakiwa uache iko siku utakamatwa na asietaka hiyo rushwa ya 150k ndo utakapoliona joto la gereza
Elewa maelezo bwashee.
 
Ona sasa.

Tena kama mirungi ndo usiseme.

Polisi wameshatengeneza biashara na wauza mirungi. Ni kama PARTNERSHIP.

Unapitisha mirungi lakini unaweka mpunga mezani KAZI INAENDELEA.

Au ukiwa mbishi wanakukamata halafu wanakwambia utoe maokoto wanakuachia.

Ni mwendo wa kukamatwa na kuachiwa ilimradi tu umeweka hela mezani.
Ushasema kuna partnership. Unazijua hizo terms sasa za partnership yao? Mambo si mepesi mepesi kama unavyoyaandika boss.
 
Kuna jamaa namjua yeye anauza bagi anatoa mkuranga njiani anaacha 150k kila siku na anapiga Hela kila siku na kila siku anafata mzigo

Achana na huyo kuna mwingine anafata mirungi Kenya njiani full rushwa unasema Nini wewe
Tunakuitaj kituo Cha polis kilicho kalibu Yako Kwa mahojiano zaidi😂
 
Elewa maelezo bwashee.
Nimekupa ushauri maana una details nyingi kuhusiana na biashara ya madawa ya kulevya na rushwa inayopokelewa ili yapite, kwahiyo ni tahadhari tu siku ukikutana na asietaka hela yako 150k na mzigo umefika kilo moja hiyo ni kesi ya uhujumu uchumi
 
Walipaswa wajue wanadeal na mtu wa aina gani, si kila raia wa kumalizana kimtaa, wengine unawaacha tu wakapambane na sheria serikali ya ccm ipate fedha za kuendesha nchi.
😅😅😅😅😅 kweli walishindwa kujua tu huyo raia ni mtu gani.
 
Kama huna connection ya kulindwa kaa mbali na polisi.
Hamna lolote, mamirungi yanapita kila siku tunaona... maafande wanapewa buku buku tu wanatuliza mshono.

Hivi mishahara yenu ni shingapi?
 
Sheria hutaki kuzifuata afu unalialia tu. Hiyo plate namba kukosekana inaweza kuzaa makumi ya makosa.
Ujitahidi kufuata sheria bwana mdogo usiguswe na mtu
Hata hao wasimamizi wa sheria wanashindwa kuzifuata zilivyo, wengine ndio wataweza? Uliishaona magari Yao yalivyo? Wanakukamata taili kipara ila ya kwao ni zaidi ya kipara!
 
Back
Top Bottom