- Thread starter
- #61
Sawa sawa na hiyo ndio haki yangu na nilitaka iwe ivoWamekosea sana ilitakiwa upelekwe mahakamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa sawa na hiyo ndio haki yangu na nilitaka iwe ivoWamekosea sana ilitakiwa upelekwe mahakamani
Mkuu ungeenda ulipo taka wakupeleke usingetoboa ,yaani wewe na usafiri wako wote ndani😂😂😂😂Sasa unafki wangu Nini hapo??
Ni bora kuchangia Hela serikalini kuliko kuchangia Jitu moja. Vipi kaka upo Huko mbona Unaongea Kwa hisia kali
kwa manabii feki na mashehe feki mnatoa kuanzia laki 5 ,yaani ki elf kumi Cha kumsapoti mshikaji hela ya kubrashi unaanza hadi kumrekodi ,huo ni umaskini wa kutupwa.Polisi ni kama Dr ama wauguzi wengine hiyo ni tip maisha yaendelee pande zoteLeo kuna polisi Fulani wamenikamata kwasababu Chombo changu cha usafiri hakina plate number (kilikatika kikawa hakiwezi kufungika)
Sasa jamaa wamenikamata mmoja akapanda twende kituoni mmoja akaanza kunambia unashingapi ili tusifike polisi nikasema sina Hela we twende polisi.
Akasema kama una 30k nipe nikuachie nikasema sina brother twende polisi uzuri aliponikamata nilianza kumrecord kila anachoongea.
Nikafika nje ya polisi nikamwambia bro tusipotezeane Muda chukua 10k nikafanye Kazi akasema poa poa nipe nikampa Sasa hapa Nina full voice ya kuomba Hela natamani nikareport TAKUKURU Ila namuonea huruma kijana mwenzangu.
Sasa kama Hela ndio wanazipata Kwa namna hii Kwa kupitia jasho la wengine Raha yake IPO wapi??
Ndio maana wengi wao wakistaafu wanahangaika na mgonjwa kwasababu ya dhurma walizofanya wakati wa kazi zao.
Polisi kama ndio mnaidshi Kwa namna hii badilikeni msitafute Hela Kwa watafutaji wengine
Kibongo bongo ni bora mmalizane kwa mtindo huo, vinginevyo muda ambao ungeupoteza hapo Police ungeujutia sana!Leo kuna polisi Fulani wamenikamata kwasababu Chombo changu cha usafiri hakina plate number (kilikatika kikawa hakiwezi kufungika)
Sasa jamaa wamenikamata mmoja akapanda twende kituoni mmoja akaanza kunambia unashingapi ili tusifike polisi nikasema sina Hela we twende polisi.
Akasema kama una 30k nipe nikuachie nikasema sina brother twende polisi uzuri aliponikamata nilianza kumrecord kila anachoongea.
Nikafika nje ya polisi nikamwambia bro tusipotezeane Muda chukua 10k nikafanye Kazi akasema poa poa nipe nikampa Sasa hapa Nina full voice ya kuomba Hela natamani nikareport TAKUKURU Ila namuonea huruma kijana mwenzangu.
Sasa kama Hela ndio wanazipata Kwa namna hii Kwa kupitia jasho la wengine Raha yake IPO wapi??
Ndio maana wengi wao wakistaafu wanahangaika na mgonjwa kwasababu ya dhurma walizofanya wakati wa kazi zao.
Polisi kama ndio mnaidshi Kwa namna hii badilikeni msitafute Hela Kwa watafutaji wengine
Kwa Tanzania Kila sehemu Kuna rushwa labda wanajeshi na usalama Kwa mbali hatuwasikii sana kwenye mambo ya rushwa.lakini sekta zote unazozijua rushwa imetamalaki.
Madawa ya kulevya yakifika uzito wa kilo moja tu unatakiwa ufunguliwe kesi ya uhujumu uchumi ambayo haina dhamana, kwahiyo kama unasafirisha unatakiwa uache iko siku utakamatwa na asietaka hiyo rushwa ya 150k ndo utakapoliona joto la gerezaOna sasa.
Tena kama mirungi ndo usiseme.
Polisi wameshatengeneza biashara na wauza mirungi. Ni kama PARTNERSHIP.
Unapitisha mirungi lakini unaweka mpunga mezani KAZI INAENDELEA.
Au ukiwa mbishi wanakukamata halafu wanakwambia utoe maokoto wanakuachia.
Ni mwendo wa kukamatwa na kuachiwa ilimradi tu umeweka hela mezani.
kwa manabii feki na mashehe feki mnatoa kuanzia laki 5 ,yaani ki elf kumi Cha kumsapoti mshikaji hela ya kubrashi unaanza hadi kumrekodi ,huo ni umaskini wa kutupwa.Polisi ni kama Dr ama wauguzi wengine hiyo ni tip maisha yaendelee pande zote
Elewa maelezo bwashee.Madawa ya kulevya yakifika uzito wa kilo moja tu unatakiwa ufunguliwe kesi ya uhujumu uchumi ambayo haina dhamana, kwahiyo kama unasafirisha unatakiwa uache iko siku utakamatwa na asietaka hiyo rushwa ya 150k ndo utakapoliona joto la gereza
Hukutaka ndo maana umetoa elfu 10 siku nyingine usitoe hela uende mahakamani upate haki yako.Sawa sawa na hiyo ndio haki yangu na nilitaka iwe ivo
Ushasema kuna partnership. Unazijua hizo terms sasa za partnership yao? Mambo si mepesi mepesi kama unavyoyaandika boss.Ona sasa.
Tena kama mirungi ndo usiseme.
Polisi wameshatengeneza biashara na wauza mirungi. Ni kama PARTNERSHIP.
Unapitisha mirungi lakini unaweka mpunga mezani KAZI INAENDELEA.
Au ukiwa mbishi wanakukamata halafu wanakwambia utoe maokoto wanakuachia.
Ni mwendo wa kukamatwa na kuachiwa ilimradi tu umeweka hela mezani.
Sawa AFANDE.Ushasema kuna partnership. Unazijua hizo terms sasa za partnership yao? Mambo si mepesi mepesi kama unavyoyaandika boss.
Tunakuitaj kituo Cha polis kilicho kalibu Yako Kwa mahojiano zaidi😂Kuna jamaa namjua yeye anauza bagi anatoa mkuranga njiani anaacha 150k kila siku na anapiga Hela kila siku na kila siku anafata mzigo
Achana na huyo kuna mwingine anafata mirungi Kenya njiani full rushwa unasema Nini wewe
Nimekupa ushauri maana una details nyingi kuhusiana na biashara ya madawa ya kulevya na rushwa inayopokelewa ili yapite, kwahiyo ni tahadhari tu siku ukikutana na asietaka hela yako 150k na mzigo umefika kilo moja hiyo ni kesi ya uhujumu uchumiElewa maelezo bwashee.
😅😅😅😅😅 kweli walishindwa kujua tu huyo raia ni mtu gani.Walipaswa wajue wanadeal na mtu wa aina gani, si kila raia wa kumalizana kimtaa, wengine unawaacha tu wakapambane na sheria serikali ya ccm ipate fedha za kuendesha nchi.
Kama huna connection ya kulindwa kaa mbali na polisi. We tii tu sheria maana kilio kitakuwa cha aina yake. Yaani hii afande utaitamka kama umefungwa Turbo. Afandeee, Afandeee.Sawa AFANDE.
Hamna lolote, mamirungi yanapita kila siku tunaona... maafande wanapewa buku buku tu wanatuliza mshono.Kama huna connection ya kulindwa kaa mbali na polisi.
Hata hao wasimamizi wa sheria wanashindwa kuzifuata zilivyo, wengine ndio wataweza? Uliishaona magari Yao yalivyo? Wanakukamata taili kipara ila ya kwao ni zaidi ya kipara!Sheria hutaki kuzifuata afu unalialia tu. Hiyo plate namba kukosekana inaweza kuzaa makumi ya makosa.
Ujitahidi kufuata sheria bwana mdogo usiguswe na mtu