DIVISHENI FOO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,440
- 3,142
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ni aibu sana kupokea hela ndogo ndogo kwa makosa makubwa, siku tukipata askari ambao hawana njaa itasaidia hata nyie wasafirisha madawa ya kulevya mkakae jela
Nasikia ukishapewa buku jero tu unakenua mijino yote nje unaachia mzigo upite bila swali lolote.
Buku jero inakusaidia nini sasa AFANDE UCHWARA?