Kama polisi ndio wanaishi Maisha haya ya kuombaomba hivi, acha nitafute hela Kazi nyingine hazina heshima

Kama polisi ndio wanaishi Maisha haya ya kuombaomba hivi, acha nitafute hela Kazi nyingine hazina heshima

Ni aibu sana kupokea hela ndogo ndogo kwa makosa makubwa, siku tukipata askari ambao hawana njaa itasaidia hata nyie wasafirisha madawa ya kulevya mkakae jela
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Nasikia ukishapewa buku jero tu unakenua mijino yote nje unaachia mzigo upite bila swali lolote.

Buku jero inakusaidia nini sasa AFANDE UCHWARA?
 
Leo kuna polisi Fulani wamenikamata kwasababu Chombo changu cha usafiri hakina plate number (kilikatika kikawa hakiwezi kufungika)

Sasa jamaa wamenikamata mmoja akapanda twende kituoni mmoja akaanza kunambia unashingapi ili tusifike polisi nikasema sina Hela we twende polisi.

Akasema kama una 30k nipe nikuachie nikasema sina brother twende polisi uzuri aliponikamata nilianza kumrecord kila anachoongea.

Nikafika nje ya polisi nikamwambia bro tusipotezeane Muda chukua 10k nikafanye Kazi akasema poa poa nipe nikampa Sasa hapa Nina full voice ya kuomba Hela natamani nikareport TAKUKURU Ila namuonea huruma kijana mwenzangu.

Sasa kama Hela ndio wanazipata Kwa namna hii Kwa kupitia jasho la wengine Raha yake IPO wapi??

Ndio maana wengi wao wakistaafu wanahangaika na mgonjwa kwasababu ya dhurma walizofanya wakati wa kazi zao.

Polisi kama ndio mnaidshi Kwa namna hii badilikeni msitafute Hela Kwa watafutaji wengine

Kwani wewe hujui kwamba issue ya plate number ni kosa kisheria? Kama umenyoka si ungelipa fine??? Au?
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Najua haupendi ninavyofichua uozo wenyu.

Kwanza nyie hata shule hamkwenda, ndio maana mnababaika na vibuku jero vya wauza mirungi.

Sasa hivi tunataka jeshi la wasomi na sio mapoyoyo mnaoshirikiana na wahalifu kwa ujira wa vijisenti.
Pambana mkuu, waondoe vilaza jeshini, unatisha mno. Ushajua vijiwe vyao wanapopeana rushwa na wauza madawa hili la vilaza haliwezi kukushinda boss.
 
Usimfukuzishe kazi, kumbuka nae ana watoto..

Hiyo faini ambayo ungeenda kulipa fisiem ingechukua na kununulia watu baiskeli ili wapite tena waendelee kukwiba
 
Nimesoma boss IPO Ivo ahsante mno
Kwahiyo wewe na huyo polisi mmeshirikiana kuihujumu serekali ilitakiwa uilipe serekali faini 50k na uende jela miaka mitano, next time usishiriki katika uhalifu huo.
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Kwahiyo wewe na huyo polisi mmeshirikiana kuihujumu serekali ilitakiwa uilipe serekali faini 50k na uende jela miaka mitano, next time usishiriki katika uhalifu huo.
Hahaha. Unajua haya mambo ni mepesi mno mitandaoni, ila ukikutana nayo field hawa jamaa wakaamua kukukomalia aisee huo usumbufu wake acha tu.

Binafsi sikujua kuwa kumbe kesi na Jamhuri inaweza kukufilisi mpaka yaliponikuta. Sasa hivi siruhusu mambo ya kijinga jinga yanifungulie jalada polisi.
 
Pambana mkuu, waondoe vilaza jeshini, unatisha mno. Ushajua vijiwe vyao wanapopeana rushwa na wauza madawa hili la vilaza haliwezi kukushinda boss.
Asante sana. Nyie vilaza hamna nafasi kwenye jeshi la kisasa tunalolihitaji kwa kipindi hiki.

Muende huko na manjaa yenu, mbona kazi zipo nyingi tu kwani lazima upolisi?

Buku jero? Ni njaa au ugonjwa wa akili?
 
Sawa mkuu. Kila la heri.
 
Kwa Tanzania Kila sehemu Kuna rushwa labda wanajeshi na usalama Kwa mbali hatuwasikii sana kwenye mambo ya rushwa.lakini sekta zote unazozijua rushwa imetamalaki.
Hao ni kwa sababu hawainteract na raia moja kwa moja nao wangekula tu rushwa. Njaa ni kitu kingine.
 
Hahaha. Unajua haya mambo ni mepesi mno mitandaoni, ila ukikutana nayo field hawa jamaa wakaamua kukukomalia aisee huo usumbufu wake acha tu.

Binafsi sikujua kuwa kumbe kesi na Jamhuri inaweza kukufilisi mpaka yaliponikuta. Sasa hivi siruhusu mambo ya kijinga jinga yanifungulie jalada polisi.
Wanasiasa wametengeneza sheria ngumu sana Makosa yaliyo ainishwa kwenye Penal code na road traffic act yakisimamiwa vizuri hakuna mtu ataingiza chombo cha usafiri barabarani ispokua wachache tu, hivyo hivyo makosa ya Penal code yakisimamiwa vizuri kitendo cha wewe kuamka asubuhi tu tayari wewe moja kwa moja unakua muhalifu.

Hao polisi wamepewa power kiasi kwamba wakikutana na wewe njiani wanaruhusiwa kukuhoji unaitwa nani na unaishi wapi? Na ukitoa majibu yasiyo eleweka wanaruhusiwa kukukamata kwaajili ya mahojiano hadi wajiridhishe.
 
  • Thanks

Kabisa mkuu, ukijua hili utatumia akili nyingi kudeal na tatizo kabla halijawa rasmi. Elfu kumi inaweza kukuepusha na mengi mno.
 
Kuna wengine hela zao haziendi bure
Yaani kila anaekula mpaka watoto wao wanadhurika
Anashangaa watoto maradhi hayaishi na misukosuko kila leo nyumbani
Kumbe hela za wizi
Siwaonei huruma watu wa hivyo hata kama wana shida namna gani

Rushwa ni mbaya sana
 
hivi serikali yoa ilishawahi kufanya jitihada ya kuboresha maslahi ya hao mapolisi.Wanatuchosha!!
 
Back
Top Bottom