Mdudubitehunter
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 309
- 538
my friend, hayo unaongea wewe wa dsm. sisi wa Arusha ambao tunajua kilichopo kwenye ground hapa Arusha na Kilimanjaro, ni kwamba mambo yoote sabaya anashitakiwa nayo hasingiziwi, hata yeye mwenyewe anajua.Je, mara zote hizo walikuwa Wakilia na Kugalagala hovyo huku wakimtaja Rais Samia na kumuomba Amsamehe Ndugu yao?
Hivi unajua kuwa kwa mtazamo mwingine Kitendo hiki walichokifanya ni kama vile Wamemsakizia Mama ( Mheshimiwa Rais Samia ) kuwa Yeye ndiyo anamfanya Ndugu yao asote huko Jela aliko hivyo wanamwomba ( Kinafiki ) amwachie?
Tatizo lenu Wengi wenu mna IQ ndogo.
Hehe...we na wewe ni miungoni mwa hao wenye akili kubwa!!!? Kituko...Tunajua kuwa Sabaya ambaye mwanzo alikuwa 'Defiant' mbele ya 'Mamlaka' sasa 'ameufyata' na kulazimishwa na Watu wa 'Kitengo' aombe Radhi ili afikiriwe na asamehewe kisha 'Muigizaji' wa Sinema aendelee tu kupata 'Credits' kwa Kazi nzur...
Niko Arusha, mashitaka hayo ni upuuzi mtupu, aliwashughulikia wezi na wahuni kwa njia za kihuni.my friend, hayo unaongea wewe wa dsm. sisi wa Arusha ambao tunajua kilichopo kwenye ground hapa Arusha na Kilimanjaro, ni kwamba mambo yoote sabaya anashitakiwa nayo hasingiziwi, hata yeye mwenyewe anajua. na ni hatari sana akiwa nje bora tu akae ndani kwa usalama wake. kuna watu biashara zao zimefilisiwa na huyu jamaa, kuna mengi ambayo hauyajui.
Sahihi kabisa mkuuRais huwa anashikizwa kwenye kesi yenye shinikizo na umma na jumuiya za kimataifa na hasa kesi za kutengenezwa ndipo Rais hutumia mamlaka yake kupitia DPP lakini si kwa kesi halisi ya jambazi kama huyu Sabaya.
Kitendo cha kumsamehe Sabaya ni kwamba rasmi Rais atakuwa amehalalisha ujambazi nchini na kikosi cha Anti robbery kitakuwa hakina maana yoyote, Ole Sabaya ni lazima akinywe kikombe cha maovu yake aliyofanya.
Kukaa jela ndipo salama kwakemy friend, hayo unaongea wewe wa dsm. sisi wa Arusha ambao tunajua kilichopo kwenye ground hapa Arusha na Kilimanjaro, ni kwamba mambo yoote sabaya anashitakiwa nayo hasingiziwi, hata yeye mwenyewe anajua. na ni hatari sana akiwa nje bora tu akae ndani kwa usalama wake. kuna watu biashara zao zimefilisiwa na huyu jamaa, kuna mengi ambayo hauyajui.
Na zile V8 mbili alihongwa sio, tumia akili kumtetea jambaziNiko Arusha, mashitaka hayo ni upuuzi mtupu, aliwashughulikia wezi na wahuni kwa njia za kihuni.
Sabaya hakuwahi kuonea mtu na hicho kitu ndo hasa kinauma, umeshughulikiwa na Sabaya jua ni mjanja mjanja tu na mwizi.
Kumsamehe mhalifu ni kunyonga haki ya aliyefanyiwa uhalifu. Ndio maana sheria inataka kila mhimili ujitegemee. Ukisema Mama amsamehe, maana yake Mama akanyage haki za waliomshitaki ambao ndio waliokumbana na madhila na ubabe wa Sabaya. Katika Mukhtadha huo, huoni kumsamehe huyu ni kumnyima haki mwingine?Tunajua kuwa Sabaya ambaye mwanzo alikuwa 'Defiant' mbele ya 'Mamlaka' sasa 'ameufyata' na kulazimishwa na Watu wa 'Kitengo' aombe Radhi ili afikiriwe na asamehewe kisha 'Muigizaji' wa Sinema aendelee tu kupata 'Credits' kwa Kazi nzuri.
Siku zote Sabaya huwa akipelekwa Mahakamani hatuoni (hatuwaoni) Ndugu zake (hasa Wanawake) na akina Mama Wakilia ila leo cha Kushangaza Sabaya kafika tu Mahakamani Wakaanza Kulia huku Wakimuomba Rais Samia amsamehe Ndugu yao (Mpendwa wao (Sabaya) hali iliyoleta mshangao kwa wengi.
Wenye Akili Kubwa (ila tunachukiwa na Mamlaka hadi katika Mfumo) tunajua kuwa Tukio la Leo lilikuwa 'Staged Strategically' ili Kuwazuga Watu na kwamba Mama (Rais) nae aguswe na aweze Kumsamehe ili azidi kupata Sifa na Umaarufu zaidi.
Msitupotezee muda msameheni tu.
Hapa nipo pamoja nawe.Rais huwa anashinikizwa kwenye kesi yenye shinikizo na umma na jumuiya za kimataifa na hasa kesi za kutengenezwa ndipo Rais hutumia mamlaka yake kupitia DPP lakini si kwa kesi halisi ya jambazi kama huyu Sabaya.
Kitendo cha kumsamehe Sabaya ni kwamba rasmi Rais atakuwa amehalalisha ujambazi nchini na kikosi cha Anti robbery kitakuwa hakina maana yoyote, Ole Sabaya ni lazima akinywe kikombe cha maovu yake aliyofanya.
KWANINI ASAMEHEWE SABAYA TU MBONA KUNA WATUHUMIWA MAELFU WALIOPO MAGEREZANI NAO WANATAKA MSAMAHATunajua kuwa Sabaya ambaye mwanzo alikuwa 'Defiant' mbele ya 'Mamlaka' sasa 'ameufyata' na kulazimishwa na Watu wa 'Kitengo' aombe Radhi ili afikiriwe na asamehewe kisha 'Muigizaji' wa Sinema aendelee tu kupata 'Credits' kwa Kazi nzuri.
Siku zote Sabaya huwa akipelekwa Mahakamani hatuoni (hatuwaoni) Ndugu zake (hasa Wanawake) na akina Mama Wakilia ila leo cha Kushangaza Sabaya kafika tu Mahakamani Wakaanza Kulia huku Wakimuomba Rais Samia amsamehe Ndugu yao (Mpendwa wao (Sabaya) hali iliyoleta mshangao kwa wengi.
Wenye Akili Kubwa (ila tunachukiwa na Mamlaka hadi katika Mfumo) tunajua kuwa Tukio la Leo lilikuwa 'Staged Strategically' ili Kuwazuga Watu na kwamba Mama (Rais) nae aguswe na aweze Kumsamehe ili azidi kupata Sifa na Umaarufu zaidi.
Msitupotezee muda msameheni tu.
Mkuu mahakamani siyo emotions zinazomtoa mtu lupango, bali utetezi wa mawakili.
Tunajua kuwa Sabaya ambaye mwanzo alikuwa 'Defiant' mbele ya 'Mamlaka' sasa 'ameufyata' na kulazimishwa na Watu wa 'Kitengo' aombe Radhi ili afikiriwe na asamehewe kisha 'Muigizaji' wa Sinema aendelee tu kupata 'Credits' kwa Kazi nzuri.
Siku zote Sabaya huwa akipelekwa Mahakamani hatuoni (hatuwaoni) Ndugu zake (hasa Wanawake) na akina Mama Wakilia ila leo cha Kushangaza Sabaya kafika tu Mahakamani Wakaanza Kulia huku Wakimuomba Rais Samia amsamehe Ndugu yao (Mpendwa wao (Sabaya) hali iliyoleta mshangao kwa wengi.
Wenye Akili Kubwa (ila tunachukiwa na Mamlaka hadi katika Mfumo) tunajua kuwa Tukio la Leo lilikuwa 'Staged Strategically' ili Kuwazuga Watu na kwamba Mama (Rais) nae aguswe na aweze Kumsamehe ili azidi kupata Sifa na Umaarufu zaidi.
Msitupotezee muda msameheni tu.
Mbowe alikuwa na kesi ya mchongo. Mtendewa alikuwa nani?? Mlalamikaji alikuwa nani?Mbona zilimtoa Mbowe sio Gaidi?
Mashtaka ya uongo hayadumu.Mbona zilimtoa Mbowe sio Gaidi?
Kauli ya kusema ingilia kati inamana2,kwanza inamtaka mh ahimize mahakama kuendesha ka haraka ili haki ijulikane.Pili inatafsiri mh atowe kauli ya kuingilia mahaka kwa kusema hadharani mahakama imuachiye sabaya au kupitia vitengo vyake.Hii ni mbaya maana mahakama zitakuwa hazina mana ktk kujitegemea kisheria,hivyo napinga watu kutumia neno ingilia kati.Tunajua kuwa Sabaya ambaye mwanzo alikuwa 'Defiant' mbele ya 'Mamlaka' sasa 'ameufyata' na kulazimishwa na Watu wa 'Kitengo' aombe Radhi ili afikiriwe na asamehewe kisha 'Muigizaji' wa Sinema aendelee tu kupata 'Credits' kwa Kazi nzuri.