Kama Rais anataka Kumsamehe Sabaya atoke aliko amsamehe, ila haya Maigizo ya Kitoto Mahakamani wenye akili tumeyachoka

Rais huwa anashinikizwa kwenye kesi yenye shinikizo na umma na jumuiya za kimataifa na hasa kesi za kutengenezwa ndipo Rais hutumia mamlaka yake kupitia DPP lakini si kwa kesi halisi ya jambazi kama huyu Sabaya.

Kitendo cha kumsamehe Sabaya ni kwamba rasmi Rais atakuwa amehalalisha ujambazi nchini na kikosi cha Anti robbery kitakuwa hakina maana yoyote, Ole Sabaya ni lazima akinywe kikombe cha maovu yake aliyofanya.
 
Je, mara zote hizo walikuwa Wakilia na Kugalagala hovyo huku wakimtaja Rais Samia na kumuomba Amsamehe Ndugu yao?

Hivi unajua kuwa kwa mtazamo mwingine Kitendo hiki walichokifanya ni kama vile Wamemsakizia Mama ( Mheshimiwa Rais Samia ) kuwa Yeye ndiyo anamfanya Ndugu yao asote huko Jela aliko hivyo wanamwomba ( Kinafiki ) amwachie?

Tatizo lenu Wengi wenu mna IQ ndogo.
my friend, hayo unaongea wewe wa dsm. sisi wa Arusha ambao tunajua kilichopo kwenye ground hapa Arusha na Kilimanjaro, ni kwamba mambo yoote sabaya anashitakiwa nayo hasingiziwi, hata yeye mwenyewe anajua.

Na ni hatari sana akiwa nje bora tu akae ndani kwa usalama wake. kuna watu biashara zao zimefilisiwa na huyu jamaa, kuna mengi ambayo hauyajui.
 
Tunajua kuwa Sabaya ambaye mwanzo alikuwa 'Defiant' mbele ya 'Mamlaka' sasa 'ameufyata' na kulazimishwa na Watu wa 'Kitengo' aombe Radhi ili afikiriwe na asamehewe kisha 'Muigizaji' wa Sinema aendelee tu kupata 'Credits' kwa Kazi nzur...
Hehe...we na wewe ni miungoni mwa hao wenye akili kubwa!!!? Kituko...
 
Mlipokuwa mkiliombea gaidi msamaha na kutengeneza vituko kila kona mitandaoni kuidhihaki mahakama mliona mko sawa tu, mshagajiona special sana maand.azi nyie.
 
my friend, hayo unaongea wewe wa dsm. sisi wa Arusha ambao tunajua kilichopo kwenye ground hapa Arusha na Kilimanjaro, ni kwamba mambo yoote sabaya anashitakiwa nayo hasingiziwi, hata yeye mwenyewe anajua. na ni hatari sana akiwa nje bora tu akae ndani kwa usalama wake. kuna watu biashara zao zimefilisiwa na huyu jamaa, kuna mengi ambayo hauyajui.
Niko Arusha, mashitaka hayo ni upuuzi mtupu, aliwashughulikia wezi na wahuni kwa njia za kihuni.

Sabaya hakuwahi kuonea mtu na hicho kitu ndo hasa kinauma, umeshughulikiwa na Sabaya jua ni mjanja mjanja tu na mwizi.
 
Rais huwa anashikizwa kwenye kesi yenye shinikizo na umma na jumuiya za kimataifa na hasa kesi za kutengenezwa ndipo Rais hutumia mamlaka yake kupitia DPP lakini si kwa kesi halisi ya jambazi kama huyu Sabaya.

Kitendo cha kumsamehe Sabaya ni kwamba rasmi Rais atakuwa amehalalisha ujambazi nchini na kikosi cha Anti robbery kitakuwa hakina maana yoyote, Ole Sabaya ni lazima akinywe kikombe cha maovu yake aliyofanya.
Sahihi kabisa mkuu
 
my friend, hayo unaongea wewe wa dsm. sisi wa Arusha ambao tunajua kilichopo kwenye ground hapa Arusha na Kilimanjaro, ni kwamba mambo yoote sabaya anashitakiwa nayo hasingiziwi, hata yeye mwenyewe anajua. na ni hatari sana akiwa nje bora tu akae ndani kwa usalama wake. kuna watu biashara zao zimefilisiwa na huyu jamaa, kuna mengi ambayo hauyajui.
Kukaa jela ndipo salama kwake
 
Niko Arusha, mashitaka hayo ni upuuzi mtupu, aliwashughulikia wezi na wahuni kwa njia za kihuni.

Sabaya hakuwahi kuonea mtu na hicho kitu ndo hasa kinauma, umeshughulikiwa na Sabaya jua ni mjanja mjanja tu na mwizi.
Na zile V8 mbili alihongwa sio, tumia akili kumtetea jambazi
 
Tunajua kuwa Sabaya ambaye mwanzo alikuwa 'Defiant' mbele ya 'Mamlaka' sasa 'ameufyata' na kulazimishwa na Watu wa 'Kitengo' aombe Radhi ili afikiriwe na asamehewe kisha 'Muigizaji' wa Sinema aendelee tu kupata 'Credits' kwa Kazi nzuri.

Siku zote Sabaya huwa akipelekwa Mahakamani hatuoni (hatuwaoni) Ndugu zake (hasa Wanawake) na akina Mama Wakilia ila leo cha Kushangaza Sabaya kafika tu Mahakamani Wakaanza Kulia huku Wakimuomba Rais Samia amsamehe Ndugu yao (Mpendwa wao (Sabaya) hali iliyoleta mshangao kwa wengi.

Wenye Akili Kubwa (ila tunachukiwa na Mamlaka hadi katika Mfumo) tunajua kuwa Tukio la Leo lilikuwa 'Staged Strategically' ili Kuwazuga Watu na kwamba Mama (Rais) nae aguswe na aweze Kumsamehe ili azidi kupata Sifa na Umaarufu zaidi.

Msitupotezee muda msameheni tu.
Kumsamehe mhalifu ni kunyonga haki ya aliyefanyiwa uhalifu. Ndio maana sheria inataka kila mhimili ujitegemee. Ukisema Mama amsamehe, maana yake Mama akanyage haki za waliomshitaki ambao ndio waliokumbana na madhila na ubabe wa Sabaya. Katika Mukhtadha huo, huoni kumsamehe huyu ni kumnyima haki mwingine?

Alipe deni la madhambi yake tu!
 
Rais huwa anashinikizwa kwenye kesi yenye shinikizo na umma na jumuiya za kimataifa na hasa kesi za kutengenezwa ndipo Rais hutumia mamlaka yake kupitia DPP lakini si kwa kesi halisi ya jambazi kama huyu Sabaya.

Kitendo cha kumsamehe Sabaya ni kwamba rasmi Rais atakuwa amehalalisha ujambazi nchini na kikosi cha Anti robbery kitakuwa hakina maana yoyote, Ole Sabaya ni lazima akinywe kikombe cha maovu yake aliyofanya.
Hapa nipo pamoja nawe.
 
Tunajua kuwa Sabaya ambaye mwanzo alikuwa 'Defiant' mbele ya 'Mamlaka' sasa 'ameufyata' na kulazimishwa na Watu wa 'Kitengo' aombe Radhi ili afikiriwe na asamehewe kisha 'Muigizaji' wa Sinema aendelee tu kupata 'Credits' kwa Kazi nzuri.

Siku zote Sabaya huwa akipelekwa Mahakamani hatuoni (hatuwaoni) Ndugu zake (hasa Wanawake) na akina Mama Wakilia ila leo cha Kushangaza Sabaya kafika tu Mahakamani Wakaanza Kulia huku Wakimuomba Rais Samia amsamehe Ndugu yao (Mpendwa wao (Sabaya) hali iliyoleta mshangao kwa wengi.

Wenye Akili Kubwa (ila tunachukiwa na Mamlaka hadi katika Mfumo) tunajua kuwa Tukio la Leo lilikuwa 'Staged Strategically' ili Kuwazuga Watu na kwamba Mama (Rais) nae aguswe na aweze Kumsamehe ili azidi kupata Sifa na Umaarufu zaidi.

Msitupotezee muda msameheni tu.
KWANINI ASAMEHEWE SABAYA TU MBONA KUNA WATUHUMIWA MAELFU WALIOPO MAGEREZANI NAO WANATAKA MSAMAHA
KAMA NI HIVYO WOTE WASAMEHEWE

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Sorry mdau. Hivi ukikosea Wenzako wakakupeleka kwenye Sheria, Rais atasema usamehewe wakati Mtendewa hajapata Haki yake? Mahakama zinaingiliwa kuondoa kesi za Jinai?
Tunajua kuwa Sabaya ambaye mwanzo alikuwa 'Defiant' mbele ya 'Mamlaka' sasa 'ameufyata' na kulazimishwa na Watu wa 'Kitengo' aombe Radhi ili afikiriwe na asamehewe kisha 'Muigizaji' wa Sinema aendelee tu kupata 'Credits' kwa Kazi nzuri.

Siku zote Sabaya huwa akipelekwa Mahakamani hatuoni (hatuwaoni) Ndugu zake (hasa Wanawake) na akina Mama Wakilia ila leo cha Kushangaza Sabaya kafika tu Mahakamani Wakaanza Kulia huku Wakimuomba Rais Samia amsamehe Ndugu yao (Mpendwa wao (Sabaya) hali iliyoleta mshangao kwa wengi.

Wenye Akili Kubwa (ila tunachukiwa na Mamlaka hadi katika Mfumo) tunajua kuwa Tukio la Leo lilikuwa 'Staged Strategically' ili Kuwazuga Watu na kwamba Mama (Rais) nae aguswe na aweze Kumsamehe ili azidi kupata Sifa na Umaarufu zaidi.

Msitupotezee muda msameheni tu.
 
Mbona zilimtoa Mbowe sio Gaidi?
Mashtaka ya uongo hayadumu.
Si uliona kina Inspekta Kingai walivyokuwa wakikimbili chooni kuharisha kila wakiulizwa swali gumu!
Sabaya tayaribado ana kesi za kujibu.
Hata Kingai haharishi pale.
 
Tunajua kuwa Sabaya ambaye mwanzo alikuwa 'Defiant' mbele ya 'Mamlaka' sasa 'ameufyata' na kulazimishwa na Watu wa 'Kitengo' aombe Radhi ili afikiriwe na asamehewe kisha 'Muigizaji' wa Sinema aendelee tu kupata 'Credits' kwa Kazi nzuri.

Siku zote Sabaya huwa akipelekwa Mahakamani hatuoni (hatuwaoni) Ndugu zake (hasa Wanawake) na akina Mama Wakilia ila leo cha Kushangaza Sabaya kafika tu Mahakamani Wakaanza Kulia huku Wakimuomba Rais Samia amsamehe Ndugu yao (Mpendwa wao (Sabaya) hali iliyoleta mshangao kwa wengi.

Wenye Akili Kubwa (ila tunachukiwa na Mamlaka hadi katika Mfumo) tunajua kuwa Tukio la Leo lilikuwa 'Staged Strategically' ili Kuwazuga Watu na kwamba Mama (Rais) nae aguswe na aweze Kumsamehe ili azidi kupata Sifa na Umaarufu zaidi.

Msitupotezee muda msameheni tu.
Kauli ya kusema ingilia kati inamana2,kwanza inamtaka mh ahimize mahakama kuendesha ka haraka ili haki ijulikane.Pili inatafsiri mh atowe kauli ya kuingilia mahaka kwa kusema hadharani mahakama imuachiye sabaya au kupitia vitengo vyake.Hii ni mbaya maana mahakama zitakuwa hazina mana ktk kujitegemea kisheria,hivyo napinga watu kutumia neno ingilia kati.
 
Tunajua kuwa Sabaya ambaye mwanzo alikuwa 'Defiant' mbele ya 'Mamlaka' sasa 'ameufyata' na kulazimishwa na Watu wa 'Kitengo' aombe Radhi ili afikiriwe na asamehewe kisha 'Muigizaji' wa Sinema aendelee tu kupata 'Credits' kwa Kazi nzuri.

Siku zote Sabaya huwa akipelekwa Mahakamani hatuoni (hatuwaoni) Ndugu zake (hasa Wanawake) na akina Mama Wakilia ila leo cha Kushangaza Sabaya kafika tu Mahakamani Wakaanza Kulia huku Wakimuomba Rais Samia amsamehe Ndugu yao (Mpendwa wao (Sabaya) hali iliyoleta mshangao kwa wengi.

Wenye Akili Kubwa (ila tunachukiwa na Mamlaka hadi katika Mfumo) tunajua kuwa Tukio la Leo lilikuwa 'Staged Strategically' ili Kuwazuga Watu na kwamba Mama (Rais) nae aguswe na aweze Kumsamehe ili azidi kupata Sifa na Umaarufu zaidi.

Msitupotezee muda msameheni tu.

Yes hay ni maigizo na wameamua kumwamishia Rais lawama ili watu waache kufikili kuwa Sabaya alitenda maovu waaamini kuwa Rais kaamu kumkomoa Sabaya kwa sababu zake na si kwamba ana uovu alio ufanya na ndio maana ukimsikilizq mmoja ya wala wanawake anasema ila kwakua kuna wenye mamlaka hivyo lawama zote zinakwenda kwa SSH na hata ikiwa ataachiwa kwa kuwa ameshindq kesi bado itaonekana ni huruma ya SSH ikitokea rufaa yake kashindwa na hizo kesi zingine akashindwa akafungwa bado kwa vilio hiv vya leo itaonyesha SSH kaamua kumkomesa Sabaya sasa kwa mtego huu kisiasa unaweza kuwa unamanufaa kiasi kidogo kwa SSH kwa kuwa ataaminisha watu kuwa anahuruma lakini papo hapo atakera walio umizwa na Sabaya na papo hapo kuonyesha tafsiri kuwa SSH na Serikali ya CCM ni kawaida zao kubambikia watu kesi ili kuwa komesha ifike wakati vyombo husika viwe huru kumshtaki mtu bila kuingiliwa ili kujenga imani kwa wanachi na kumwondoa Rais na Serikali kwenye mtazamo hasi wa kisheria hiv ikiwa sabaya alikata kweli watu vidole kama inavyo zungumzwa au alipolq kweli pesa za watu ! watu hao watajisikiaje siku sabaya katoka eti kwa kuonewa huruma na Rais ,! Uhuru wa mahakama uhuru wa ofisi ya DPP uhuru wa police ndio vyombo hasa vitavyo komesha hii mitindo ya kumlilia Rais kuachia watuhumiwa
 
Back
Top Bottom