johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Kuanzia 22/10/2020 hadi 27/10/2020 Polepole atayataja maovu yote ya Chadema moja baada ya jingine so kaa tayari kuwatetea viongozi wako!Hebu waambie hao WAPUUZI wenzio Bashiru na Pole pole watuwekee majina ya majizi ndani ya ccm waambie waanze na huyo anayejiita MWENDAWAZIMU kubwa la majizi.
Katibu mkuu wa CCM Dr. Bashiru: CCM kuna majizi nikiyataja hapa mtashangaa. Sasa wezi wako CCM na ndio wenye serikali
MTU mmoja mmoja in swala LA Familia kama kwenye familia yenu hamjajiweka sawa usisukumie Serikali inajenga Vitu vya kutumiwa na jumuiya swala LA MTU mmojamoja Nibla wananchi na familia zaoKweli mahaba sio kitu kizuri. Siamini kama hata unajua nini maana ya uchumi wa kati? Implication yake ni nini kwa maisha ya mtu mmoja mmoja?
Usipanic bwashee... Subiri muda ufike!MPUUZI kweli kweli ila huyu MPUUZI mwenzio na mchumia tumbo hawezi kuutaji UPORAJI wa 2.7 trillions uliofanywa pale hazina na KICHAA.
Ndugu yangu cha kuvunda hakina ubani kama akili yako umeishia hapo....basi Hamna namna...MTU mmoja mmoja in swala LA Familia kama kwenye familia yenu hamjajiweka sawa usisukumie Serikali inajenga Vitu vya kutumiwa na jumuiya swala LA MTU mmojamoja Nibla wananchi na familia zao
Imajine pato lime double wakati per capital income imeongezeka by 50 USD. Ni Utapeli tu....!!Data za kupika
Kiukweli hizi data zimenitia moyo zaidi na kunifanya nizidi kutembea kifua mbele...
Kiukweli hizi data zimenitia moyo zaidi na kunifanya nizidi kutembea kifua mbele...
Aisee ndo ushindwe kupandisha mishahara kupandisha watu madaraja kuwaajiri watumishi kada mbalimbali chakubanga muongo kwelikweliKiukweli hizi data zimenitia moyo zaidi na kunifanya nizidi kutembea kifua mbele...
Kiukweli hizi data zimenitia moyo zaidi na kunifanya nizidi kutembea kifua mbele...
Kiukweli hizi data zimenitia moyo zaidi na kunifanya nizidi kutembea kifua mbele...
Mkuu tuwekee zako ambazo hazijapikwa.Data za kupika
achana nahuyu mtu nakwambia utakuja nikumbuka, anasema viwanda 8000 vimejengwa kipindi chake,sioni reflection kwenye ajira,data nyingi ni tanganga totoKiukweli hizi data zimenitia moyo zaidi na kunifanya nizidi kutembea kifua mbele...
Kama nafasi ya uwakilishi aliporwa,m Bali na maswibu yaliyo mkuta ndio Hilo litokee.nafasi anayostahili no hiianayopambania leo .baasi.Kiukweli hizi data zimenitia moyo zaidi na kunifanya nizidi kutembea kifua mbele...
OK sawa. shida tunataka kiongozi mwenye roho ya utu period.if you think money can buy love,my friend you are dead wrong..Kiukweli hizi data zimenitia moyo zaidi na kunifanya nizidi kutembea kifua mbele...
Mkuu jamani Kama ni mchumi tueleweshe vizuri ,pato hua linakua kivipi wakati watu tuna hali mbaya kiuchumi ,ebu mkuu nisaidie ,yani tuko hoi lakini pato la nchi liko juu ,iko vipi hii ,msaada tafadhaliKiukweli hizi data zimenitia moyo zaidi na kunifanya nizidi kutembea kifua mbele...
Akikujibu nishtue!Hivi ile milion50 ya michango mbowe aliyochukua kienyeji vip mwenyekiti wenu amesha irefund?