Kama Rais Magufuli ameweza kukuza pato la taifa kutoka sh trilioni 53 alizoacha Kikwete hadi sh trilioni 120, Mungu atupe nini tena?!

Kama Rais Magufuli ameweza kukuza pato la taifa kutoka sh trilioni 53 alizoacha Kikwete hadi sh trilioni 120, Mungu atupe nini tena?!

Matrilioni hayo 120 yako wapi? Wajinga ndio waliwao! Danganyeni haohao ccm wenzenu.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kweli mahaba sio kitu kizuri. Siamini kama hata unajua nini maana ya uchumi wa kati? Implication yake ni nini kwa maisha ya mtu mmoja mmoja?
MTU mmoja mmoja in swala LA Familia kama kwenye familia yenu hamjajiweka sawa usisukumie Serikali inajenga Vitu vya kutumiwa na jumuiya swala LA MTU mmojamoja Nibla wananchi na familia zao
 
Kwanini deni la taifa mmeliongeza na kwanini mmeshushwa kwenye uchumi wa kati na mabeberu, ina maana hapo mmezitumia vibaya pesa za walipa kodi
 
MPUUZI kweli kweli ila huyu MPUUZI mwenzio na mchumia tumbo hawezi kuutaji UPORAJI wa 2.7 trillions uliofanywa pale hazina na KICHAA.
Usipanic bwashee... Subiri muda ufike!
 
  • Thanks
Reactions: Ole
MTU mmoja mmoja in swala LA Familia kama kwenye familia yenu hamjajiweka sawa usisukumie Serikali inajenga Vitu vya kutumiwa na jumuiya swala LA MTU mmojamoja Nibla wananchi na familia zao
Ndugu yangu cha kuvunda hakina ubani kama akili yako umeishia hapo....basi Hamna namna...
 
Kiukweli hizi data zimenitia moyo zaidi na kunifanya nizidi kutembea kifua mbele...

Nikikumbuka baada ya ile ripoti ya matapeli kina profesa Ossoro kuhusu wizi wa madini, TRA wakapitia mahesabu wakakuta tunadai $192b, yaani 400t+ tshs. Leo hii genge lile lile la matapeli ndio linatoa figure hii ya kitapeli. Wahuni wakubwa nyie.
 
Kiukweli hizi data zimenitia moyo zaidi na kunifanya nizidi kutembea kifua mbele...
Aisee ndo ushindwe kupandisha mishahara kupandisha watu madaraja kuwaajiri watumishi kada mbalimbali chakubanga muongo kwelikweli
 
Nitakua mtu w mwisho kuamini taarifa hii...maana serikali hii waongo sana.
 
Kiukweli hizi data zimenitia moyo zaidi na kunifanya nizidi kutembea kifua mbele...

Kweli ni nachukia ujinga sana, na ujinga ni upumbavu, hivi kama kuna hizi data kwa nini Hakuna kwenye Majukwaa!

Jana nimeenda sikiliza sera za Mbunge! 90% of time is CCM Oyeee! Na kura kwa Nd, Dr. John Magufulia, kwa nini msizungumze sababu?
 
Kiukweli hizi data zimenitia moyo zaidi na kunifanya nizidi kutembea kifua mbele...
achana nahuyu mtu nakwambia utakuja nikumbuka, anasema viwanda 8000 vimejengwa kipindi chake,sioni reflection kwenye ajira,data nyingi ni tanganga toto
 
Kiukweli hizi data zimenitia moyo zaidi na kunifanya nizidi kutembea kifua mbele...
Kama nafasi ya uwakilishi aliporwa,m Bali na maswibu yaliyo mkuta ndio Hilo litokee.nafasi anayostahili no hiianayopambania leo .baasi.
 
Kiukweli hizi data zimenitia moyo zaidi na kunifanya nizidi kutembea kifua mbele...
Mkuu jamani Kama ni mchumi tueleweshe vizuri ,pato hua linakua kivipi wakati watu tuna hali mbaya kiuchumi ,ebu mkuu nisaidie ,yani tuko hoi lakini pato la nchi liko juu ,iko vipi hii ,msaada tafadhali
 
Hivi 2015 tsh to us ilikuwa bei gani kulinganisha na sasa?
 
Back
Top Bottom