Kama Rais Magufuli ameweza kukuza pato la taifa kutoka sh trilioni 53 alizoacha Kikwete hadi sh trilioni 120, Mungu atupe nini tena?!

Kiukweli hizi data zimenitia moyo zaidi na kunifanya nizidi kutembea kifua mbele...
Kwako wewe binafsi Hilo ongezeka (Kama lipo) limekubadilishia Nini katika maisha yako ya kila siku na katika kipato chako binafsi..? Na kabla halijaongezeka ulikosa Nini..?
 
Haya mambo endeleeni tu kujitekenya kwa takwimu za kupika ili kumridhisha Magufuli, ila hili bomu mnalojitegea wenyewe mtakuja kujutia ujinga huu mliofanya.

Kwasasa endeleeni kuchekea hii kansa inayokula ndani kwa ndani lakini siku ikitokea nje mtatamani kuirudisha ndani mtakuwa hamuwezi tena na hapo jamaa yenu atakuwa Chato amepumzika.
 
Kama hutaki kufanya kazi hakuna mtu atakayekuwekea fedha mfukoni. Wengi wanaolialia walikuwa wanategemea pesa bila kufanya kazi, imekula kwenu.
Mimi napgana na maisha yangu toka nizaliwe. Sjawahi kuwa mvivu nakuapia lakini ninyi kutesa watu,kunyamizisha wapaaza Sauti za haki,kunyima haki watumishi,kubomoa majumba ya watu mnaona ni sawa? Niny na Chama chenu wengi mumegeuka wadhalimu kabsaa.. Tokeni kabsaa kwny uongozi wa nchi!!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Kipindi cha Magufuli ndio kipindi nimefanikiwa kuliko kipindi chochote. Nakupata thamani halisi ya kipato changu. Aendelee tuu.
 
Mimi napgana na maisha yangu toka nizaliwe. Sjawahi kuwa mvivu nakuapia lakini ninyi kutesa watu,kunyamizisha wapaaza Sauti za haki,kunyima haki watumishi,kubomoa majumba ya watu mnaona ni sawa? Niny na Chama chenu wengi mumegeuka wadhalimu kabsaa.. Tokeni kabsaa kwny uongozi wa nchi!!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Kwanini unasema nyinyi? Mimi ni Ole nazungumzia yale yanayotokea na hata siku moja hutaniona naandika kufuata ushabiki wa chama chochote bila kujiridhisha. Angalia tangu hii foum ilipoanza, kero tulizokuwa tunapigia kelele ndio Magufuli anatekeleza sasa kwa nini unataka nipinge tu ati kwa sababu mlevi wa Konyagi anajitajirisha peke yake. Uliza Mnyika kwa nini kafukuzwa kwenye kampeni za Tundu? Uliza kwa nini wanafarakana, ni pesa ambazo Lisu alipewa kwa kampeni lakini kaamua kujenga Hoteli. usiwe na papara na kuvamia vitu ambavyo hufahamu.

Wewe ni kati ya wale waliolishwa sumu lakini hawafahamu hiyo sumu itawaua lini, Tanzania tunasonga mbele kwa maendeleo yako na kizazi kijacho wake up!
 
Kiukweli hizi data zimenitia moyo zaidi na kunifanya nizidi kutembea kifua mbele.

Ukuaji wa pato la taifa kutoka sh trilioni 53 mwaka 2015 hadi sh trilioni zaidi ya 120 mwaka huu wa 2020 ni jambo la kujivunia ambalo ni lazima tulienzi kwa kumpa Dr Magufuli mitano tena.

Tundu Lisu atapewa kazi pale ofisi ya Mwanasheria mkuu.

Maendeleo hayana vyama!
Ulaya unaumwa wananchi unaonyesha takwimu za kupanda kwa pato la Taifa. Soma alana za nyakati
 
Kwanini unasema nyinyi? Mimi ni Ole nazungumzia yale yanayotokea na hata siku moja hutaniona naandika kufuata ushabiki wa chama chochote bila kujiridhisha. Angalia tangu hii foum ilipoanza, kero tulizokuwa tunapigia kelele ndio Magufuli anatekeleza sasa kwa nini unataka nipinge tu ati kwa sababu mlevi wa Konyagi anajitajirisha peke yake. Uliza Mnyika kwa nini kafukuzwa kwenye kampeni za Tundu? Uliza kwa nini wanafarakana, ni pesa ambazo Lisu alipewa kwa kampeni lakini kaamua kujenga Hoteli. usiwe na papara na kuvamia vitu ambavyo hufahamu.

Wewe ni kati ya wale waliolishwa sumu lakini hawafahamu hiyo sumu itawaua lini, Tanzania tunasonga mbele kwa maendeleo yako na kizazi kijacho wake up!

You are very right, Mzee wangu alikuwa akirudia rudia maneno haya kwangu: Lies dies when it hits a wise person's ears na jana alirudia rudia msemo mwingine '' A wise man changes his mind, a fool never will"
 
  • Thanks
Reactions: Ole
Kwanini unasema nyinyi? Mimi ni Ole nazungumzia yale yanayotokea na hata siku moja hutaniona naandika kufuata ushabiki wa chama chochote bila kujiridhisha. Angalia tangu hii foum ilipoanza, kero tulizokuwa tunapigia kelele ndio Magufuli anatekeleza sasa kwa nini unataka nipinge tu ati kwa sababu mlevi wa Konyagi anajitajirisha peke yake. Uliza Mnyika kwa nini kafukuzwa kwenye kampeni za Tundu? Uliza kwa nini wanafarakana, ni pesa ambazo Lisu alipewa kwa kampeni lakini kaamua kujenga Hoteli. usiwe na papara na kuvamia vitu ambavyo hufahamu.

Wewe ni kati ya wale waliolishwa sumu lakini hawafahamu hiyo sumu itawaua lini, Tanzania tunasonga mbele kwa maendeleo yako na kizazi kijacho wake up!
Ole taja hyo hotel na mahali ilipo..kadhark mimi Sina Chama ila ni mtanzania halisi mwenye hofu juu ya vizazi vyetu vijavyo...siasa sio mfumo wa riziki yangu hapana but siwez kunyamaza penye dhuluma why? " itz bcz we are born to make sure others are well saved! "hili ndilo dhumuni la Mungu kutuumba hapa duniani. Mungu ametuagiza tupendani na hii ni amri kuu ya pili baada ya ile ya Kumpenda yeye Muumba!!Sasa kwnn tusiisemee dhuluma ya nafsi zetu na waovu?
Tundu Lissu ametaja maovu mengi na hayajakanushwa likiwemo la nani alikusudia kumuua? Tuweni wakweli sisi sote duniani ni wa kupita ,siss wote ni chakula cha udongo na wadudu...tutendeeane mema ili mwisho wetu uwe Mwema!!
Kwanini siasa iwe mbinu chafu ya kutolinda amri kuu ya Mungu ya kumpenda jirani yako? Ole Ole wako juu ya kesho kama dhuluma imekua ni jambo sahihi kwako na kwenu!! Mungu bariki Tanzania mpya itakayojali utu wetu na haki zetu!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Kiukweli hizi data zimenitia moyo zaidi na kunifanya nizidi kutembea kifua mbele.

Ukuaji wa pato la taifa kutoka sh trilioni 53 mwaka 2015 hadi sh trilioni zaidi ya 120 mwaka huu wa 2020 ni jambo la kujivunia ambalo ni lazima tulienzi kwa kumpa Dr Magufuli mitano tena.

Tundu Lisu atapewa kazi pale ofisi ya Mwanasheria mkuu.

Maendeleo hayana vyama!

Kwa mujibu wa takwimu za Mamlaka za Takwimu Tanzania(NBS) , Pato la Taifa mwaka 2015 lilikuwa Shilingi Trilion 94.3, Achana na Vipeperushi vya propaganda za uongo za Humphrey Polepole, Usikubali Polepole akushike akili, Siku nyingine muombe source ya taarifa usikubali kumezeshwa matango pori!

1601119147185.png

Document nzima ya hiyo taarifa inapatikana kwenye attachment niliyoweka hapa:
 
Attachments

View attachment 1581352

Document nzima ya hiyo taarifa inapatikana kwenye attachment niliyoweka hapa:
Hahahaaaa....... matango pori!
 
Polepole anazidi kuwaudhi Watanzania na takwimu za uongo wakati mitaani njaa imetalamaki
 
Ole taja hyo hotel na mahali ilipo..kadhark mimi Sina Chama ila ni mtanzania halisi mwenye hofu juu ya vizazi vyetu vijavyo...siasa sio mfumo wa riziki yangu hapana but siwez kunyamaza penye dhuluma why? " itz bcz we are born to make sure others are well saved! "hili ndilo dhumuni la Mungu kutuumba hapa duniani. Mungu ametuagiza tupendani na hii ni amri kuu ya pili baada ya ile ya Kumpenda yeye Muumba!!Sasa kwnn tusiisemee dhuluma ya nafsi zetu na waovu?
Tundu Lissu ametaja maovu mengi na hayajakanushwa likiwemo la nani alikusudia kumuua? Tuweni wakweli sisi sote duniani ni wa kupita ,siss wote ni chakula cha udongo na wadudu...tutendeeane mema ili mwisho wetu uwe Mwema!!
Kwanini siasa iwe mbinu chafu ya kutolinda amri kuu ya Mungu ya kumpenda jirani yako? Ole Ole wako juu ya kesho kama dhuluma imekua ni jambo sahihi kwako na kwenu!! Mungu bariki Tanzania mpya itakayojali utu wetu na haki zetu!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Sasa unaweza kuweka ushahidi usio na mashaka wa hayo unayoyasema? Lini ulikutana na Mwenyezi Mungu wewe na nani alikupa huo mwongozi wa wewe kuwa ndiye unahukumu wenzio pasipo ushahidi? naona umeshikwa pabaya unawewesekaweweseka tu kama pimbi! Magufuli ni Jembe na hamuwezi kumfanya chohote mtabwata hadi koo zenu zikauke sisi pamoja na magufuli tunaendeleza maisha bora kwa kila Mtanzania. Kalaga baho.
 
Polepole anazidi kuwaudhi Watanzania na takwimu za uongo wakati mitaani njaa imetalamaki
Polepole kawaumbua uchumi umepanda mara dufu kutoka Magufuli achukue mikoba na figures kawapa kama hupendi kajinyonge. Walioudhika ni kile chama ooops Sacos ya ukoo wa mlevi wa konyagi.
 
Acha ushabiki buku saba zinakusaidia nini wakati Watanzania wenzako wanateswa ndani ya Nchi yao
 
Back
Top Bottom