Kama Rais ni mtetezi wa wanyonge na mtumbuaji majipu maarufu, kwanini hajamtumbua Said Lugumi?

mgema akisifiwa ..........................
 
Kuna kada moja wa Chama Tawala alisema JPM anabinya chunusi tu na Sio majipu. Sasa naanza kuamini kauli yake ni ukweli mtupu.
 
Tulia bhasi....halafu ujue jeshi Ni tofauti na taasisi za mkonge....jeshi kutumbukiwa Ni ndoto.
 
Suala LA mfumo wa vidole so kiki tena kwa upinzani hapo hollaa.....maana kila kituo kina hizo mashineeeee

Ccm oyeeeeeeeee
we kouko ni mpumb..........vu
tunajadili mustakabali wa nchi we unaleta uchama......
 
Ccm Oyeeeee imenifikisha hapa nilipo aiseeee....

Kidumu chama cha mapinduzi
ndugu zako wanashindia mihogo vijijin huku we unashangilia mjini uko,.........
zinduka kijana,.hii tz ukiendekeza siasa utakuwa huendelei
maswala ya nchi,na maendeleo yake usilete uccm wako
 
Lugumi lugumi ina maana wewe ni mpiga ngumi kuliko Mohamed Ali mpaka jamaa anakuogopa?
 
jibu la swali lako ni rahisi sana mkuu:
"this is africa, and tanzania in particular"
 
Mimi nitakua wa mwisho kuliamini bunge hili.Tuendelee tu kupiga mayowe lakini wakubwa wameshaamua ndio itakavyokua.
 
Tuachee uchama, tunataka lugumi na kitwanga watumbuliwe
 
Pamoja na mbwembwe zooote, yani fupa la lugumi linamshinda Magufuli.

kweli ccm ni ile ile CHAMA CHA MAJIZI
 
Hapo kuna watu wazito wanalindana! JPM hapo ndio anaona kweli kazi itaelekea kumshinda!! Kama akiweza kutumia usemi w Baba Askofu aliompa basi nchi haitamshinda!! Bora mmoja afe kwa manufaa ya nchi....ili nchi isonge mbele!!
Ndugu majipu yapo ya Aina mingi mengine hayatumbuliki mengine yanasogezwa aka ntakupangiakaz ingine na mengi ni vijipu uchungu
Aka wakurugenzi
 
tz ya viwanda yaja,.wakati maji2 mbilinge
hawa walinzi wa fisiemu,..
huwez kutenga lugu&polisi,.ten rais yupo kimya2
tumuombee huyu bwana,.....aje kutukomboa kutoka kwa ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…