Kama Rais Samia akiamua kumchagua CDF mwanamke, nani anafaa?

Kama Rais Samia akiamua kumchagua CDF mwanamke, nani anafaa?

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Inawezekana Rais kumchagua CDF mwanamke? Nani anafaa? Wapo wanawake gani kule ambao sasa hivi wana cheo?

Ngome inaweza kumruhusu Rais amchague CDF mwanamke?
 
Kwa hiyo unataka tuanze kupiga ramli siyo?

Unataka sisi ndiyo tumwamulie rais nani anafaa kuwa cdf mwanamke?

Mwacheni rais afanye kazi yake kadri anavyoona inafaa kwa manufaa ya taifa. Haya mambo ya kutajataja majina ya watu mitandaoni, in one way or another, ni kuwachomea utambi tu.
 
Inawezekana Rais kumchagua CDF mwanamke? Nani anafaa? Wapo wanawake gani kule ambao sasa hivi wana cheo? Ngome inaweza kumruhusu Rais amchague CDF mwanamke?
Utaratibu wa kumpata CDF uko wazi, na waliopo kwenye nafasi ya kuteuliwa hakuna hata mwanamke mmoja ila kuna Mzanzibar mmoja tu.
 
Kwani anashinda vitani? CDF ni mtu wa vikao kama alivyo Waziri wake, wakuu wa vikosi ndiyo wanakazi ngumu
Ikitokea vita ndio utajua umuhimu wa CDF ndiyo maana akaitwa General yaani mzoefu wa maswala ya vita na ulinzi wa mipaka ya nchi na ni mtu anayeweza kupindua nchi wakati wowote.Kifupi huwa ni right hand man wa Rais mtu anayeaminika haswa!
 
Nafasi zingine acheni utani nazo
Kama kuna uwezekano, however slight,kwamba Rais anaweza kumchagua CDF mwanamke,hili jambo lazima litajwe. Wapo valiant warriors wengi ambao wanaweza kumrithi Mabeyo, lakini upo uwezekano Rais akamchagua CDF mwanamke,ndio swali langu.
 
Kama yeye asivyofaaa vilevile hakuna mwanamke anafaa kuwa bosi wa ulinzi wa mipaka
 
Kama wameshurutishwa kumkubali Raisi, CDF ni kitu gani??
Walishurutishwa au wao ndiyo na bado wanashurutisha? Katiba inatamka kabisa kwamba raisi akodanji nn kinatokea wao walikuwa hawataki.
Upumbavu wa sukuma gang
 
Back
Top Bottom