Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Kama wameshurutishwa kumkubali Raisi, CDF ni kitu gani??Wanajeshi waliotoka makabila ya kanda ya ziwa watamkubali CDF mwanamke? Acheni masihara nyie.
Eti hata Waziri wa ulinzi ni mwanamke, sababu kuwa CDF siyo kwamba atakuwa anashinda vitani yeye ni mtu wa vikaoKama wameshurutishwa kumkubali Raisi, CDF ni kitu gani??
Kama wameshurutishwa kumkubali Raisi, CDF ni kitu gani??
Ni kweli kimsingi lakini ni ngumu sana kiuhalisia!! Inabidi uwe Jenerali wa jeshi kuweza kuvaa viatu vya CDF vikakukaa vizuri!Hicho ni cheo cha madaraka mtu yoyote anaweza kuwa CDF
Utaratibu wa kumpata CDF uko wazi, na waliopo kwenye nafasi ya kuteuliwa hakuna hata mwanamke mmoja ila kuna Mzanzibar mmoja tu.Inawezekana Rais kumchagua CDF mwanamke? Nani anafaa? Wapo wanawake gani kule ambao sasa hivi wana cheo? Ngome inaweza kumruhusu Rais amchague CDF mwanamke?
Kwani anashinda vitani? CDF ni mtu wa vikao kama alivyo Waziri wake, wakuu wa vikosi ndiyo wanakazi ngumuNi kweli kimsingi lakini ni ngumu sana kiuhalisia!! Inabidi uwe Jenerali wa jeshi kuweza kuvaa viatu vya CDF vikakukaa vizuri!
Awamu hii CDF lazima atakuwa ni muislamUtaratibu wa kumpata CDF uko wazi, na waliopo kwenye nafasi ya kuteuliwa hakuna hata mwanamke mmoja ila kuna Mzanzibar mmoja tu.
CDF hateuliwi kwa misingi ya dini, anateuliwa miongoni mwa wale waliopo kwenye circle ya kuteuliwa.Awamu hii CDF lazima atakuwa ni muislam
UtaonaCDF hateuliwi kwa misingi ya dini, anateuliwa miongoni mwa wale waliopo kwenye circle ya kuteuliwa.
Angalau ungesema Mzanzibar ungekuwa na hoja ya undugunaization
HakunaInawezekana Rais kumchagua CDF mwanamke? Nani anafaa? Wapo wanawake gani kule ambao sasa hivi wana cheo? Ngome inaweza kumruhusu Rais amchague CDF mwanamke?
Ikitokea vita ndio utajua umuhimu wa CDF ndiyo maana akaitwa General yaani mzoefu wa maswala ya vita na ulinzi wa mipaka ya nchi na ni mtu anayeweza kupindua nchi wakati wowote.Kifupi huwa ni right hand man wa Rais mtu anayeaminika haswa!Kwani anashinda vitani? CDF ni mtu wa vikao kama alivyo Waziri wake, wakuu wa vikosi ndiyo wanakazi ngumu
Kama kuna uwezekano, however slight,kwamba Rais anaweza kumchagua CDF mwanamke,hili jambo lazima litajwe. Wapo valiant warriors wengi ambao wanaweza kumrithi Mabeyo, lakini upo uwezekano Rais akamchagua CDF mwanamke,ndio swali langu.Nafasi zingine acheni utani nazo
Walishurutishwa au wao ndiyo na bado wanashurutisha? Katiba inatamka kabisa kwamba raisi akodanji nn kinatokea wao walikuwa hawataki.Kama wameshurutishwa kumkubali Raisi, CDF ni kitu gani??