Kama Rais Samia akiamua kumchagua CDF mwanamke, nani anafaa?

Mnaleta utani nyie .hatutaki kusikia mambo ya mkuu wa majeshi amnunia Mh.rais
 
Jakaya alisema kuna mambo ya 50 Kwa 50 ila kuhusu CDF Hapana ilikuwa anahutubia Bunge mwaka 2008
 
Ni muislamu!atatokea kanda ya ziwa!!kwa kuwa waislamu hawanaga UJINGA wa kutawaliwa na ke! Basi tabiri kitachotokea!!
 
Inawezekana Rais kumchagua CDF mwanamke? Nani anafaa? Wapo wanawake gani kule ambao sasa hivi wana cheo?

Ngome inaweza kumruhusu Rais amchague CDF mwanamke?
Siyo lazima kila mmoja kwenda Google kirefu cha cdf ni Nini??
 
Ifike wakati tuache utani CDF mwanamama duniani hakuna...Lt Gen Mkingule muda wowote anapandishwa cheo na kuwa CDF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…