Wewe ndo umeua kabisa. Yaani siku 300 kwa mwaka anakuwa anambwela mbwela huko duniani, hapo kweli amekuwa Global Trotter. Na kwa taarifa zaidi huyo Chura Kiziwi tangu aingie madarakani kwa wastani anafanya ziara moja kila Mwezi na unavyo soma hili bandiko yuko Beijing.Kwa hiyo siku 300 kwenye 365 anazokua amesafiri pia anajipikia chakula huko huko? Na akipika anatakiwa aji-record!!! Basi sawa