Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 18,813
- 21,830
Hongera sana kwake.....alishe mume na wajukuu.....angesonga ugali kabisa sio mchemsho hiyoooWale ambao tukiajiriwa au kupata hela kidogo tu tunatafuta wadada wa kazi.
Wale tusiojua kupika, kuna la kujifunza hapa.
Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hongera kiongozi kuna maisha nje ya kazi na kuna majukumu nje ya kazi