Pre GE2025 Kama Rais Samia anaingia jikoni kupika basi hapa kuna la kujifunza

Pre GE2025 Kama Rais Samia anaingia jikoni kupika basi hapa kuna la kujifunza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nasema Mamaa Mamaa nani kama Mamaa, machozi ya furaha yananibubuji kweli huyu ndiye Rais tunaemuhitaji, wale wavimba macho waendelee kubweka tu.

Nasema Mamaa Mamaa nani kama Mamaa, machozi ya furaha yananibubuji kweli huyu ndiye Rais tunaemuhitaji, wale wavimba macho waendelee kubweka tu.
Acha tububujikwe na machozi ya Furaha
 
InShot_20240528_162923769.jpg
 
Wale ambao tukiajiriwa au kupata hela kidogo tu tunatafuta wadada wa kazi.

Wale tusiojua kupika, kuna la kujifunza hapa.

Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Hongera kiongozi kuna maisha nje ya kazi na kuna majukumu nje ya kazi

Wabongo bwana. Mnasifia hata visivyostahili. Mbona viongozi wengi tu duniani wanapika, tena wanaume? Labda ni Afrika tu ndiko wanaume hawapiki lakini majuu matajiri na viongozi wengi wanaume huwa wanapika ije kuwa Samia ambaye ndiyo kazi yake hasa? NB: wazungu hawapiki kila siku kama sisi.
 
hiyo kazi nzuri sana na anaiweza sana ya jikoni. Huku kwengine awaachie wanaume waendelee na kazi ya urais. Alafu wanawake mnatukera sana, mimi wakwangu nimemwona hawezi kazi namwambia namletea mdada wa kazi anagoma sasa mwaka wa nne namwambia nikimleta mdada sitaki umfukuze hataki.....nawaza kumrudisha kwao maana si kupika si kufua hakuna kitu huhuhuhu!
 
Wabongo bwana. Mnasifia hata visivyostahili. Mbona viongozi wengi tu duniani wanapika, tena wanaume? Labda ni Afrika tu ndiko wanaume hawapiki lakini majuu matajiri na viongozi wengi wanaume huwa wanapika ije kuwa Samia ambaye ndiyo kazi yake hasa? NB: wazungu hawapiki kila siku kama sisi.
Relax
 
Kuandaa maandalio🤣
Walimu saa kumi wako nyumbani, wanafaa kwa matumizi ya nyumbani😂😂😂 sasa oa mhasibu wa benki, benki saa kumi inafungwa anabak kufunga mahesabu mpaka saa 1 nyumbani anaingia saa nne, amechoka hatari chakula cha usiku utapewa kwa mbinde
 
Back
Top Bottom