Wewe ndo umeua kabisa. Yaani siku 300 kwa mwaka anakuwa anambwela mbwela huko duniani, hapo kweli amekuwa Global Trotter. Na kwa taarifa zaidi huyo Chura Kiziwi tangu aingie madarakani kwa wastani anafanya ziara moja kila Mwezi na unavyo soma hili bandiko yuko Beijing.Kwa hiyo siku 300 kwenye 365 anazokua amesafiri pia anajipikia chakula huko huko? Na akipika anatakiwa aji-record!!! Basi sawa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na Yale macho anaona kweli ?
Asije kuweka sabuni akijua chumvi.
Bear Mambo ![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halipwi Samia nae sikajitakia tu hujamwona mpikaji hapoKutana na Mwalimu au nurse kila siku kachoka na ni mwendo wa beki 3 tu
hiki chakula tukipige mnada, yaani mtu anaetaka kula chakula cha mama aje na 10m, naimani dinner moja hatukosi 1bn, tukinunua majiko ya gas tutayagawaa nchi nchi nzima na misitu yetu itakuwa salamaWale ambao tukiajiriwa au kupata hela kidogo tu tunatafuta wadada wa kazi.
Wale tusiojua kupika, kuna la kujifunza hapa.
Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hongera kiongozi kuna maisha nje ya kazi na kuna majukumu nje ya kazi
Poa baba bear. Uko mzima?Bear Mambo !
Wazo zurihiki chakula tukipige mnada, yaani mtu anaetaka kula chakula cha mama aje na 10m, naimani dinner moja hatukosi 1bn, tukinunua majiko ya gas tutayagawaa nchi nchi nzima na misitu yetu itakuwa salama
Mara nyingi watu waliofanikiwa hawana makuu....a.k.a mambo mengi...Wale ambao tukiajiriwa au kupata hela kidogo tu tunatafuta wadada wa kazi.
Wale tusiojua kupika, kuna la kujifunza hapa.
Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hongera kiongozi kuna maisha nje ya kazi na kuna majukumu nje ya kazi
Kwema kabisa sijui kwakoMe mzima babe.
Kwema huko.
#Hujatekwa.
Nipo salama kabisa.Kwema kabisa sijui kwako
#Sijatekwa.