Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Unafikili mbowe hakusema?Hizi ni siasa za kinafiki tena zisizofaa kabisa. Maana mbunge kama muwakilishi wa wananchi alafu unakaa kimya ukishuhudia wananchi wako wakiteswa na kug'olewa meno...
Kila jambo na wakati wake kuna wakati wa kunena na kuna wakati wa kunyamaza.Hizi ni siasa za kinafiki tena zisizofaa kabisa. Maana mbunge kama muwakilishi wa wananchi alafu unakaa kimya ukishuhudia wananchi wako wakiteswa na kug'olewa meno...
Kwani huyo Sabaya ni nani wenu? Mbona mnateseka sana!!Hizi ni siasa za kinafiki tena zisizofaa kabisa. Maana mbunge kama muwakilishi wa wananchi alafu unakaa kimya ukishuhudia wananchi wako wakiteswa na kug'olewa meno...
Are you stupid?Kwani huyo Sabaya ni nani wenu? Mbona mnateseka sana!!
Hawa wapumbavu wakijaribu kuandamana tutawavunja hadi utumbo!Kila jambo na wakati wake kuna wakati wa kunena na kuna wakati wa kunyamaza...
Jiwe gizani,sio kwamba lazima umtukane MTU pumbavu au fala muundo wa maneno yatamfanye ajione fala.Kweli tunafoautiana sana akili na uwezo wa kuona mambo.Nimejifunza jambo kwako lenye kunipa taswira yetu halisi baada ya kushiba ugali wa sembe.
Kama aliogopa kusema,mbona hakumuambia Lissu au Ansbert ngurumo walioko ughaibuni.Hizi ni siasa za kinafiki tena zisizofaa kabisa. Maana mbunge kama muwakilishi wa wananchi alafu unakaa kimya ukishuhudia wananchi wako wakiteswa na kug'olewa meno...
Kwa hiyo wakati mbowe anaitisha waandishi wa habali na kumponda magufuli kipindi kile alikuwa mwanamke?Acha unaafiki baasi!kipindi hicho kulikua na mwanaume wa kuongea au ndo sifa tu...muda wa kulipa udhalimu huu
Jibu swali langu kwanza badala ya kukimbilia kujificha kwenye kichaka cha matusi!Are you stupid?
Kuna watu wengine ni mazombie hayajui ku reason. Ningekuwa Moderator wote wanaoandika nyuzi za kumtetea sabaya napiga life ban.Acha unaafiki baasi!kipindi hicho kulikua na mwanaume wa kuongea au ndo sifa tu...muda wa kulipa udhalimu huu
Amseme Sabaya alievua miwani na kumcheka mama Mghwira aliposema mkutanoni kuwa Wakuu WA Wilaya wanaweka ndani watu hovyo?Hizi ni siasa za kinafiki tena zisizofaa kabisa. Maana mbunge kama muwakilishi wa wananchi alafu unakaa kimya ukishuhudia wananchi wako wakiteswa na kug'olewa meno...
sasa nani angemsikiliza?Hizi ni siasa za kinafiki tena zisizofaa kabisa. Maana mbunge kama muwakilishi wa wananchi alafu unakaa kimya ukishuhudia wananchi wako wakiteswa na kug'olewa meno...