Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Sema binafsi kuna wingu zito akilini mwangu.Hizi ni siasa za kinafiki tena zisizofaa kabisa. Maana mbunge kama muwakilishi wa wananchi alafu unakaa kimya ukishuhudia wananchi wako wakiteswa na kug'olewa meno...