Kama Sabaya alikuwa na karakana ya kutesea watu, mbona Mbowe hakusema alipokuwa Bungeni?

Unataka justice ya aina gani wewe kiazi mviringo cha Njombe! Kitendo cha huyo Sabaya tu kufikishwa mahakamani, ni kitendo cha haki!

Mahakama ndiyo itakayo amua iwapo ana hatia, au la! Kulialia humu haitasaidia chochote! Na kama wewe na wenzako hamkubaliani na jambo hilo, basi nendeni mkanyee naye ndoo huko jela aliko.
Tumia common sense, kupelekwa mahakamani ndio kupata haki?
 
Hakika bi.Kirembwe ameacha mazuzu wengi sana
Hizi ni siasa za kinafiki tena zisizofaa kabisa. Maana mbunge kama muwakilishi wa wananchi alafu unakaa kimya ukishuhudia wananchi wako wakiteswa na kug'olewa meno.

Baadae unaibuka kinafiki baada ya mtuhumiwa kukamatwa na kuleta tuhuma zako. Kuwa kuna karakana ya kutesea watu uliishuhudia jimboni kwako.

My take: kuna wingu zito juu ya kesi ya mtuhumiwa Sabaya.
 
Hakika
Mbowe ameshitaki mengi na hakuna hatua zilichukuliwa dhidi ya uchafu wa Sabaya, kwani wakati huo bado kiongozi muovu alikuwa madarakani. Kwa sasa yule kiongozi dhalimu yuko motoni, hivyo ushahidi wa unyama wa wakati wake na genge lake unawekwa wazi.

Hakukuwa na bunge, bali kusanyiko la watu waovu na wanafiki ndani ya jengo la bunge, hivyo Mbowe asingepoteza muda kusema unyama wa Sabaya kwenye bunge kibogoyo.
 
Hizi ni siasa za kinafiki tena zisizofaa kabisa. Maana mbunge kama muwakilishi wa wananchi alafu unakaa kimya ukishuhudia wananchi wako wakiteswa na kug'olewa meno.

Baadae unaibuka kinafiki baada ya mtuhumiwa kukamatwa na kuleta tuhuma zako. Kuwa kuna karakana ya kutesea watu uliishuhudia jimboni kwako.

My take: kuna wingu zito juu ya kesi ya mtuhumiwa Sabaya.
Changu wewe ndowale uvccmiz mazaa kasema mnachojua ni kujikomba kwa viongozi badala ya kujenga hoja na kuongea Sera eti?? Unayemtetea anaenyeshwa hko nenda kamtoe ukae wewe mjinga uliwe!! Aliyemtuma kadanja ndomjifunze kumtegemea Mungu sio binadam shwain... Hoja zako zakijinga hazihitaji kujibiwa bali kupuuzwa!! Kwataarifa yako DG pccbii alikuwa RPsii Klm pindi Huyo shogako anatesa watu.
 
Hizi ni siasa za kinafiki tena zisizofaa kabisa. Maana mbunge kama muwakilishi wa wananchi alafu unakaa kimya ukishuhudia wananchi wako wakiteswa na kug'olewa meno.

Baadae unaibuka kinafiki baada ya mtuhumiwa kukamatwa na kuleta tuhuma zako. Kuwa kuna karakana ya kutesea watu uliishuhudia jimboni kwako.

My take: kuna wingu zito juu ya kesi ya mtuhumiwa Sabaya.
Ukiwa mtu usiye na akili taabu tunayopata ni sisi wasomaji.
 
Hizi ni siasa za kinafiki tena zisizofaa kabisa. Maana mbunge kama muwakilishi wa wananchi alafu unakaa kimya ukishuhudia wananchi wako wakiteswa na kug'olewa meno.

Baadae unaibuka kinafiki baada ya mtuhumiwa kukamatwa na kuleta tuhuma zako. Kuwa kuna karakana ya kutesea watu uliishuhudia jimboni kwako.

My take: kuna wingu zito juu ya kesi ya mtuhumiwa Sabaya.
Hivi wewe angefanya ivo simngekuja hapa mnalia lia kuwa anajiliza kuonewa huruma jimbo linaenda kuwa kazidiwa ama

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Sasa haki inapatikana wapi kwa mtu anayeshikiliwa kwa tuhuma za jinai kama Lengai Ole Sabaya?

Hapa ni nani anayetakiwa kutumia hiyo common sense!!
Tofuatisha mahakama kutenda haki na mtu kufikishwa mahakamani. Umepata jibu nani anatakiwa kutumia akili ya kuzaliwa.
 
Hizi ni siasa za kinafiki tena zisizofaa kabisa. Maana mbunge kama muwakilishi wa wananchi alafu unakaa kimya ukishuhudia wananchi wako wakiteswa na kug'olewa meno.

Baadae unaibuka kinafiki baada ya mtuhumiwa kukamatwa na kuleta tuhuma zako. Kuwa kuna karakana ya kutesea watu uliishuhudia jimboni kwako.

My take: kuna wingu zito juu ya kesi ya mtuhumiwa Sabaya.
..."ukinywa sumu, usitegemee afe mtu mwingine mzee"... 7ya anakula jeuri yake.... na "iwe fundisho"...
 
Back
Top Bottom