Kama Sabaya alikuwa na karakana ya kutesea watu, mbona Mbowe hakusema alipokuwa Bungeni?

Kama Sabaya alikuwa na karakana ya kutesea watu, mbona Mbowe hakusema alipokuwa Bungeni?

Hiyo karakana iko wapi?

Kuna mtu ana picha ya hiyo karakana?

Au blah blah tu za huyo mwenyekiti mwenye makengeza?
 
Hizi ni siasa za kinafiki tena zisizofaa kabisa. Maana mbunge kama muwakilishi wa wananchi alafu unakaa kimya ukishuhudia wananchi wako wakiteswa na kug'olewa meno...
Hukumbuki ya Munyeti akiwa DC alioenaka akitoa rushwa badala yake wakati jalada lake likiwa Takukuru alizawadiwa u- RC? Hivyo kumshitaki au kumtuhumu sabaya enzi za godfather wake ilikuwa ni sawa na kumpoga chura teke

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Kama aliogopa kusema,mbona hakumuambia Lissu au Ansbert ngurumo walioko ughaibuni.
Huu ni mpango uliosukwa vizuri sana.
Imagine TAKUKURU bossi mzanzibari yule aliekuwa RPC wa Sabaya, halafu DPP ni somebody KWEKA!

Hapo lazima kuna uvundo utakuja kufanya wengi watumbuliwe!
hakuna relation ya dpp, na CP wa takukuru na mbowe.
Wazungu wanasema "overconfidence makes you careless"

Lakin namba moja wkt huo asingetaka kusikia hii kitu.
yaan hata angempa nani aseme.. hakuna kitu kingefanyika
 
unaweza ukaulizia kwa task force ambayo inafanya ichunguzi wa hii kesi.
wamo polisi,takukuru, wamo TRA.

ukiuliza hapa JF hutopata jibu lolote.
Nikaulize wapi wakati nyie majasusi uchwara mpo humu?

Halafu nyie si ndio mmeleta hii habari humu ama?

Hebu wekeni picha ya hiyo karakana tuone!
 
Jibu swali langu kwanza badala ya kukimbilia kujificha kwenye kichaka cha matusi!

Sabaya ni nani wako? Haiwezekani umlilie kila siku humu jukwaani! Tena ukiwa umebana pua "Sabayaaa! Sabayaaaa"
Nani anamlilia Sabaya. Pimbi mkubwa hayawani usie na akili.
 
Hata ibilisi hakosi wafuasi ,yaani jitu linaanzisha thread kabisaaa kumtete a Jambazi ,mbakaji ,mtu alitumia madaraka yake vibaya , kichaa , mwendawazimu ?
Mkuu hakuna mtu nayemtetea mtu. Bali tunataka kupata ukweli juu ya jambo la kitaifa.
 
Hizi ni siasa za kinafiki tena zisizofaa kabisa. Maana mbunge kama muwakilishi wa wananchi alafu unakaa kimya ukishuhudia wananchi wako wakiteswa na kug'olewa meno...
Mkuu wale ambao walisemekana kuwa wasiojulikana, sasa ndio wanaanza kujulikana sambamba na matendo yao maovu. Wengi waliteswa, kutiwa ukilema wa maisha na wengine hata kuuwawa kwa madai ya amri kutoka juu.

Kulikuwa na "the evil of axis" ambayo kwa mazingira yoyote yale inaonyesha yalikuwa na mkono na baraka kutoka ofisi namba moja kimamlaka na kwa raia namba moja nchini.

Kwa mamlaka ya kikatiba aliyokuwanayo mtu huyu pamoja na rafu zake katika "political space" ni nani angaliweza kumnyooshea kidole na kuhoji kuhusu ukatili wake uliokuwa umetamalaki!?
 
Mkuu wale ambao walisemekana kuwa wasiojulikana, sasa ndio wanaanza kujulikana sambamba na matendo yao maovu. Wengi waliteswa, kutiwa ukilema wa maisha na wengine hata kuuwawa kwa madai ya amri kutoka juu...
Justice must be seen
 
Hizi ni siasa za kinafiki tena zisizofaa kabisa. Maana mbunge kama muwakilishi wa wananchi alafu unakaa kimya ukishuhudia wananchi wako wakiteswa na kug'olewa meno...
Ina maana we changu umesahau kuwa hata Siku ya kupiga kura mbowe ka mgombea ubunge hakuweza kujipigia kura kwa sababu alikoswakoswa kutekwa na hiyo umbwa ya ccm.
 
Hizi ni siasa za kinafiki tena zisizofaa kabisa. Maana mbunge kama muwakilishi wa wananchi alafu unakaa kimya ukishuhudia wananchi wako wakiteswa na kug'olewa meno...

Mbowe ameshitaki mengi na hakuna hatua zilichukuliwa dhidi ya uchafu wa Sabaya, kwani wakati huo bado kiongozi muovu alikuwa madarakani. Kwa sasa yule kiongozi dhalimu yuko motoni, hivyo ushahidi wa unyama wa wakati wake na genge lake unawekwa wazi.

Hakukuwa na bunge, bali kusanyiko la watu waovu na wanafiki ndani ya jengo la bunge, hivyo Mbowe asingepoteza muda kusema unyama wa Sabaya kwenye bunge kibogoyo.
 
Kama aliogopa kusema,mbona hakumuambia Lissu au Ansbert ngurumo walioko ughaibuni.
Huu ni mpango uliosukwa vizuri sana.
Imagine TAKUKURU bossi mzanzibari yule aliekuwa RPC wa Sabaya, halafu DPP ni somebody KWEKA!

Hapo lazima kuna uvundo utakuja kufanya wengi watumbuliwe!
Tulia sindano ikuingie vizuri.
 
Back
Top Bottom