johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #141
Fedha inaabudiwa bwashee!Viongozi wa dini wameshindwa kuwa washauri wazuri,wanafuata upepo wa wanasiasa jambo ambalo linanikera sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fedha inaabudiwa bwashee!Viongozi wa dini wameshindwa kuwa washauri wazuri,wanafuata upepo wa wanasiasa jambo ambalo linanikera sana
Njaa mpaka nyumba za ibada,kazi ipoFedha inaabudiwa bwashee!
Watu walioshika dini huonekana wenda wazimu kwa kuwa na mawazo kama haya.Unajua ukishakiri kua yesu ni bwana na mwokozi wa maisha yako unakua umetangaza vita na shetani, na shetani atajaribu kufanya kila njama za kukuporomosha hapo juu ulipo
Unajua kwamba shetani kapewa mamlaka ya kumjaribu binadamu na katika hili shetani kaamua kutumia huu ugonjwa kama jaribio ili kuwateka watu?
Unajua kukubali kusalia nyumbani kwa kuogopa maambukizi ambayo yamepangwa na shetani ni ishara kwamba shetani amekushinda nguvu na umekosa imani ya kupambana naye?
Unaelewa kwamba namna pekee ya kumshinda huyu shetani ilitakiwa yeyote yule ambaye amemkiri yesu kua bwana na mwokozi wa maisha yake ajitokeze katika wodi za wagonjwa wa corona kwa lengo la kuwafanyia sala ya toba kwa kuwashika vichwani?
Mnakumbuka kua ukiwa na yesu hakuna lishindikanalo maana amewaahidi kutengeneza njia mahala pasipo na njia?
Wale ni wajasiriamali tu kama wajasiriamali wengine usitegemee wataacha business zao wakushauri ukae nyumbani, sasa watoe maamuzi ya kuwafanya wafe njaa?Viongozi wa dini wameshindwa kuwa washauri wazuri,wanafuata upepo wa wanasiasa jambo ambalo linanikera sana
Mi sio mshika dini, bora ungesema mshika viminiWatu walioshika dini huonekana wenda wazimu kwa kuwa na mawazo kama haya.
Sasa kama yesu alijaribiwa na shetani kwa kuambiwa jitupe chini nikupe miliki zote sijui na utajiri wote yesu akamjibu kwamba imeandikwa usimjaribu bwana Mungu wako, it means kuna mambo yakija kama majaribu inapaswa kutumia akili sio ufanye ujinga kwa kusema hutaki shetani aonekane mshindi.
Kwa hii post yako wewe ungekuwa yesu ungejitupa chini ili shetani akuone shujaa si ndio? Ujitupe chini ili shetani ajue Mungu wako ana nguvu?
Sasa nikuulize kwa imani yako hayo mamlaka aliyonayo shetani alipewa na nani? Maana hakuna anayemzidi uwezo Mungu wako, automatically shetani alipewa mamlaka na Mungu wako, sasa lengo la Mungu lilikuwa ni nini?
Alitaka kubalance shobo zenu nyie mnaopenda kuparamia mambo bila kutumia akili.
Nendeni mkusanyike mfe wajinga wapungue angalau Africa nayo ipige hatua kimaendeleo
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole, wewe ni miongoni mwa wajinga wachache wanaoogopa tatizo badala yakuwa karibu na mtatua tatizo.yaani MunguJana nilimsikia Prof Lipumba akisema yeye ameanza kuswalia nyumbani ili kuepuka misongamano inayoweza kusababisha maambukizi ya Covid 19.
Binafsi nikawa nimemwelewa vilivyo.
Ndipo nikaanza kutafakari, kama Waislamu kule Saudia wanaswalia nyumbani Bakwata wanashindwa nini?
Kama Wakristo kule Vatican, UK na Germany wanasalia majumbani hawa Katoliki, Anglican na KKKT wanafeli wapi?
Kama Walokole huko USA wanasalia majumbani hawa kina Kakobe, Gamanywa, Gwajima, Mwingira wanashindwa nini?
Kuna wakati yatupasa kutumia busara hata kama mamlaka za juu zimewaachia hiyo fursa bado mnatakiwa kutumia hekima ya Mungu kutenda jambo sahihi.
Serikali haiwezi kuwakataza directly lakini nyie mmebarikiwa macho ya rohoni na mwilini na hata hao wagonjwa 88 waliotangazwa hadi sasa ni waumini wenu.
Hekima ya Mungu wa mbinguni na iwe juu yenu!
Kama mimi mjinga wewe umeonyesha upumbavu kabisa.Pole, wewe ni miongoni mwa wajinga wachache wanaoogopa tatizo badala yakuwa karibu na mtatua tatizo.yaani Mungu
Yahana kidogo siku hizi unanikuna . Ukiondoa ukada akili hua zinakurudia [emoji23][emoji3][emoji1787]Jana nilimsikia Prof Lipumba akisema yeye ameanza kuswalia nyumbani ili kuepuka misongamano inayoweza kusababisha maambukizi ya Covid 19.
Binafsi nikawa nimemwelewa vilivyo.
Ndipo nikaanza kutafakari, kama Waislamu kule Saudia wanaswalia nyumbani Bakwata wanashindwa nini?
Kama Wakristo kule Vatican, UK na Germany wanasalia majumbani hawa Katoliki, Anglican na KKKT wanafeli wapi?
Kama Walokole huko USA wanasalia majumbani hawa kina Kakobe, Gamanywa, Gwajima, Mwingira wanashindwa nini?
Kuna wakati yatupasa kutumia busara hata kama mamlaka za juu zimewaachia hiyo fursa bado mnatakiwa kutumia hekima ya Mungu kutenda jambo sahihi.
Serikali haiwezi kuwakataza directly lakini nyie mmebarikiwa macho ya rohoni na mwilini na hata hao wagonjwa 88 waliotangazwa hadi sasa ni waumini wenu.
Hekima ya Mungu wa mbinguni na iwe juu yenu!
Hoja hii inachukiza na kuudhi mno!! HAIWEZEKANI!! Tumekuwa wajinga namna hii? Vatican na Ujerumani zinahusika vipi na imani ya watanzania. Hivi nikisema kwa kuwa Ulaya na marekani wameridhia ushoga basi nasi tufuate nitakuwa sahihi?Jana nilimsikia Prof Lipumba akisema yeye ameanza kuswalia nyumbani ili kuepuka misongamano inayoweza kusababisha maambukizi ya Covid 19.
Binafsi nikawa nimemwelewa vilivyo.
Ndipo nikaanza kutafakari, kama Waislamu kule Saudia wanaswalia nyumbani Bakwata wanashindwa nini?
Kama Wakristo kule Vatican, UK na Germany wanasalia majumbani hawa Katoliki, Anglican na KKKT wanafeli wapi?
Kama Walokole huko USA wanasalia majumbani hawa kina Kakobe, Gamanywa, Gwajima, Mwingira wanashindwa nini?
Kuna wakati yatupasa kutumia busara hata kama mamlaka za juu zimewaachia hiyo fursa bado mnatakiwa kutumia hekima ya Mungu kutenda jambo sahihi.
Serikali haiwezi kuwakataza directly lakini nyie mmebarikiwa macho ya rohoni na mwilini na hata hao wagonjwa 88 waliotangazwa hadi sasa ni waumini wenu.
Hekima ya Mungu wa mbinguni na iwe juu yenu!
Kwa hiyo shetani amezikimbia,Italy, Said Arabia na Vatican na amekuwa mbilia Tanzania tu? Na ukumbuke dini zote pamoja na majina yote tuliyonayo tuliletewa na hao hao,waliofunga nyumba za ibada.Unajua ukishakiri kua yesu ni bwana na mwokozi wa maisha yako unakua umetangaza vita na shetani, na shetani atajaribu kufanya kila njama za kukuporomosha hapo juu ulipo
Unajua kwamba shetani kapewa mamlaka ya kumjaribu binadamu na katika hili shetani kaamua kutumia huu ugonjwa kama jaribio ili kuwateka watu?
Unajua kukubali kusalia nyumbani kwa kuogopa maambukizi ambayo yamepangwa na shetani ni ishara kwamba shetani amekushinda nguvu na umekosa imani ya kupambana naye?
Unaelewa kwamba namna pekee ya kumshinda huyu shetani ilitakiwa yeyote yule ambaye amemkiri yesu kua bwana na mwokozi wa maisha yake ajitokeze katika wodi za wagonjwa wa corona kwa lengo la kuwafanyia sala ya toba kwa kuwashika vichwani?
Mnakumbuka kua ukiwa na yesu hakuna lishindikanalo maana amewaahidi kutengeneza njia mahala pasipo na njia?
ALLAH AKBARupo sahihi bmkubwa.
kiukweli uislamu ulianzia pwani ya afrika mashariki karne nyingi zilizopita katika kitongoji cha kariakoo kinachopatikana mkoa wa dar es salaam, baadaye ukasambaa mpaka mashariki ya kati na duniani kwa ujumla.
takbirrrrrr.
Ukimpa mtoto wako madafu ampelekee kitukuu chako bado ni sahihi kusema Uledi amepokea madafu kutoka kwa nyanya yake.
Dhana ya kupokea kitu ni pana sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnabishana na Mjuaji wa kila kitu Duniani na AkheraNdio imani yenyewe katika ulimwengu wa mwili!
Namekosa weledi kabisa siku za karibuniWale ni wajasiriamali tu kama wajasiriamali wengine usitegemee wataacha business zao wakushauri ukae nyumbani, sasa watoe maamuzi ya kuwafanya wafe njaa?
Impossible [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba bei ya smartphone, bundles inazidi bei ya uhai wako?Waumini wangapi wana computers and smartphones??! Internet bundles je ?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Njia za kujikinga na Corona tubuni za kwetu sivyo?Sio kila jambo ni la kuunga mkono kisa limefanywa na serikali unayoihusudu!