Kama Saudi Arabia na Vatican wameweza kufanya ibada majumbani sisi tuliopokea dini toka kwao tunashindwa nini?

Mke wangu nimemkataza kwenda maombi nashukuru kanisikia anaamkaga hata saa tisa usiku anasali na nasali naye nina imani mungu anapokea maombi yetu japo tuko madhehebu tofauti lakini YESU ni yule yule na MUNGU ni yule yule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu walioshika dini huonekana wenda wazimu kwa kuwa na mawazo kama haya.

Sasa kama yesu alijaribiwa na shetani kwa kuambiwa jitupe chini nikupe miliki zote sijui na utajiri wote yesu akamjibu kwamba imeandikwa usimjaribu bwana Mungu wako, it means kuna mambo yakija kama majaribu inapaswa kutumia akili sio ufanye ujinga kwa kusema hutaki shetani aonekane mshindi.

Kwa hii post yako wewe ungekuwa yesu ungejitupa chini ili shetani akuone shujaa si ndio? Ujitupe chini ili shetani ajue Mungu wako ana nguvu?
Sasa nikuulize kwa imani yako hayo mamlaka aliyonayo shetani alipewa na nani? Maana hakuna anayemzidi uwezo Mungu wako, automatically shetani alipewa mamlaka na Mungu wako, sasa lengo la Mungu lilikuwa ni nini?
Alitaka kubalance shobo zenu nyie mnaopenda kuparamia mambo bila kutumia akili.
Nendeni mkusanyike mfe wajinga wapungue angalau Africa nayo ipige hatua kimaendeleo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viongozi wa dini wameshindwa kuwa washauri wazuri,wanafuata upepo wa wanasiasa jambo ambalo linanikera sana
Wale ni wajasiriamali tu kama wajasiriamali wengine usitegemee wataacha business zao wakushauri ukae nyumbani, sasa watoe maamuzi ya kuwafanya wafe njaa?
Impossible [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uamuzi sahihi ulikua kuchukua hatua za msingi mapema sana. Kinachokwaza kushinda vyote ni ile negligence iliyokuwepo tangia mwanzo. Mungu kuna muda tunamchosha tu. Watu ambao waliendelea kuacha mipaka wazi wakati tukiwa hatujapata madhara, waliendelea kupokea wageni toka maeneo yaliyoathirika bila kujali. Hata kauli tu za kuoneshesha kua hii kitu ni hatari hazikua zikitolewa kwa Jamii. Badala yake mtu anakuambia atı unaogopa corona acha ujinga kachape kazi. Watu ambao tulikua na nafasi kubwa ya kujifunza kwa kua tayari hii kitu ilianza kwa wenzetu. Lakini leo ndo tunaanza kutapatapa atı tunaomba Mungu. Sahivi watu wanakunywa bia kwenye mabaa bila shida, hiyo ni mikusanyiko. Mnaenda makanisani bila shida, hamuoni nayo kuwa ni mikusanyiko!!

Mungu gani anataka watu wajinga kama sisi.
 
Mi sio mshika dini, bora ungesema mshika vimini
 
Pole, wewe ni miongoni mwa wajinga wachache wanaoogopa tatizo badala yakuwa karibu na mtatua tatizo.yaani Mungu
 
Pole, wewe ni miongoni mwa wajinga wachache wanaoogopa tatizo badala yakuwa karibu na mtatua tatizo.yaani Mungu
Kama mimi mjinga wewe umeonyesha upumbavu kabisa.

Kwenda kwenye kusanyiko la Gwajima ndio unakuwa karibu na Mungu?!!
 
Yahana kidogo siku hizi unanikuna . Ukiondoa ukada akili hua zinakurudia [emoji23][emoji3][emoji1787]

Odhis *
 
Hoja hii inachukiza na kuudhi mno!! HAIWEZEKANI!! Tumekuwa wajinga namna hii? Vatican na Ujerumani zinahusika vipi na imani ya watanzania. Hivi nikisema kwa kuwa Ulaya na marekani wameridhia ushoga basi nasi tufuate nitakuwa sahihi?

Inakera sana!! Ni heri kama mtu anatoa mfano na afanye hivyo lakini si kwa kuonyesha kwamba imani za watanzania zinaratibiwa Roma. Tujibidiishe ujifunza misingi ya imani, sio kukariri.

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Kwa hiyo shetani amezikimbia,Italy, Said Arabia na Vatican na amekuwa mbilia Tanzania tu? Na ukumbuke dini zote pamoja na majina yote tuliyonayo tuliletewa na hao hao,waliofunga nyumba za ibada.
 
upo sahihi bmkubwa.
kiukweli uislamu ulianzia pwani ya afrika mashariki karne nyingi zilizopita katika kitongoji cha kariakoo kinachopatikana mkoa wa dar es salaam, baadaye ukasambaa mpaka mashariki ya kati na duniani kwa ujumla.
takbirrrrrr.
ALLAH AKBAR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
upo sawa kabisa kaka....achana na hawa mapoyoyo wanaokubeza....ubinafsi wa mashirika ya dini ndo tatizo...
 
TUMUOGOPE MUNGU KWANZA KABLA YA CORONA.
magufuli yuko sahihi.

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…