Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohoo kumekuchaNi njama za wakristo
Kweli ndugu sio masihara. Mimi ni mdogo wako sana. Allah akuongezee Ilmu zaidi na zaidi na akubariki nayo. Akufanyie wepesi mambo yako na akupe kheri duniani na akhera. Amin.Hahaha hapana kabisa bhana.
Wewe endelea kula sikukuu sisi wengine kesho lazima tutii viongozi wetuUganda ni majirani zetu na wametangaza Eid ni kesho; lakini pia Uarabuni napo Eid ni kesho.
Kwanini Tanzania wamepanga iwe Jumamosi?
Sasa Ponda nae Sheikh kwa maana ya Sheikh?Unatakiwa kumwamini Shekh Ponda pekee hawa wengine ni matawi ya CCM kila kitu ni siasa
Basi kumbe waislamu wengi na wingi wao huathiri hiyo biashara?Wakati wa kufanya biashara ya nyama pendwa umewadia hatimaye, baada ya kuwa ngumu kwa takriban mwezi mzima
Na mashia?Kuna madhehebu mawili kwenye Uislam na miaka yote huwa na tarehe tofauti za kufungua .. Answar Suna always ndio huwahi na hii ni miaka yote
Duh!Kwa hiyo siku mwezi ukiamua kujificha tutafunga mwaka mzima?
Tuna majira tofauti, mwezi ni huuhuu mmoja, wanaweza kuuona sisi tusiuone.Kwanini nchi zote zinazotuzunguka hadi Saudi Arabia leo ni sikukuu lakin Tanzania hapana
Sio kweli..Waumini wengi wa Tanzania ni mazezeta
Allahul mustaan, allah atuzidishie sote na atufanyie wepesi sote, aaamyn.Kweli ndugu sio masihara. Mimi ni mdogo wako sana. Allah akuongezee Ilmu zaidi na zaidi na akubariki nayo. Akufanyie wepesi mambo yako na akupe kheri duniani na akhera. Amin.
Mwezi usipoandama tarehe 29 tunakamilisha 30 basi.Kwa hiyo siku mwezi ukiamua kujificha tutafunga mwaka mzima?
Answar sunnah si dhehebu wala pote bali ni taasisi ya kiislamu kama IPC, ISC, IF n.k yenyewe huitwa answaar muslim youth center au AMYC makao makuu yake ni tanga, tanzania.Kuna madhehebu mawili kwenye Uislam na miaka yote huwa na tarehe tofauti za kufungua .. Answar Suna always ndio huwahi na hii ni miaka yote
Dini ni moja na dunia ni moja. Toa porojo zako huko, peleka kwenye vilabu vya pombe za kienyeji huko kijijini kwenuTuna majira tofauti, mwezi ni huuhuu mmoja, wanaweza kuuona sisi tusiuone.
Ni elimu ya aina yake kama huijiu utabakia kusema unavyosema.
Ndio maana kuna mahali saa moja giza na pengine saa moja hiyohiyo bado mwanga mkubwa...
Sa mbona waislam wengi ndio wanalalamika kwamba Mufti kawaingiza chaka?!.
Sie Wakristo tunashangaa tu wenzetu viipi mwezi ni mmoja muandamo tofauti, kulikoni.
AaamynAllahul mustaan, allah atuzidishie sote na atufanyie wepesi sote, aaamyn.
Kufunga wafunge waislam ila muandamo wa mwezi wanaulizia wasio waislam.....Mkuu Dr Matola PhD mambo ya waislamu ungewaachia tu wenyewe mkuu maana kila mtu anajua anachokifanya.
Kwa kukuhabarisha kuna misimamo ya aina mbili na yote ni sawa, kuna msimamo wa kufunga na kufungua kwa mwandamo wa mwezi wa kitaifa na hili halina ubaya.
Na pili kuna msimamo wa kufunga na kufungua kwa mwezi wa kimataifa yaani unaoandama popote na hili halina ubaya.
Bakwata wameamua kushikilia msimamo wa mwezi wa kitaifa na waumini wana uhuru wa kuwafuata au kuswali kesho, kuna ubaya gani? hapa kuna utapeli upi? sisi wengine tunaswali kesho na tuko huru kufanya hivyo.
Nashauri wakati mwingine ungeachana na haya mambo maana ni comments zako nyingi unazungumzia utapeli n.k shika kile unachokiona ni sawa na mambo ya waislamu waachie wenyewe.
Asante.